FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #61
Huyo jamaa ni manager wa kiwanda cha Soda, sasa hapo anakutoa kwenye reli na wewe unaenda tu kama kiberenge kibovu 😂Wanaume by default ni risk takers , kuna siku ahadi zinakwama , plan b lazima ihusike , nasema tena sidhani kama kuna mwanaume rijali hajawahi jaribu punyeto
Wapi nimesema kuna shida?Kama hai toi uhai shida ipo wapi
Ndio baby. Wewe najua utaishi milele mke wangu mzuri. Unitunzie watoto mama angu.lakini utakufa tu
Kwanini umeamua kuacha bajeti inabana au Kuna lingine?Mara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka mule, hii si kawaida.
Mwezi uliopita nikasema hata ikibidi nife kwa kukosa soda, so be it, ila sinywi hata iweje, ni wiki ya 5 leo sijanywa soda, napitia wakati mgumu sana, ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri.
Nimeona comment yako isielee hewani, so nimereply tuKwanini umeamua kuacha bajeti inabana au Kuna lingine?
Ukireply inazama?Nimeona comment yako isielee hewani, so nimereply tu
Kunyweni soda nyie kufa mtakufa tu
Duuh watu wamevurugwa ati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]hii comment yako nimecheka hadi nimepaliwa na bia yanguUna mapepo kakanyage mafuta
Na ndio maana utakufa mapema na kuzeeka mapema na kinga za mwili wako zitakuwa chini, alcohol kiasi ndani yw mwili wa binadamu ina faida kubwa sana kuliko hasaraMwaka wa 8 huu sinywi hayo matakataka. Sio soda, sio juice za kopo, sio energy drinks, sio aina yoyote ya kilevi. Vilevi vingine nje ya soda sijawahi kuvigusa toka nizaliwe. Ni maji tu.
Duuh...! Kumbe imo imendikwa?. Eti kinywaji wanakukataza kuchanganya hata na majiHawatupii kwa siri..
Wameandika kabisa pale kuwa kuna Caffeine ndani.
Caffeine ina CNS effect..kwahiyo addiction ni lazima...The same applies kwa kahawa nayo ina caffeine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mke wangu. Wewe utaishi milele mama watoto.Na ndio maana utakufa mapema na kuzeeka mapema na kinga za mwili wako zitakuwa chini, alcohol kiasi ndani yw mwili wa binadamu ina faida kubwa sana kuliko hasara
au alikojoa nyuma ya mlango wa chumbani akidhani ni choonianatafuta msaada wa kuacha pombe ni ama imwmfilisi au alijikojolea