MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Mtani, kumbe tofauti zetu ni jukwaa lile tu, Ila huku tupo pamoja 😀🤝Namshangaa na mimi...huyu atakua msabato..msabato bila kuiongelea Roman catholic vibaya siku haijaenda...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani, kumbe tofauti zetu ni jukwaa lile tu, Ila huku tupo pamoja 😀🤝Namshangaa na mimi...huyu atakua msabato..msabato bila kuiongelea Roman catholic vibaya siku haijaenda...
Aah ndo raha ya kuwa mtanzania mtani...hatuwezi kuchinjana kamweee...Mtani, kumbe tofauti zetu ni jukwaa lile tu, Ila huku tupo pamoja 😀🤝
Waisraeli hawa hawa wanaoshirikiana na US kuua watu wasio na hatia GAZA?umenifurahisha sanaa sanaaaaaa.
inasikitisha kusikia wanamuita Mungu jina la mzaha kama ilo.
kiufupi biblia inasema yesu atakataliwa na makanisa watamtupa nje ya kanisa atakuwa anabisha hodi yeye atakaemsikia afungue atakula nae.
ila neema ilitujia sisi watu tusio wa israel baada ya waisrael kumkataa masihi. biblia inasema na sisi tutamkataa ili injili iwarudie israel tena watubu
Yesu Kristu alimwachia Petro kanisa linaitwaje?Roman ndio nini? Kwanza wakatoliki wako sawa miaka zaidi ya 2000 maana kanisa limejengwa juu ya mwamba. Ata atokee Papa wa hovyo kanisa linabaki vizuri. Yesu si mjinga kuliacha kanisa lake kwa Petro. Sasa nyie vinyamkera wa vikanisa vya fulani lazima mteseke. Rudini nyumbani kumenoga.
Mambo ya hovyo kabisa.Pata picha hadi kina Christina Shusho wana ministy kaomba talaka ati amtukuzr Mungu...wehu huu
Mwananchi naomba ufafanue, hilo kanisa ni kanisa gani!? lilijengwa juu ya mwamba upi? Lilijengwa Yerusalemu au Italy?Huo Ukristu umeufahamu kwa maumivu na safari ndefu iliyopitia Kanisa kwa miaka zaidi ya 2000 mpaka limefika leo, Unajidai kuujua kuliko Mtume Petro aliyeambiwa Juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa langu 😀
RC na yenyewe imebadilika baada ya sadaka za Ulaya kuisha."Hali ya Pentecoste ni mbaya kuzidi roman"
Tangu Lini Roman Catholic wakawa na hali mbaya?
Kuna IPM, anapenda kafara kule anavyompenda Yesu. Ukimwambia amtumainie Yesu Kristo anaweza kukuua, anataka utumainie KAFARA, ni mwamba fulani hivi mjanja mjanjaKila nikikumbuka injili ya akina Bishop Moses Kulola (Ulokole), Mch.Geoffrey Mbwana (SDA) na Reinhard Bonke (Ulokole) Kisha nikawaangalia Hawa akina sijui Mwamposa, Suguye, Zumaridi, Alex Malasusa na wengineo nasema INJILI ISHAKUFA kifo cha mende.
Can you separate Roman Rule from Roman Catholic historically?Unachanganya kati ya utawala wa Warumi na kanisa katoliki,
Waliouwa watakatifu ni utawala wa Warumi.Aabudiwi shetani pale bali Yesu Kristo
Offcourse Roman Catholic ndio ilioanzisha hiyo hybrid belief wakaiita Christianity faith kwa kuchanganya holy faith na paganic traditions and practices na wamejitahidi kuitunza kwa nguvu zote ila at the expense of suppressing truth. Kanisa lolote linalochipua kutoka Roman Catholic Christianity faith haliwezi kuwa kanisa genuine la watakatifu.Ni utawala kamili ndani ya Kristo kumbuka Ukatoliki ndio umeutunza Ukristo kwa miaka 2025 hadi sasa haya makanisa ya kilokole ndo yamekuja kuuharibu angalia makanisani kwenu hakuna mfumo wa mavazi hata ukienda uchi sawa, check nyimbo zenu hazina tofauti na nyimbo za mashetani hazina uvuvio wa Roho Mtakatifu si ajabu muimbaji wa injili kucollable na muimbaji wa shetani wakatoa single,check mastep ya kuzimu kwenye nyimbo zenu
Papa sio mkuu kuliko kanisa,kanisa katoliki halisapoti ushogaRC wanapofeli ni kusapoti ushoga,na kutimiza agenda za utawala wa kirumi kupitia mgongo wa kanisa.
Mkuu punguza mahaba na uruhusu akili kufikiria ipasavyo,mapadri hadi wametenguliwa kwa kumpinga papa dhidi ya ushoga akisema mashoga wapewe heshima na utu wasibaguliwe maana ushoga sio dhambi ni hali ya kibinadamu.Papa sio mkuu kuliko kanisa,kanisa katoliki halisapoti ushoga
Katoliki. Yani la ulimwengu. Juu ya mwamba. Ndio maana ata lipitie misukosuko gani, halianguki milele. Soma matendo 11:26Yesu Kristu alimwachia Petro kanisa linaitwaje?
ACHA KUJITUNGIA VITUKatoliki. Yani la ulimwengu. Juu ya mwamba. Ndio maana ata lipitie misukosuko gani, halianguki milele. Soma matendo 11:26
"Alipompata akaja naye mpaka Antiokia. Na wote wawili wakakaa huko kwa mwaka mzima, wakiwafundisha wengi walioamini katika kanisa la Antiokia. Hapo Antiokia ndipo waamini waliitwa ‘Wakristo’ kwa mara ya kwanza"
Sasa neno lilotumika hapo kwenye original antiokia ambapo wanazungumza kigiriki ni "katholikos" yani la ulimwengu kama kristo alivo. Hatjitungii tu vitu mkuu. Kanisa ni moja tu takatifu katoliki la mitume.
Roman Catholic follow Jesus doctrine through Bible as guidance but Roman empire don't follow the bible as act to govern.Can you separate Roman Rule from Roman Catholic historically?
Hao sio wapentekoste. Ni wahuni tuTuliwaambia haya makanisa ya kufokafoka yamekuja kuuharibu Ukristo mwamba imara pekee wa Ukristo utabakia kwenye Ukatoliki.
SDA kwisha, makanisa ya kilokole kwisha.makanisa hayana tofauti na kumbi za disco, wanawake wanavaa singlend na vimini suruari nyimbo za Dunia ndo nyimbo za injili
Sasa kwani umeona imepingana na nilichosema? Original greek text lililotumika ni katholikos. Ndio wakristo wa kwanza. Soma taratibu mzee. Au nenda catholic.com utapata kuelewa zaidi. Viva eclesia katholikos.ACHA KUJITUNGIA VITUView attachment 3261607
Nilichopost mimi ni tofauti na ulichopost wewe. Huo mtandao wa wakatoliki unataka uandike nini?! Tofauti na wanachotaka kukuaminisha mfuasi wao. Anyways, Injili ua Kistu na mambo ya makanisa wapi na wapi!? Maisha yaendeleeSasa kwani umeona imepingana na nilichosema? Original greek text lililotumika ni katholikos. Ndio wakristo wa kwanza. Soma taratibu mzee. Au nenda catholic.com utapata kuelewa zaidi. Viva eclesia katholikos.