Pentekoste iliyochangamka

Umeandika nonsense mkuu
 
Kabisa mimi sio mpentekoste ila nasema hakuna mahali hatari kiroho kama Pentekoste! Kuna uchafu wa kila aina sio uchawi, wizi, tamaa, ni hatari sana!
 
Nyie si ndio mnaopiga kelele kuwa uislamu unamkandamiza mwanamke,,endeleeni kuwapa madhabahu akina Zumaridi lkn ukweli mbinguni mtapasikia tu..


Nipo pale..
Kulingana na maandiko yeyote anaeshiriki mimbaea iliyoshikiliwa na mwanamke mbingu aisahau
 
Sasa wewe umeshindwa kuona tofauti apo
Unasema kabisa mwamposa kauza tope na yesu kapaka mtu tope
 
Sasa wewe umeshindwa kuona tofauti apo
Unasema kabisa mwamposa kauza tope na yesu kapaka mtu tope
 
Kiukweli Mimi huwa sichagui huduma ipi niende endapo nitajua Kama nipo fiti kiroho, maana hata Kama nitaangukia kwenye huduma mbovu lkn bado niliembeba Ni zaidi ya huduma hiyo mbovu
huwezi ukambeba Yesu kisha ukaanguka kwenye huduma mbovu.
maandiko yanasema atakapokuja huyo roho wa kweli atawaelekeza yoote niliyowaambia.
huwezi ukashiriki kila ibada na ukawa bado mkristo
 
kiukweli makahaba weeengi wamepata sehemuya kujificha.
biblia inasema nao watawachukua mateka wanawake waliochukuliwa na mizigo miingi ya dhambi na ni kweli
Sipo kwa mwamposa Mimi Wala maisha yangu hayana uhusiano na mwamposa kabisa. Namtumia mwamposa kuwakilisha watumishi wa Mungu wote ambao wanapitia vijineno neno.

Maana Tanzania yetu watu wakishakuwa maarufu tu lazima maneno.
 
biblia inasema watu wa wakati huu watakuwa uchi nahawajui maskini na hawajui.
vipofu na hawajui.

rev 3;14 And unto the angel of the church of the Laodiceans write; These things saith the Amen, the faithful and true witness, the beginning of the creation of God; {of the Laodiceans: or, in Laodicea} 15 I know thy works, that thou art neither cold nor hot: I would thou wert cold or hot. 16 So then because thou art lukewarm, and neither cold nor hot, I will spue thee out of my mouth. 17 Because thou sayest, I am rich, and increased with goods, and have need of nothing; and knowest not that thou art wretched, and miserable, and poor, and blind, and naked: 18 I counsel thee to buy of me gold tried in the fire, that thou mayest be rich; and white raiment, that thou mayest be clothed, and that the shame of thy nakedness do not appear; and anoint thine eyes with eyesalve, that thou mayest see. 19 As many as I love, I rebuke and chasten: be zealous therefore, and repent. 20 Behold, I stand at the door, and knock: if any man hear my voice, and open the door, I will come in to him, and will sup with him, and he with me. 21 To him that overcometh will I grant to sit with me in my throne, even as I also overcame, and am set down with my Father in his throne. 22 He that hath an ear, let him hear what the Spirit saith unto the churches.
 
Roman ndio nini? Kwanza wakatoliki wako sawa miaka zaidi ya 2000 maana kanisa limejengwa juu ya mwamba. Ata atokee Papa wa hovyo kanisa linabaki vizuri. Yesu si mjinga kuliacha kanisa lake kwa Petro. Sasa nyie vinyamkera wa vikanisa vya fulani lazima mteseke. Rudini nyumbani kumenoga.
 
Umeandika nonsense mkuu
kama ipi mkuu, huwezi bisha ambacho neno limesema.
watu wamekuwa watumwa wa maji na mafuta na si kwa Mungu.
wanategemea maji na ayo mafuta na si Mungu tena.
mtu kwenye biashara badala ya kufanya maombi anamwagia maji ya mwamposa nilimshangaa sana yule mama karume.
MUNGU NI MUNGU MWENYE WIVU
 
Jidanganye! Zaidi ya Miaka 2000 kanisa limesimama na itabaki hivyo mpaka aliyelisimika atakaporudi
BIBLIA INASEMA KABLA YA KUJA KWAKE YESU ATASULUBISHWA MARA YA PILI NA WALE WAJIITAO KWA JINA LAKE.

akasema je nitakapokuja nitaikuta imani niliyowaachia?
 
Jidanganye! Zaidi ya Miaka 2000 kanisa limesimama na itabaki hivyo mpaka aliyelisimika atakaporudi
mathayo 24; 23Wakati huo kama mtu ye
yote akiwaambia, ‘Tazama, huyu hapa ni Kristo!
Au ‘Kristo yuko kule!’ Msisadiki. 24Kwa maana
watatokea makristo wa uongo na manabii wa
uongo na kufanya ishara kubwa na miujiza
mingi ili kuwapotosha, hata ikiwezekana wale
wateule hasa. 25Angalieni, nimetangulia
kuwaambia mapema.
 
ULIMWENGU NI NN?
Mtu ambaye bado hata haujui maana ya Ulimwengu unapata wapi nguvu na akili ya kuhoji kuhusu Kanisa katoliki?


Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi, mwumba mbingu na dunia.
Na kwa Yesu Kristu, Mwanaye wa pekee, Bwana wetu;
aliyetungwa kwa Roho Mtakatifu,
akazaliwa na Bikira Maria, akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa, akashukia kuzimu; siku ya tatu akafufuka katika wafu; akapaa mbinguni; amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi; toka huko atakuja kuwahukumu wazima na wafu.

Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Kanisa takatifu katoliki, ushirika wa Watakatifu, maondoleo ya dhambi, ufufuko wa miili na uzima wa milele. Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…