Pentagon Yairuhusu Ukraine Kushambulia Kwa "DRONES "Ndani Ya Urusi!

US wanaupiga mwingi.
 
Na endapo wakasitisha vita, hii itampa nafasi kubwa mno US kumzingira Russia, hiki ndicho wakihofiacho. Lakini ni bora wasitishe vita ili kujipanga namna gani ya kupambana na adui aliyepo mlangoni kuliko kuendeleza hii vita maana uchumi na ushawishi unashuka kwa kasi kubwa mno.
 
Nna uhakika Ukraine ataendelea kupachapa sana Russia.
 
Wajaribu waone? Juzi drones za Ukraine zimeingia kilomita 600 ndani ya Urusi zikashambulia kambi muhimu za kijeshi za Urusi katika mji wa Saratov nakutoka salama kabisa.
Hii ilikuwa ni dharau nzito.
 
ukiwa na nuke huguswi, wala huzingirwi

NK yule pale
 
Ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…