FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #121
Ni kweli, maji lita 2 - 3 zinatosha sana kwa binadamu wa kawaidaKwamba unakunywa 9lts kwa siku? Hilo nalo ni tatizo mkuu, hizo kidney zako zinapiga mzigo zaidi ya kawaida. Lakini pia unapoteza nutrients nyingi kupitia filtration, 9lts per day, unafanya shughuli gani mkuu?
Ungesubiri ukomae ndio uolewe,unaona Sasa?Ungekomaa kidogo tu,vijeba tungekuoa na usingefanya huo ujinga.Mimi matumizi yangu makubwa Ni maji, kwa 24 hrs nakunywa 1.5 lt chupa 6 au 7. Kwenda kwa watu lazima nibebe maji kwenye begi. Safarini napata tabu Sana maana nalazimika kutokunywa maji ili kuzuia kukojoa Mara kwa Mara. Je hii nayo Ni addiction?
DuuhUngesubiri ukomae ndio uolewe,unaona Sasa?Ungekomaa kidogo tu,vijeba tungekuoa na usingefanya huo ujinga.
Nlipoona headline ikanibidi nicheke .... mkuu tupo pqmoja hata mimi hii ni wiki ya 5 cjaweka daso mdomoni ... majaribu ni mengi kuna mda wife anatenga chakula na soda ila mpaka sasa cjanywa kabisaMara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka mule, hii si kawaida.
Mwezi uliopita nikasema hata ikibidi nife kwa kukosa soda, so be it, ila sinywi hata iweje, ni wiki ya 5 leo sijanywa soda, napitia wakati mgumu sana, ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri.
Hatari sana ππNlipoona headline ikanibidi nicheke .... mkuu tupo pqmoja hata mimi hii ni wiki ya 5 cjaweka daso mdomoni ... majaribu ni mengi kuna mda wife anatenga chakula na soda ila mpaka sasa cjanywa kabisa
kibarua rahisi hicho njooo huku kwenye biere nimeaamua kuacha sasa saa ya 15 inaingia nautamani hadi mkojo wangu niunyweHatari sana [emoji23][emoji23]
Hahahahahπππππkibarua rahisi hicho njooo huku kwenye biere nimeaamua kuacha sasa saa ya 15 inaingia nautamani hadi mkojo wangu niunywe
Hakuna aliekufa lakin madhara yake ni makubwa sana tofauti na unavyofikiria:-Nani alikufa kwa kunywa soda?
Hakuna aliekufa lakin madhara yake ni makubwa sana tofauti na unavyofikiria:-
1-Kunenepa kupita kiasi
2-Kupata kisukari
3-Kupata kansa
Tuendelee kujidhatiti, haya yote ni maamuzi tu, wacha tukaze tu.., tangu nimaemua kujicontrol hivyo vitu, japo naumia moyoni, ila najiona mtu bora zaidi, free of Soda, free of alcohol, bado hapo kwenye mchepuko ndio napambania..Mwaka wa tatu huu sijagusa mchepuko Wala mpango wa Kando.
Mwezi wa Saba huu siijui ladha ya beer.
Mwaka wa tatu sijawahi kuingia gesti.
Penye njia Pana Nia.
Hongera mkuu.Soda zina sumu nyingi ikiwepo Cocaine na Caffeine ambazo ni addictive.Wanasema siku hizi Cocaine haipo lakini si kweli,ndio maana sodaMara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka mule, hii si kawaida.
Mwezi uliopita nikasema hata ikibidi nife kwa kukosa soda, so be it, ila sinywi hata iweje, ni wiki ya 5 leo sijanywa soda, napitia wakati mgumu sana, ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri.
===============================
===============================
Update: 09/11/2021
We jamaa una makusudi!!! Hii ukiipata na jua hili la daslaam unaona dunia yooote yakoMkuu una moyo mgumu sana. Au unaishi njombe?View attachment 2008276
Daaah, jamani jamani.... hii sio poaHongera Mkuu, kwa kuachana na matumizi yasofaa ya soda..
Vinywaji kama Soda ,sukari yake ni aina ya Fructose.. Tofauti na Sukari tunayopata kwa Msosi yaan Glucose.
Glucose huwa inatumika na kila seli mwilin ..lkn Fructose yenyewe huvunjwa vunjwa na INI pekeake .
Sasa unapokunywa masoda meeeeengi..
Unaongeza mafructose meeeeeeeeengi.
Haya Ma fructose yanaenda moja kwa mbili kwenye INI..yakifika hapo ndo huvunjwa vunjwa.
Sasa yakiwa meeeeeeengi, INI linayavunja weeeeeee.....
Mengine yatamwagwa kwenye damu..mengine yatabakia kwa INI na baada ya muda husababisha tatizo la kiafya lijulikanalo kama NONALCOHOLIC FATTY LIVER DISEASE.
lkn poaaa haya mafructosee hisababisha mafuta mengi ,MTU anakua mzitoo, uwezekano wa kupata Kisukarii , magonjwa ya moyoooo n.k
Lkn pia nihatari kwa Meno