Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We huwapigii magoti kuwaomba kazi?
Kwani mkikubali dogo kawazidi kwa sasa kuna ubaya gani? roho mbaya tuu zimewajaaa!
Ahahaha TEAM JAMII FORUM VS TEAM INSTAGRAM tuone kazi sasa legooooooo!!!!!!!...
Nchi imejaa mijitu ina wivu na roho mbaya...alafu jk anasema hajui kwa nn nchi ni maskini.......Mtu anajisifia usomi hamna lolote njaa tupu,utayakuta halmashaur uko kazi kushindana suti za vitenge mishamba mishamba tu....iko empty upstairs haijui chochote.....mie sijawahi ona mtu anamchukia mtu asiyemzidi,yani uwezi kesha unakomaa kumshusha mtu aliye chini...Hongera Diamond wasomi wanaugua wakiskia matusi yako.
Mimi nakaa na wajasiriamali wenzangu ambao najuwa wamenizidi kila kitu na mzunguko wao wa pesa haupungui millioni 200 kwa siku na hatuna muda wa kudiscuss ufuska zaidi ya biashara tu.
Watu wanamchukia diamond kwa wivu kwa kisingizio cha elimu.Michael Owen aliwahi kusema kama ingekuwa kusoma ndio njia pekee ya kufanikiwa asingekuwa na pesa na heshima kwenye jamii maana anasema akipewa kitabu asome hata dk 5 hamalizi atasinzia tu
Ahahaha TEAM JAMII FORUM VS TEAM INSTAGRAM tuone kazi sasa legooooooo!!!!!!!...
Jamii forum raha yake watu hawavumilii upumbavu, huku kusifiwa sana hamna na lazima ukubali mawazo mbadala.No kutukuzana sana humu.Angalia jukwaa la siasa viongozi wa Taifa, wa vyama wanapata shuruba mule.
Tunatofautiana kwa hoja na tutakubaliana kwa hoja.Mimi ni auditor siwezi kutukana unajua professional ethics.kama una professional yoyote kama lawyer,auditor,supplier,doctor utakuwa umesoma hili somo.ebu nitajie 5 common professional ethics and due care ambazo professional anatakiwa kuwa nazo.maana ukingengeuka unaadhibiwa na professional body
Jamani celeb zitto kabwe anaojiwa eatv now
Hapa syo darasani
Kwanini hajiite msomi wakati hata comment zake ni za division five
Team jamii forum ni ma great thinkers kitu kina chambuliwa pande zote mbili negative and positive
Hana jipya alikuwa anajambajamba tu, hapa siyo jukwaa la kujadili marehemu wa kisiasa.
Yale maswali alikuwa anaulizwa na Salama vipi kuhusu Lekadutigite anazuga wasanii wote 13 wana hisa na wakati huohuo Lekadutigite ina hisa kwenye kampuni nyingine mali ya Zitto eti pesa ikiingia wanapewa gawiwo!!
Kweli sasa nimeamini wasiosoma ni chakula ya wasomi, nyinyi mlikuwa mnaponda wasomi ona sasa Zitto msomi mmoja tu alivyowatumia vilaza wakata viuno 13 kupiga pesa. endeleeni kukimbia umande tu sasa ni zamu ya kwenda kumkatikia mauno Lowasa.
Diamond atawagongengea Dada zenu mpaka mkome.wewe unadhani unaweza kumtongoza wema kwa kumuonyesha certificate zako.
Umejaza lundo la maandish hapa kana kwamba hicho kipindi uliangalia peke yako, Zitto ni mpumbavu tu period yeye kazi yake sasa hivi ni kuzunguka kwenye media tu, ni dead snake na nakushukuru kwa kuleta habari za Zitto jukwaa hili la celeb maana yeye sasa hivi ni kama Chege tu jukwaa la siasa hana mvuto.