Ndio masumu mengine hayo unaruka mkojo unakanyaga mavi.Kwani nyanya chungu zina utamu gani?
Chips unaweza kuweka spice ili kupata ladha unayoitaka, usidhani spice zipo supermarket kama urembo.
Kuna Babq, chicken masala, beef masala and likes.
Kukwepa mafuta kwani huandaliwa kwa mafuta mengi.
Spice ni sumu?;unaelewa spice ni nini au unaropoka tu?Ndio masumu mengine hayo unaruka mkojo unakanyaga mavi.
Sio zote ni natural nyingi ni artificial zilizotengenezwa viwandaniSpice ni sumu?;unaelewa spice ni nini au unaropoka tu?
Nenda Zanzibar ukajifunze spice ni nini?
Kitu usichokielewa ni bora ukae kimya, mimi spice huwa nanunuwa kwa Muhindi karibu na Co cabs pale kuna mashine wanasaga wao wenyewe natural, spice nyingi zinapatikana hapo.Sio zote ni natural nyingi ni artificial zilizotengenezwa viwandani
Ni vizuri kama ni natural, ila anachosema ni kwamba kuna spices za kuchanganya madawa viwandani, na hizo ndizo nyingi madukaniKitu usichokielewa ni bora ukae kimya, mimi spice huwa nanunuwa kwa Muhindi karibu na Co cabs pale kuna mashine wanasaga wao wenyewe natural, spice nyingi zinapatikana hapo.
Hiyo haijawekwa kwenye addiction, pengine ndio mahitaji yako sahihi ya maji mfano labda wewe washikaji hukuona kama pande la jitu.Mimi matumizi yangu makubwa Ni maji, kwa 24 hrs nakunywa 1.5 lt chupa 6 au 7. Kwenda kwa watu lazima nibebe maji kwenye begi. Safarini napata tabu Sana maana nalazimika kutokunywa maji ili kuzuia kukojoa Mara kwa Mara. Je hii nayo Ni addiction?
Mimi sijaacha ila ukitaka kuacha ni rahisi tu ,ukifanya hiviHongera mkuu, tuendelee kupeana moyo, tutafanikiwa na hii kadhia, nimejidhatiti kweli kweli
Mara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka mule, hii si kawaida.
Mwezi uliopita nikasema hata ikibidi nife kwa kukosa soda, so be it, ila sinywi hata iweje, ni wiki ya 5 leo sijanywa soda, napitia wakati mgumu sana, ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri.
We jamaa naona unakusudia kuharibu hali ya hewa.Addiction ni kila mahali, mm siwezi kulala bila kuona hata nembo ya CCM, yaani CCM imejaa rohoni na moyoni, nikisikia mtu anaisema vibaya CCM moyo unaniuma sana, sbb nimezaliwa nayo na nimekulia nayo. Ndio maisha yangu, bila CCM Imara nchi yetu ingeyumba sanaa huenda leo tungekuwa kama nchi za waafrika wenzetu, vita kila kona, CCM daima na milele, Mungu nisaidie, Amen.
Meneja wa kiwanda cha soda huyoWe jamaa naona unakusudia kuharibu hali ya hewa.
Ngoja tusubiri.
Napenda maji pia , japo sjiafika kiwango chako ila nakunywa wastani wa lita 5 kwa siku.Mimi matumizi yangu makubwa Ni maji, kwa 24 hrs nakunywa 1.5 lt chupa 6 au 7. Kwenda kwa watu lazima nibebe maji kwenye begi. Safarini napata tabu Sana maana nalazimika kutokunywa maji ili kuzuia kukojoa Mara kwa Mara. Je hii nayo Ni addiction?
Unafanya hayo yote..na bado unagonga kavu.hhaahhahahaMara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka mule, hii si kawaida.
Mwezi uliopita nikasema hata ikibidi nife kwa kukosa soda, so be it, ila sinywi hata iweje, ni wiki ya 5 leo sijanywa soda, napitia wakati mgumu sana, ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri.
Hata mimi naweza ongea shombo kama wewe lakini kwa vile mimi ni baba yako na hata mama yako anajua hilo basi nimekustahi mwanangu.Sawa mke wangu. Wewe utaishi milele mama watoto.
Soda ni hatari kuliko Bia, fanyeni utafiti.Mara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka mule, hii si kawaida.
Mwezi uliopita nikasema hata ikibidi nife kwa kukosa soda, so be it, ila sinywi hata iweje, ni wiki ya 5 leo sijanywa soda, napitia wakati mgumu sana, ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri.
Umefikia wapi ktk kampen yako ya kujizuia kunywa soda???Niombeni jamani mimi nina masaa mawili bado sijakumbuka soda ila nataka niache niombeeni siku iishe bila kunywa
Una watoto? Ulizaa na mkeo kwa kutumia Condom? Hongera
Sidhani kama alitoboa zaidi ya hayo masaa mawili 😂😂Umefikia wapi ktk kampen yako ya kujizuia kunywa soda???
Kwamba unakunywa 9lts kwa siku? Hilo nalo ni tatizo mkuu, hizo kidney zako zinapiga mzigo zaidi ya kawaida. Lakini pia unapoteza nutrients nyingi kupitia filtration, 9lts per day, unafanya shughuli gani mkuu?Mimi matumizi yangu makubwa Ni maji, kwa 24 hrs nakunywa 1.5 lt chupa 6 au 7. Kwenda kwa watu lazima nibebe maji kwenye begi. Safarini napata tabu Sana maana nalazimika kutokunywa maji ili kuzuia kukojoa Mara kwa Mara. Je hii nayo Ni addiction?