Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka


nakukosoa tena

hatusomi kwa lengo la kuwa matajiri
 

Yani we rudi shule,umeshinda hapa unasema nn na wewe unafanya nn......yani kama nakuona ulivyo mpori mpori bila kugusa shule sijui ingekuwaje.
 
maofisini hao wasomi hawafanyi unayoyasema? hawaongwi? hawashikwi makalio? hawaombi bia bar? hawafanyi kazi bora liende? tatizo nao ni nn elimu au


Ha ha utasanda Sana huko vichochoroni elimu utaisikia kwenye bomba....

Njoo uwe farm manager wangu kule malinyi ujifunze kuwaza nje ya miziki ya kishenzi na zinaa
 
Hizi product tunazozizungumzia za udsm mzumbe saut tumain.....maji marefu ana elimu gani?mh bweg.e wa kilwa ana elimu gani?.

si umeona hata mapendekezo ya katiba mpya yalivyowatenga ambao hamjasoma

nyanja zote nyeti za kiutawala zimewapa kisogo wasiosoma.. Hao akina maji marefu unaowataja ni kizazi kinachoondoka.. Sasa we baki na hyo mifano halafu kuanzia 2015 ujihisi umetengwa
 
Teh teh teh teh napita tu ila siku zote...MASKINI HAWAISHIWI NDOTO!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 

This comment is too weak, hata sijategemea kama unaweza kuandika ivi
 

Haahah sasa kama unamwambia mwenzako kutwa nzima yupo humu na ww si unakuaga humu

daahhh kweli elimu ni bahari

wacha elimu iitwe elimu ukiikosa basi jiandae kujiona mpweke

ndugu yangu karne hii ya 21 kama hujafika ht kidato 6 au 4 bs jiandae kutemgwa na mfumo

miaka kadhaa ijayo bila degree utasahaulika kila sekta

HALAFU UNAMWULIZA MWENZAKO ANASIKILIZA MUZIKI GANI

KWANI MWANAMUZIKI NI DADAMONDI TU?


AU KWA AKILI YAKO FUPI UNADHANI KILA MTU NI MDAU WA MUZIKI

POLEEEE
 
Yani we rudi shule,umeshinda hapa unasema nn na wewe unafanya nn......yani kama nakuona ulivyo mpori mpori bila kugusa shule sijui ingekuwaje.


Yaani hata ningeacha kwenda shule kwa assets za wazazi tu ningeishi vizuri...

Akili zenu zinafikiri wanaofanya kazi maofisini hawana vitega uchumi au hawajishughulishi na chochote hapo ndo mna kazi...

Ila usijali hata wasomi wapo wa type yenu maisha yao yote ni kujibidiisha katika upuuzi tu sema wanachowazidi ni hizo pension na bima za maisha zinazowafanya wasiwe omba omba Kama nyie mkifulia....

Anza Leo kutengeneza life la mtoto Kama ulikataa mimba mfwate mama Wa mtoto mwombe radhi mtengenezee mtoto future nzuri...

Hayo maisha ya mtoto kukuzwa na mama yake huku akifundishwa kumtukana...kumchukia baba mabaya mno ndo mana tunaona Leo huyo king wenu akishindana na babaye kwa media....

Usomi raha asikwambie MTU jitahidi MPE elimu mwanao utaja nambia...
 

Siku zote mtu aliyebahatisha shule ndio ana kelele sana....jiamini,km una shule nzuri tutakuona tu.
 
Miss Tanzania 2006 top 5 yote baba mmoja mama mmoja
Wema
Wolper
Jocket
Lisa johson
.......

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Ahahahha mi binafsi sijaona faida ya kuiga haya mashindano.. Sana sana imekuwa kijiwe cha kuwalghai mabinti kuwatumia ktk ngono kwa mgongo wa kuwafanya wawe maarufu

nashauri haya mashindano yafutwe

kwanza hayaendani na maadili ya kitz
 

unatamani unayosema yangekuwa kweli...Endelea kujipa faraja.
 
Elimu ni tofauti na cheti mtu alichotunukiwa.kipimo cha mtu kulingana na elimu yake tunampima kwa jinsi anavyoweza kukabiliana na matatizo yake na kutatua changamoto zake bnafsi kwanza,Sasa mdada yule anaupeo mdogo sn ndo maana anatembea na watu ambao hawana uwezo wa kumfikisha popote pale zaidi ya kumla madini na kujizalilisha ktk magazeti ya bei rahisi tu na yanayo somwa na wasiokuwa na ufaham.
 
Siku zote mtu aliyebahatisha shule ndio ana kelele sana....jiamini,km una shule nzuri tutakuona tu.

Serikali haijawahi kuwaheshimu au kuwathamini watu wasioenda shule , na ndio maana wasanii wakiumwa hawapewi hata elfu mbili ya panadol, ila wasomi wanapelekwa INDIA au GERMANY kutibiwa, bongo fleva/movie mnafia kwenye nyumba za kupanga, wenzenu wanatibiwa bure tena nchi za nje, ahahahaah ahahahaaha ahahaha NAIPENDA TANZANIA.
 
Nadhani wema na team yake wote wamevamia Jf kuja kumtetea bahasha wao kazi ipo nahisi kabisa matumbo ni aunt ezekiel,mtvbase ni wema mwenyewe waliobaki hao ndio zile team zake zote
 


Ha ha ha binamu umetisha!!!

Daah nipo likizo ujue Leo nimepata raha ya kushuhudia kima bila kwenda mikumi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…