goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Pentekoste imechanganyikiwa,wala haijui ikitakacho.
ile injili iliokuwa ikihubiriwa imegeuzwa ufisadi.
Hali ya pentekoste ni mbaya kwa sasa kuzidi Roman.
imekuwa na kanisa la watafuta miujiza na pesa.
chumvi na maji.
moja ya mambo kanisa limejichanganya nayo;
1; mahubiri ya pesa tu na mali, kamwe Bwana yesu hakuwahi kuwa na mahubir ya mtindo huu. biblia inasema haiwezekan kwa tajiri kuurithi ufalme wa mungu. utafuteni kwanzaufalme wa mungu na hayo mengine mtazidishwa
kanisani wamejazana wenye dhambi wanaotaka baraka za Mungu.
2; WAHUBIRI/WAHUDUMU WANAWAKE.
1Wakorintho 14;32Roho za manabii zinawatii
manabii. 33Kwa maana Mungu si Mungu wa
machafuko bali ni wa amani.
Kama ilivyo katika makusanyiko yote ya
watakatifu, 34wanawake wanapaswa kuwa
kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali
wanyenyekee kama sheria isemavyo. 35Kama
wakitaka kuuliza kuhusu jambo lo lote,
wawaulize waume zao nyumbani. Kwa maana
ni aibu kwa mwanamke kuzungumza kanisani.
1 timotheo 2;11
11Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa
utii wote. 12Simpi mwanamke ruhusa ya
kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya
mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa
kimya.
3;KUNENA KWA LUGHA
1 wakorintho 14;16
Kama mtu ye yote akinena kwa lugha,
basi waseme watu wawili au watatu si zaidi,
mmoja baada ya mwingine na lazima awepo
mtu wa kutafsiri. 28Lakini kama hakuna mtu ye
yote wa kutafsiri, hao watu na wanyamaze
kimya kanisani na wanene na nafsi zao
wenyewe na Mungu.
4; USASA IBADANI
Mungu hajwahi kwenda na wakati kwa sababu maendeleo ya usasa yoote ni ya ibilisi. yeye ni yeye yule jana leo na hata milele habadiliki. akisema usivae hiki ni hivyo milele . sasa huu usasa wa mpaka kumuita mungu DADY ni aibu kanisani.
5; MIUJIZA NJE YA NENO LA MUNGU
hapa sasa ndo kuna tatizo kubwa watu wamekuwa wakifata miujiza na si neno. kumbuka B wana yesu alitumia miujiza ili kuwavuta watu awahubirie neno la uzima. ila huu uhubiri wa kumwagia chumvi nymba na kuweka picha ya mhubiri chini ya biasharayako ni ushetani na ushirikina.
KWA KUMALIZA UKIANGALIA VIZURI WENGI WALIOKUWA WASHIRIKINA WALITAFUTA AINA MPYA YA USHIRIKINA ULIOJIFICHA KATIKA VAZI LA KIDINI.
WENGI WAMEENDA KWA WAGANGA NA KWA MANABII KWA KUWA NI VVITU VINAVYOFANANA.
INASIKITISHA KUONA PENTEKOSTE ILIPOFIKIA.