Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
US badala ya kuleta jitihada za kumaliza vita yeye anachochea, acha wachapane tuone vita ikitanua mipaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifo vingi vipi? Juzi umoja wa Ulaya umetoa idadi na orodha ya askari wa Ukraine 🇺🇦 waliokufa vitani, hadi Ukraine ikakasirika ikawataka mabeberu waombe radhi, mabeberu wakagoma wakasema hatujadanganyaBaada ya vifo vya askari wengi wa Urusi kutokea na hasara kubwa ya vifaa vya kijeshi tulitegemea kuona nguvu ya Mrusi.Mpaka hapa bado unategemea jipya toka kwa mrusi?Labda atumie nukes kama anavyojinadi🤔
Tuseme iko hivyo,Askari na vifaru vyote viko salama;Je,Malengo ya Urusi kuichukua Kyiv yamefikia wapi au ndio askari wake kukimbia maeneo ambayo walifanya annexation?Vifo vingi vipi? Juzi umoja wa Ulaya umetoa idadi na orodha ya askari wa Ukraine 🇺🇦 waliokufa vitani, hadi Ukraine ikakasirika ikawataka mabeberu waombe radhi, mabeberu wakagoma wakasema hatujadanganya
Russia was overrated. KaUkraine tu miezi 9? Plan ya Putin ya kuiteka Nchi ndani ya siku 10 iliangukia puaWanataka kutikisa mbuyu. Angalizo wasije jikuta wanatikisa matako yao wenyewe.
Russia hajaribiwi
Yule fashsti wa urusi Hana akili na alikurupuka sana,Wacha anyooshwe sasaHakika USA ni hatari sana.
USA ana mikakati mikali ya kuidhoofisha Urus katika vita hii, hakurupuki.
Mwanzo wa vita alikuwa mzito wa kupeleka silaha Ukrain kwa sababu Urus alipiga mkwara mzito na inawezekana Urus alikuwa sirias kwa nchi itakayoisaidia Ukrain. Pia Urus alipiga mkwara wa kutumia Nyuklia.
Baada ya muda, USA akaanza kupeleka silaha Ukrain kwa kubip huku akisoma muitikio wa Urus.
USA akawa anaongeza idadi ya silaha kwa Ukrain huku vita ikizidi kuwa ngumu, lakini USA ikawa haitaki kuipa Ukrain silaha za kushambulia ndani ya Urus.
Wakati vita ikiendelea kuwa kali, USA ikawa inafanya mazungumzo na Urus juu ya kutumia silaha za nyuklia. Hatujui majadiliano yalikuwaje, ila inaonekana USA alimpiga mkwara Urus endapo angetumia silaha za Nyuklia, labda na yeye angeshambuliwa kwa silaha za nyuklia zilizopo Ulaya.
Baadae tukaona Putin anatamka mwenyewe kwamba, hawapo tayari kwa sasa kutumia silaha za nyuklia kwa Ukrain. Ni kipindi hiki ndipo tunaona Ukrain naye anashambulia hadi ndani ya Urus zaidi ya kilomita 600.
Suluhisho ni Putin kusitisha vita, mana akiendelea, Ukrain nayo itaanza kushambulia ndani ya Urus kwan amejihakikikishia Urus hawezi kutumia silaha za maangamizi kwani USA atajibu mashambulizi na ndiyo itakuwa mwisho wa Putin.
Ikumbukwe, kuna tetesi Urus ameishiwa baadhi ya silaha, na kwa sasa anasaidiwa na Iran.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
US wameshajua uwezo wa Urusi.Bila nukes Urusi anachapika kawaida kabisa.Kinachofanyika ni kumdhibiti asitumie nukes.Kiufupi Ukraine imemdhalilisha superpower 🤔US badala ya kuleta jitihada za kumaliza vita yeye anachochea, acha wachapane tuone vita ikitanua mipaka.
Kwahiyo Putin ndo mwenye haki ya kushambulia nchi nyingine ila yeye ni marufuku?Naona usa kaamua ukraine ifutwe kabisa maana uvumilivu utamshinda putin
Wajaribu waone? Juzi drones za Ukraine zimeingia kilomita 600 ndani ya Urusi zikashambulia kambi muhimu za kijeshi za Urusi katika mji wa Saratov nakutoka salama kabisa.Wajaribu waone
Basi watabinuliwa bara bara kama ni kweli. Manake propaganda nazo ni nyingiWajaribu waone? Juzi drones za Ukraine zimeingia kilomita 600 ndani ya Urusi zikashambulia kambi muhimu za kijeshi za Urusi katika mji wa Saratov nakutoka salama kabisa.
Afinywe mara ngapi jamaa yako yuko uchi sasa atachapwa kila konaWanataka kutikisa mbuyu. Angalizo wasije jikuta wanatikisa matako yao wenyewe.
Russia hajaribiwi
Amshe mara ngapi hizo nukes atapiga wenzake wakiwa wamelala? Hebu fikirisha ubongo wakoSasa hapa Putin huyu marekani anakujaribu anataka kuamsha waliolala, Putin toa hata nukes moja tuiangamize Ukraine, marekani ni nani hadi ampe jeuri dogo ZELE , me ni Mrusi wa Kondoa na mshabiki wako sana ila kiuhalisia marekani amekufatilia sana, nakushauri Putin mtafute marekani ulingoni kwa kupiga bom hata nchi moja ya NATO hapo marekani utampata na ndio sisi warusi wenzako wa Chato na Kilwa tutafurahua shoo utakayo toa kuiadhibu marekani.