Hana jipya alikuwa anajambajamba tu, hapa siyo jukwaa la kujadili marehemu wa kisiasa.
Yale maswali alikuwa anaulizwa na Salama vipi kuhusu Lekadutigite anazuga wasanii wote 13 wana hisa na wakati huohuo Lekadutigite ina hisa kwenye kampuni nyingine mali ya Zitto eti pesa ikiingia wanapewa gawiwo!!
Kweli sasa nimeamini wasiosoma ni chakula ya wasomi, nyinyi mlikuwa mnaponda wasomi ona sasa Zitto msomi mmoja tu alivyowatumia vilaza wakata viuno 13 kupiga pesa. endeleeni kukimbia umande tu sasa ni zamu ya kwenda kumkatikia mauno Lowasa.
Wanabodi,
Nimemsikiliza, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe akihojiwa kwenye kipindi cha Mikasi!, kiukweli, tukubali, tukatae, ZZK ni Mzalendo wa kweli wa nchi hii, katika suala la Muundo wa Muungano, ZZK ni kama Nyerere, anaamini katika muungano wa serikali Moja!, yenye rais mmoja na mawaziri wakuu wawili!. Huu ndio ulikuwa msimamo wa Baba wa Taifa katika muungano wa serikali mbili kuelekea moja!.
Kwenye hii interview ya ZZK nimempa baadhi ya alama zifuataza kwenye pros and cons.
Tukianza na pros
1. Uwezo wa kujieleza ( expressing himself) nampa 100%
2. Uwezo wa ushawishi ( convincing power) nampa 100%
3. Ni kiongozi Mtendaji na sio tuu msemaji (action oriented) 100%
4. Kuaminika (trustworthness) 75%
5. Uaminifu (Honesty) 75%
6. Kujijengea heshima (Integrity) 100%
7. Uwajibikaji (responsibility) 75%
8. Kujiamini (confidence) 150%
9. Kuthamini kazi yake (enthusiasm) 100%
10. Kijitoa kutumikia watu (dedication) 100%
11. Kuipenda kazi yake (passion) 100%
12. Kuingwa mfano (Inspiration) 100%
13. Muonyesha njia (trend setter) 150%
14. Kupigiwa mfano (role model) 100%
15. Muhamasishaji (motivator) 100%
16. Mpanga mikakati (organiser) 100%
17. Ushirikiano (team player) 50%
18. Ustahimilivu (endurance) 50%
19. Uvumilivu (tolerance) 50%
20. Uchambuzi (analytical) 100%
21. Kusimamia malengo (keeping focus) 75%.
22. Kujitoa (commitment) 100%
23. Uono (visionary leader) 100%
24. Kazaliwa kuongoza (born leader) 100%
25. Kajengwa Kuongoza (made leader) 100%
Cons
1. Kuaminika kwa mashaka
2. Not a good team player
3. Not settled emotionally
4. No stable in love
5. Umimi egotism.
6. Kujiamini kupitiliza (over confidence)
7. Kujikweza (superiority complex)
8. Kujifagilia kwa sana (boastfulness)
9. Kuambilika haambiliki
10. Fault finder hivyo ni parfectionist!.
Maeneo yote hayo nimeya observe kwenye mahojiano yake!.
Chama chake kina viongozi wengi wenye uwezo, ila kwa calibre yake, he is the one and only ndani ya chama chake akifuatiwa na JJ Mnyika kwa karibu, wengine karibo wote wako mbali sana!.
Amethibitisha kizingiti za umri kikiondolewa, na sifa za rais tunayemtaka zikikosekana, ataingia kwenye kinyang'anyiro hicho, hivyo na mimi namuweka ZZK kuwa ni number 2 baada ya "yule jamaa yetu!" .