Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

ngoja nikwambie kwanini wasomi wa tz hawawezi kujiajiri hata kama mtaji anao
1.professionals are not risk taker.ili ujiajiri inabidi ujue kuna kupata na kukosa hakuna biashara ni riskfree.sasa msomi anachukua mkopo bank mil.20 mfano lakini akifikiria kwamba anaweza kufanya biashara zikakwama anaona bora anunue verossa tu.
2.wasomi sio wabana matumizi wakati ili ufanikiwe kibiashara sheria namba moja ni increase revenue while decrease expenses.sasa msomi anapata mshahara mil.2 lakini tarehe 20 umeshaisha
3.wasomi hawasevu hela
kama usevu sahau kujiajiri maana hakuna kitu anachokipenda mwajiri kama aliyemuajiri asevu hela maana anajua utaendelea kumtegemea yeye tu.ndio maana haitatokea maaskari wakalipwa mshahara mkubwa hata siku moja maana wanaamini hakuna mtu atakayekubali kumlinda mwanadamu mwenzie wakati anaweza kujiajiri.
Sasa kama wewe unataka kujiajiri kama mimi zingatia haya

nakukosoa tena

hatusomi kwa lengo la kuwa matajiri
 
Calm down kima hapo sijakuonesha tope ukiliona si utalia kabisa??

Umekazana sijajiajiri umeajuaje? Tukiwaambia ukweli mnalia lia...

Ajira imeniwezesha kununua shamba malinyi zaidi ya ekari 200 nimelima 150 za mpunga mwaka huu na mavuno yalikua poa Sana...

Piga hesabu nimetoa ajira kiasi gani halo ( Kama unaweza maana huwa mnajua kuhesabu idadi ya mademu tuu)

Mi sihangaiki kutafuta kick kwa media nakula kivulini na ajira imenipa vitu vingi tu ....

Baba yangu kupitia ajira ametusomesha wote nyumbani...tumeishi standard life full ustaarabu....kasaidia nduguze sasa muulize kima mwenzio alipata standard life? Hivi Kama anamtoto kwa maisha Yale anavuna nini yarabi??

Wazazi waliajiriwa wametuachia assets ambazo hata nikiamua kukaa tuu naishi bila wasi wasi...

Kazi kwenu mlozoea maisha ya kuombana mboga..chumvi..nguo n.k n.k

Tangu Jana nilikwambia nikipasua fuvu hilo hakuna uwazalo zaidi ya Chakula...pombe..ngono..na ushenzi mwingine Wa dunia

Yani we rudi shule,umeshinda hapa unasema nn na wewe unafanya nn......yani kama nakuona ulivyo mpori mpori bila kugusa shule sijui ingekuwaje.
 
maofisini hao wasomi hawafanyi unayoyasema? hawaongwi? hawashikwi makalio? hawaombi bia bar? hawafanyi kazi bora liende? tatizo nao ni nn elimu au

Ha ha utasanda Sana huko vichochoroni elimu utaisikia kwenye bomba....

Njoo uwe farm manager wangu kule malinyi ujifunze kuwaza nje ya miziki ya kishenzi na zinaa
 
Hizi product tunazozizungumzia za udsm mzumbe saut tumain.....maji marefu ana elimu gani?mh bweg.e wa kilwa ana elimu gani?.

si umeona hata mapendekezo ya katiba mpya yalivyowatenga ambao hamjasoma

nyanja zote nyeti za kiutawala zimewapa kisogo wasiosoma.. Hao akina maji marefu unaowataja ni kizazi kinachoondoka.. Sasa we baki na hyo mifano halafu kuanzia 2015 ujihisi umetengwa
 
Teh teh teh teh napita tu ila siku zote...MASKINI HAWAISHIWI NDOTO!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Nitajie mwanamuziki aliyesoma either kusomea muziki kabisa au kusoma tu sana ambaye ametoa ajira au vibarua kwa watu ata watatu hapa bongo ili tujivunie elimu yake.......na kuwa manager ni performance sio vyeti hivi mbona hamuelewi nyinyi,rakii msomi alifanya nn. we na vyeti vyako beki tatu wako hana ata simu,mwenzio shule ana wasaidizi wake wana mpaka magari

This comment is too weak, hata sijategemea kama unaweza kuandika ivi
 
hebu nambie miziki unayosikiliza wewe ni ya kina nani!!?? boya mwenyewe we umeajiriwa tu unatumwa na boss wako kama kenge tu!! mtu aliyejiajiri na anaingiza hata net profit ya million tu kwa mwez amekuzidi mbali sana kenge wee!! sidhan hata kama una kaz mana kutwa nzima naona uko humu kujitutumua tu eti msomi.... kenge kabisa wewe!! ningekuwa karibu na wewe ningekunasa makofi kabisa we kilaza

Haahah sasa kama unamwambia mwenzako kutwa nzima yupo humu na ww si unakuaga humu

daahhh kweli elimu ni bahari

wacha elimu iitwe elimu ukiikosa basi jiandae kujiona mpweke

ndugu yangu karne hii ya 21 kama hujafika ht kidato 6 au 4 bs jiandae kutemgwa na mfumo

miaka kadhaa ijayo bila degree utasahaulika kila sekta

HALAFU UNAMWULIZA MWENZAKO ANASIKILIZA MUZIKI GANI

KWANI MWANAMUZIKI NI DADAMONDI TU?

AU KWA AKILI YAKO FUPI UNADHANI KILA MTU NI MDAU WA MUZIKI

POLEEEE
 
Yani we rudi shule,umeshinda hapa unasema nn na wewe unafanya nn......yani kama nakuona ulivyo mpori mpori bila kugusa shule sijui ingekuwaje.

Yaani hata ningeacha kwenda shule kwa assets za wazazi tu ningeishi vizuri...

Akili zenu zinafikiri wanaofanya kazi maofisini hawana vitega uchumi au hawajishughulishi na chochote hapo ndo mna kazi...

Ila usijali hata wasomi wapo wa type yenu maisha yao yote ni kujibidiisha katika upuuzi tu sema wanachowazidi ni hizo pension na bima za maisha zinazowafanya wasiwe omba omba Kama nyie mkifulia....

Anza Leo kutengeneza life la mtoto Kama ulikataa mimba mfwate mama Wa mtoto mwombe radhi mtengenezee mtoto future nzuri...

Hayo maisha ya mtoto kukuzwa na mama yake huku akifundishwa kumtukana...kumchukia baba mabaya mno ndo mana tunaona Leo huyo king wenu akishindana na babaye kwa media....

Usomi raha asikwambie MTU jitahidi MPE elimu mwanao utaja nambia...
 
si umeona hata mapendekezo ya katiba mpya yalivyowatenga ambao hamjasoma

nyanja zote nyeti za kiutawala zimewapa kisogo wasiosoma.. Hao akina maji marefu unaowataja ni kizazi kinachoondoka.. Sasa we baki na hyo mifano halafu kuanzia 2015 ujihisi umetengwa

Siku zote mtu aliyebahatisha shule ndio ana kelele sana....jiamini,km una shule nzuri tutakuona tu.
 
Miss Tanzania 2006 top 5 yote baba mmoja mama mmoja
Wema
Wolper
Jocket
Lisa johson
.......

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Ahahahha mi binafsi sijaona faida ya kuiga haya mashindano.. Sana sana imekuwa kijiwe cha kuwalghai mabinti kuwatumia ktk ngono kwa mgongo wa kuwafanya wawe maarufu

nashauri haya mashindano yafutwe

kwanza hayaendani na maadili ya kitz
 
Yaani hata ningeacha kwenda shule kwa assets za wazazi tu ningeishi vizuri...

Akili zenu zinafikiri wanaofanya kazi maofisini hawana vitega uchumi au hawajishughulishi na chochote hapo ndo mna kazi...

Ila usijali hata wasomi wapo wa type yenu maisha yao yote ni kujibidiisha katika upuuzi tu sema wanachowazidi ni hizo pension na bima za maisha zinazowafanya wasiwe omba omba Kama nyie mkifulia....

Anza Leo kutengeneza life la mtoto Kama ulikataa mimba mfwate mama Wa mtoto mwombe radhi mtengenezee mtoto future nzuri...

Hayo maisha ya mtoto kukuzwa na mama yake huku akifundishwa kumtukana...kumchukia baba mabaya mno ndo mana tunaona Leo huyo king wenu akishindana na babaye kwa media....

Usomi raha asikwambie MTU jitahidi MPE elimu mwanao utaja nambia...

unatamani unayosema yangekuwa kweli...Endelea kujipa faraja.
 
Elimu ni tofauti na cheti mtu alichotunukiwa.kipimo cha mtu kulingana na elimu yake tunampima kwa jinsi anavyoweza kukabiliana na matatizo yake na kutatua changamoto zake bnafsi kwanza,Sasa mdada yule anaupeo mdogo sn ndo maana anatembea na watu ambao hawana uwezo wa kumfikisha popote pale zaidi ya kumla madini na kujizalilisha ktk magazeti ya bei rahisi tu na yanayo somwa na wasiokuwa na ufaham.
 
Siku zote mtu aliyebahatisha shule ndio ana kelele sana....jiamini,km una shule nzuri tutakuona tu.

Serikali haijawahi kuwaheshimu au kuwathamini watu wasioenda shule , na ndio maana wasanii wakiumwa hawapewi hata elfu mbili ya panadol, ila wasomi wanapelekwa INDIA au GERMANY kutibiwa, bongo fleva/movie mnafia kwenye nyumba za kupanga, wenzenu wanatibiwa bure tena nchi za nje, ahahahaah ahahahaaha ahahaha NAIPENDA TANZANIA.
 
Nadhani wema na team yake wote wamevamia Jf kuja kumtetea bahasha wao kazi ipo nahisi kabisa matumbo ni aunt ezekiel,mtvbase ni wema mwenyewe waliobaki hao ndio zile team zake zote
 
Serikali haijawahi kuwaheshimu au kuwathamini watu wasioenda shule , na ndio maana wasanii wakiumwa hawapewi hata elfu mbili ya panadol, ila wasomi wanapelekwa INDIA au GERMANY kutibiwa, bongo fleva/movie mnafia kwenye nyumba za kupanga, wenzenu wanatibiwa bure tena nchi za nje, ahahahaah ahahahaaha ahahaha NAIPENDA TANZANIA.

Ha ha ha binamu umetisha!!!

Daah nipo likizo ujue Leo nimepata raha ya kushuhudia kima bila kwenda mikumi...
 
Back
Top Bottom