Pentekoste iliyochangamka

Pentekoste iliyochangamka

goswe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
4,432
Reaction score
5,036
Pentekoste imechanganyikiwa,wala haijui ikitakacho.
ile injili iliokuwa ikihubiriwa imegeuzwa ufisadi.
Hali ya pentekoste ni mbaya kwa sasa kuzidi Roman.
imekuwa na kanisa la watafuta miujiza na pesa.
chumvi na maji.

moja ya mambo kanisa limejichanganya nayo;
1; mahubiri ya pesa tu na mali, kamwe Bwana yesu hakuwahi kuwa na mahubir ya mtindo huu. biblia inasema haiwezekan kwa tajiri kuurithi ufalme wa mungu. utafuteni kwanzaufalme wa mungu na hayo mengine mtazidishwa
kanisani wamejazana wenye dhambi wanaotaka baraka za Mungu.

2; WAHUBIRI/WAHUDUMU WANAWAKE.
1Wakorintho 14;32Roho za manabii zinawatii
manabii. 33Kwa maana Mungu si Mungu wa
machafuko bali ni wa amani.
Kama ilivyo katika makusanyiko yote ya
watakatifu, 34wanawake wanapaswa kuwa
kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali
wanyenyekee kama sheria isemavyo. 35Kama
wakitaka kuuliza kuhusu jambo lo lote,
wawaulize waume zao nyumbani. Kwa maana
ni aibu kwa mwanamke kuzungumza kanisani.

1 timotheo 2;11
11Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa
utii wote. 12Simpi mwanamke ruhusa ya
kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya
mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa
kimya.

3;KUNENA KWA LUGHA
1 wakorintho 14;16
Kama mtu ye yote akinena kwa lugha,
basi waseme watu wawili au watatu si zaidi,
mmoja baada ya mwingine na lazima awepo
mtu wa kutafsiri. 28Lakini kama hakuna mtu ye
yote wa kutafsiri, hao watu na wanyamaze
kimya kanisani na wanene na nafsi zao
wenyewe na Mungu.

4; USASA IBADANI
Mungu hajwahi kwenda na wakati kwa sababu maendeleo ya usasa yoote ni ya ibilisi. yeye ni yeye yule jana leo na hata milele habadiliki. akisema usivae hiki ni hivyo milele . sasa huu usasa wa mpaka kumuita mungu DADY ni aibu kanisani.

5; MIUJIZA NJE YA NENO LA MUNGU
hapa sasa ndo kuna tatizo kubwa watu wamekuwa wakifata miujiza na si neno. kumbuka B wana yesu alitumia miujiza ili kuwavuta watu awahubirie neno la uzima. ila huu uhubiri wa kumwagia chumvi nymba na kuweka picha ya mhubiri chini ya biasharayako ni ushetani na ushirikina.

KWA KUMALIZA UKIANGALIA VIZURI WENGI WALIOKUWA WASHIRIKINA WALITAFUTA AINA MPYA YA USHIRIKINA ULIOJIFICHA KATIKA VAZI LA KIDINI.
WENGI WAMEENDA KWA WAGANGA NA KWA MANABII KWA KUWA NI VVITU VINAVYOFANANA.
INASIKITISHA KUONA PENTEKOSTE ILIPOFIKIA.
 
Kila kitu/jambo linapotokea kuna sababu ya kutokea, halitokei tu bila sababu.

Kwa hiyo hayo mabadiliko nayo kuna sababu ya kutokea hasa kwa nyakati kama hizi.
 
Tuliwaambia haya makanisa ya kufokafoka yamekuja kuuharibu Ukristo mwamba imara pekee wa Ukristo utabakia kwenye Ukatoliki.
SDA kwisha, makanisa ya kilokole kwisha.makanisa hayana tofauti na kumbi za disco, wanawake wanavaa singlend na vimini suruari nyimbo za Dunia ndo nyimbo za injili
 
Roho ya ukengeufu
1 timotheo
6Lakini utauwa na kuridhika ni faida kubwa.
7Kwa kuwa hatukuja humu duniani na kitu cho
chote, wala hatuwezi kutoka humu na kitu.
8Lakini kama tuna chakula na mavazi,
tutaridhika navyo. 9Lakini wale watu
wanaotamani kuwa na mali kwa haraka haraka
huanguka kwenye majaribu na wamenaswa na
tamaa nyingi za kipumbavu, zenye kudhuru,
zinazowazamisha watu katika uharibifu na
maangamizi. 10Kwa maana kupenda fedha
ndiyo shina moja la maovu ya kila namna.
Baadhi ya watu wakitamani fedha, wameiacha
amani na kujichoma wenyewe kwa maumivu
mengi.
 
kwa uaminifu kabisa roman haijawahi kuwa katika hali nzuri ya kiroho
Tuambie hali nzuri ya kiroho inafananaje ?

Halafu kila roho inaupekee(uniqueness ) wake kama mimea. Mimea haiwezi kufanana ndio maana kuna mapapai,maembe,machungwa,maparachichi n.k . Kama unaona roho za wakatoliki zinatofautiana na zenu usilazimishe mfanane.

Our Souls will never be the same,we have our own Godly-uniquiness.
 
Tena kwenye hizi ministry ndo hovyo kabisa waumini hawakemewi.
Mtu anawakusanya mashorabaro na masister du maadamu matoleo
2 wathesaloniken2; 9Kuja kwa yule mwasi kutaonekana
kana kwamba ni kutenda kazi kwake Shetani
ambaye hutumia nguvu zote, ishara, maajabu
ya uongo 10na kila aina ya udanganyifu kwa
wale wanaoangamia kwa sababu walikataa
kuipenda kweli wapate kuokolewa. 11Kwa
sababu hii, Mungu ameruhusu watawaliwe na
nguvu ya udanganyifu, ili waendelee kuamini
uongo 12na hivyo wote wahukumiwe ambao
hawakuamini ule ukweli bali wamefurahia uovu.
 
Back
Top Bottom