Pentekoste iliyochangamka

Pentekoste iliyochangamka

Mtani, kumbe tofauti zetu ni jukwaa lile tu, Ila huku tupo pamoja 😀🤝
Aah ndo raha ya kuwa mtanzania mtani...hatuwezi kuchinjana kamweee...
Utofauti wetu wa utani ni utani tuu tukitoka huko tunakutana kwny angle zingine tukiwa wamoja...ahaha 🤣 🤣 🤣 🤣
 
umenifurahisha sanaa sanaaaaaa.
inasikitisha kusikia wanamuita Mungu jina la mzaha kama ilo.
kiufupi biblia inasema yesu atakataliwa na makanisa watamtupa nje ya kanisa atakuwa anabisha hodi yeye atakaemsikia afungue atakula nae.

ila neema ilitujia sisi watu tusio wa israel baada ya waisrael kumkataa masihi. biblia inasema na sisi tutamkataa ili injili iwarudie israel tena watubu
Waisraeli hawa hawa wanaoshirikiana na US kuua watu wasio na hatia GAZA?
 
Roman ndio nini? Kwanza wakatoliki wako sawa miaka zaidi ya 2000 maana kanisa limejengwa juu ya mwamba. Ata atokee Papa wa hovyo kanisa linabaki vizuri. Yesu si mjinga kuliacha kanisa lake kwa Petro. Sasa nyie vinyamkera wa vikanisa vya fulani lazima mteseke. Rudini nyumbani kumenoga.
Yesu Kristu alimwachia Petro kanisa linaitwaje?
 
Huo Ukristu umeufahamu kwa maumivu na safari ndefu iliyopitia Kanisa kwa miaka zaidi ya 2000 mpaka limefika leo, Unajidai kuujua kuliko Mtume Petro aliyeambiwa Juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa langu 😀
Mwananchi naomba ufafanue, hilo kanisa ni kanisa gani!? lilijengwa juu ya mwamba upi? Lilijengwa Yerusalemu au Italy?
 
"Hali ya Pentecoste ni mbaya kuzidi roman"

Tangu Lini Roman Catholic wakawa na hali mbaya?
RC na yenyewe imebadilika baada ya sadaka za Ulaya kuisha.

Waumini wanakaushwa, mwenye nacho anakuwa mungu, masikini hana thamani na hazikwi
 
Kila nikikumbuka injili ya akina Bishop Moses Kulola (Ulokole), Mch.Geoffrey Mbwana (SDA) na Reinhard Bonke (Ulokole) Kisha nikawaangalia Hawa akina sijui Mwamposa, Suguye, Zumaridi, Alex Malasusa na wengineo nasema INJILI ISHAKUFA kifo cha mende.
Kuna IPM, anapenda kafara kule anavyompenda Yesu. Ukimwambia amtumainie Yesu Kristo anaweza kukuua, anataka utumainie KAFARA, ni mwamba fulani hivi mjanja mjanja
 
Ni utawala kamili ndani ya Kristo kumbuka Ukatoliki ndio umeutunza Ukristo kwa miaka 2025 hadi sasa haya makanisa ya kilokole ndo yamekuja kuuharibu angalia makanisani kwenu hakuna mfumo wa mavazi hata ukienda uchi sawa, check nyimbo zenu hazina tofauti na nyimbo za mashetani hazina uvuvio wa Roho Mtakatifu si ajabu muimbaji wa injili kucollable na muimbaji wa shetani wakatoa single,check mastep ya kuzimu kwenye nyimbo zenu
Offcourse Roman Catholic ndio ilioanzisha hiyo hybrid belief wakaiita Christianity faith kwa kuchanganya holy faith na paganic traditions and practices na wamejitahidi kuitunza kwa nguvu zote ila at the expense of suppressing truth. Kanisa lolote linalochipua kutoka Roman Catholic Christianity faith haliwezi kuwa kanisa genuine la watakatifu.

Imani aliyoianzisha Mungu mwenyewe haikuwa Christianity ila imani ya utakatifu. Hii ndio twaweza sema ni dini ya Mungu mwenyewe; ilifuatwa na manabii kabla ya ujio wa Kristo, Yesu Kristo aliishi, mitume baada ya Kristo waliishi na kuihibiri, pamoja na kanisa la mwanzo lililoanzia Yerusalem siku ya pentekoste hii ndio ilikua foundation faith of the church.

Naomba ujue kuwa hapa najaribu kulizungumzia lile kanisa la watakatifu ambalo Yesu aliahidi kulijenga kutoka kwa Petro, ambalo malango ya kuzimu hayawezi kulishinda (hili kanisa Roman Catholic wameshiriki kulisupress na kujaribu kulieliminate); not hiyo hybrid faith called Christianity from Roman Catholic.

Kwa kujifunza soma kitabu cha matendo ya mitume uone kanisa lisiloshindwa na malango ya kuzimu linafananaje then licompare na kanisa lako la Roman Catholic halafu chukua hatua sahihi.
 
Yesu Kristu alimwachia Petro kanisa linaitwaje?
Katoliki. Yani la ulimwengu. Juu ya mwamba. Ndio maana ata lipitie misukosuko gani, halianguki milele. Soma matendo 11:26
"Alipompata akaja naye mpaka Antiokia. Na wote wawili wakakaa huko kwa mwaka mzima, wakiwafundisha wengi walioamini katika kanisa la Antiokia. Hapo Antiokia ndipo waamini waliitwa ‘Wakristo’ kwa mara ya kwanza"
Sasa neno lilotumika hapo kwenye original antiokia ambapo wanazungumza kigiriki ni "katholikos" yani la ulimwengu kama kristo alivo. Hatjitungii tu vitu mkuu. Kanisa ni moja tu takatifu katoliki la mitume.
 
Katoliki. Yani la ulimwengu. Juu ya mwamba. Ndio maana ata lipitie misukosuko gani, halianguki milele. Soma matendo 11:26
"Alipompata akaja naye mpaka Antiokia. Na wote wawili wakakaa huko kwa mwaka mzima, wakiwafundisha wengi walioamini katika kanisa la Antiokia. Hapo Antiokia ndipo waamini waliitwa ‘Wakristo’ kwa mara ya kwanza"
Sasa neno lilotumika hapo kwenye original antiokia ambapo wanazungumza kigiriki ni "katholikos" yani la ulimwengu kama kristo alivo. Hatjitungii tu vitu mkuu. Kanisa ni moja tu takatifu katoliki la mitume.
ACHA KUJITUNGIA VITU
Screenshot_20250306_195923_Chrome.jpg
 
Tuliwaambia haya makanisa ya kufokafoka yamekuja kuuharibu Ukristo mwamba imara pekee wa Ukristo utabakia kwenye Ukatoliki.
SDA kwisha, makanisa ya kilokole kwisha.makanisa hayana tofauti na kumbi za disco, wanawake wanavaa singlend na vimini suruari nyimbo za Dunia ndo nyimbo za injili
Hao sio wapentekoste. Ni wahuni tu
 
Sasa kwani umeona imepingana na nilichosema? Original greek text lililotumika ni katholikos. Ndio wakristo wa kwanza. Soma taratibu mzee. Au nenda catholic.com utapata kuelewa zaidi. Viva eclesia katholikos.
Nilichopost mimi ni tofauti na ulichopost wewe. Huo mtandao wa wakatoliki unataka uandike nini?! Tofauti na wanachotaka kukuaminisha mfuasi wao. Anyways, Injili ua Kistu na mambo ya makanisa wapi na wapi!? Maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom