Pentekoste iliyochangamka

Tumia logic je dhambi inafanyeje kazi ...utajua kuwa mwili wa binadamu una siri kubwa sana kwenye dhambi .....hapo utajua yote ninayo kuambia ni kweli
Sina pingamizi na hili kuwa dhambi inafanya kazi kwa namna ya ajabu, lakini hii haimaanishi unapaswa kuihusianisha na gumbo lolote usilolielewa kwenye biblia. Hata hivyo kuhusu dhambi biblia imeweka waz kuwa ni uasi wa sheria.
 
Ni lini ulijua kuwa hiyo 13 na 17 ni kitu kimoja au ni baada ya kunisikia mimi naeleza ... najua ulikuwa ujui kuwa 13 na 17 ni fumbo moja .....nakusubiri na hizo fafanuzi zako feki nikuumbue bila ya ubishi...wewe unadhani waislamu wanavyo nikimbiaga hapa JF na wanakimbia kunijibu maswali wanapenda .....nayajua mafumbo yote kwenye biblia ..kuhusu kitabu cha Daniel naweza kukuambia kwanini nyayo za lile sanamu alilo ota nebukadreza zilikuwa ni mchanganyiko wa chuma na udongo
 
Sina pingamizi na hili kuwa dhambi inafanya kazi kwa namna ya ajabu, lakini hii haimaanishi unapaswa kuihusianisha na gumbo lolote usilolielewa kwenye biblia. Hata hivyo kuhusu dhambi biblia imeweka waz kuwa ni uasi wa sheria.
Uasi wa shetani ni dhambi yake shetani siyo yako wewe ....wewe dhambi yako ni uasi wako wewe mwenyewe kutokana na tamaa za mwili.
 
Heeee 😧😧Lwiva wacha nikuache, utajifunza kwa namna nyingine
 
Vema sana ikiwa unalijua hilo!😀 We unafikir tunaoneshana ubabe wa kufaham maandiko?
 
Heeee 😧😧Lwiva wacha nikuache, utajifunza kwa namna nyingine
Toa fafanuzi zako kuhusu ufunuo ili tukuulize maswali usikimbie kuna jamaa alikimbia na waislamu wanakimbiaga maswali yangu
 
Vema sana ikiwa unalijua hilo!😀 We unafikir tunaoneshana ubabe wa kufaham maandiko?
Wacha porojo toa fafanuzi ya ufunuo tukuulize maswali ...wewe ni shabiki wa dini yako na dhehebu lako ndiyo maana unasikia ukweli ila hautaki kuukili kuwa ni ukweli.....kwa sababu huu ukweli ninaokupa unapingana na madhehebu yako unayo shabikia .....
 
umeongea ukweli mtupu!!!,,,YESU alipokuwa anahubiri alikuwa bize na INJILI,hakuwa na mali,nyumba wala mtoto,na wala sijui aliwahi kubadilisha kanzu yake,,,,,YESU alipigika kiuchumi mpaka shetani akaona fursa,,akampandisha kileleni{juu}akamwambia ukinisujudu vitu vyote unavyoviona vitakuwa vyako,lakini YESU alikataa,,,leo hii hawa wanaukwasi wa ajabu,wanamiliki majumba,mpaka ndege!!!,,,hakika wengi wao wataenda motoni!!!
 
Uasi wa shetani ni dhambi yake shetani siyo yako wewe ....wewe dhambi yako ni uasi wako wewe mwenyewe kutokana na tamaa za mwil

Uasi wa shetani ni dhambi yake shetani siyo yako wewe ....wewe dhambi yako ni uasi wako wewe mwenyewe kutokana na tamaa za mwili.
Toa fafanuzi zako kuhusu ufunuo ili tukuulize maswali usikimbie kuna jamaa alikimbia na waislamu wanakimbiaga maswali yangu
Ikiwa kusudi lako ni kuendelea kuthibitisha vile unajua, hautakaa uelewe haijalish utatolewa ufafanuz upi. Biblia hauwez kuiendea na tafsiri zako halaf ikakupatia tafsiri yake, ili kupata kile Kimesemwa huko lazima uende na roho ya mwanafunzi asiyejua kitu!
 
Wacha porojo toa fafanuzi ya ufunuo tukuulize maswali ...wewe ni shabiki wa dini yako na dhehebu lako ndiyo maana unasikia ukweli ila hautaki kuukili kuwani ukweli kwa sababu unapingana na mashehebu yako unayo shabikia .....
Uzuri hata sijataja ikiwa naenda kanisan, achilia mbali kuwa 'shabiki' wa dhehebu lolote!😀
 
Uzuri hata sijataja ikiwa naenda kanisan, achilia mbali kuwa 'shabiki' wa dhehebu lolote!😀
Porojo zanini leta fafanuzi tena ukileta nitawatag wakristo wenzako hapa jf waje kusikia na maswali nitakayo kuuliza
 
Porojo porojo ....ujui kuwa unabishana na the great genius of all the time ndiyo maana unaona watu wamekuachia uwanja wakuone namna unavyo weza kutoa hoja zilizo nyooka ...waulize kina kiranga walinikimbia
 
Ujio wa manabii na mitume wapigaji umeharibu sana sura ya upentekoste na tuendako ndo kubaya zaidi Mungu alisaidie kanisa
 
Leta tafsiri ya ufunuo wa yohana unayo sema wewe ni sahihi nikuonyeshe upuuzi wako kichwani ....tunasubiri .......ukitaka kuijua injili ya kweli niulize mimi ...
 
Yesu alikuja kuhubiri kuhusu mafanikio ya kimwili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…