Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Nchi imejaa mijitu ina wivu na roho mbaya...alafu jk anasema hajui kwa nn nchi ni maskini.......Mtu anajisifia usomi hamna lolote njaa tupu,utayakuta halmashaur uko kazi kushindana suti za vitenge mishamba mishamba tu....iko empty upstairs haijui chochote.....mie sijawahi ona mtu anamchukia mtu asiyemzidi,yani uwezi kesha unakomaa kumshusha mtu aliye chini...Hongera Diamond wasomi wanaugua wakiskia matusi yako.
 
Hata marehemu Gurumo alipata hela nyingi Sana miaka ya 60 kumzidi nyerere na wafanyakazi wrote Wa enzi hizo lakini kafa Kama mkata majani Wa ng'ombe akiwa hohehahe wa kutupwa!!!

wasomi tunaendesha gari Kali kuliko kidampa wenu au huko halmashauri hukuona we kima?

usiumie Sana roho nimekwambia kwakua ushaunguza akili kwa zinaa huwezi soma mkazanie mwanao Kama Una mbegu nzuri
 
Mimi nakaa na wajasiriamali wenzangu ambao najuwa wamenizidi kila kitu na mzunguko wao wa pesa haupungui millioni 200 kwa siku na hatuna muda wa kudiscuss ufuska zaidi ya biashara tu.

Hahahahahahahahahahahaha jf kuna vichekesho sana.....jitu linashinda jamiiforums linatukana wanaomzidi alafu linasema linashinda na wajasiriamali au ndio awa kina lusungo wenye heka 1000000 za magimbi.
 
Watu wanamchukia diamond kwa wivu kwa kisingizio cha elimu.Michael Owen aliwahi kusema kama ingekuwa kusoma ndio njia pekee ya kufanikiwa asingekuwa na pesa na heshima kwenye jamii maana anasema akipewa kitabu asome hata dk 5 hamalizi atasinzia tu

Tofauyi nyingine ya msomi na mtu ambye hajasoma.hii hapa

anasubiri mitizamo ya watu ndo anaishikilia kama hoja bila kuchambua

huyo owen ni miongon mwa mwa watu wajinga ambao hawaamini kama wameuaga umaskini

kwa sababu njia pekee ya MTU ASIYESOMA kuaga umaskini ni BAHATI vingnevyo itabidi tu akakeshe kwa waganga wa kienyej..akishindwa sana atakuwa shoga kahaba.... Mwizi jambazi basi.

ila msomi habahatishi anatumia elimu yake kukabiliana na challenges za maisha Kufikia mafanikio hata kama asipokuwa tajiri lakin anakuwa na umuhimu mkubwa kwa jamii

na ndyo maana hatuwez kutoka hapa kwenda kuomba ushauri kwa diamond au tajiri ambye hajasoma.
 
Jamii forum raha yake watu hawavumilii upumbavu, huku kusifiwa sana hamna na lazima ukubali mawazo mbadala.No kutukuzana sana humu.Angalia jukwaa la siasa viongozi wa Taifa, wa vyama wanapata shuruba mule.

hao vichwa panzi washazoea kusifiana ujinga huko vichochoroni kwao Mara ooh kanga yako nzuri ooh mboga yako tamu Mara unakitanda kizuri na ujinga mwiingi

hapa tunawapiga misumari ya nguvu mpaka mabichwa yao yamwage usaha
 
Tunatofautiana kwa hoja na tutakubaliana kwa hoja.Mimi ni auditor siwezi kutukana unajua professional ethics.kama una professional yoyote kama lawyer,auditor,supplier,doctor utakuwa umesoma hili somo.ebu nitajie 5 common professional ethics and due care ambazo professional anatakiwa kuwa nazo.maana ukingengeuka unaadhibiwa na professional body

Hapa syo darasani
 
Jamani celeb zitto kabwe anaojiwa eatv now

Hana jipya alikuwa anajambajamba tu, hapa siyo jukwaa la kujadili marehemu wa kisiasa.

Yale maswali alikuwa anaulizwa na Salama vipi kuhusu Lekadutigite anazuga wasanii wote 13 wana hisa na wakati huohuo Lekadutigite ina hisa kwenye kampuni nyingine mali ya Zitto eti pesa ikiingia wanapewa gawiwo!!

Kweli sasa nimeamini wasiosoma ni chakula ya wasomi, nyinyi mlikuwa mnaponda wasomi ona sasa Zitto msomi mmoja tu alivyowatumia vilaza wakata viuno 13 kupiga pesa. endeleeni kukimbia umande tu sasa ni zamu ya kwenda kumkatikia mauno Lowasa.
 
Kwanini hajiite msomi wakati hata comment zake ni za division five

Wenzio wote wameshakimbia wewe ndio roho ya paka bado unakatika viuno tu hapa? Na mkaambiane huko na mazuzu wenzako huu si mtandao rafiki kwa wajingawajinga wote.
 
Team jamii forum ni ma great thinkers kitu kina chambuliwa pande zote mbili negative and positive

Kule insta nilikuwa namkubali team ukwel na uwazi, ila huyu wa siku iz sijui jipange kila siku anamsifia wema, siku global wakimponda wema na yeye anayachamba magazet ya gpl siku wakimsifia wema au wakiandika diamond kumuoa wema soon bas watawasifia wakina imelda na kuwapa shout juu, yani kama misukule vile mambo yao
 
Hana jipya alikuwa anajambajamba tu, hapa siyo jukwaa la kujadili marehemu wa kisiasa.

Yale maswali alikuwa anaulizwa na Salama vipi kuhusu Lekadutigite anazuga wasanii wote 13 wana hisa na wakati huohuo Lekadutigite ina hisa kwenye kampuni nyingine mali ya Zitto eti pesa ikiingia wanapewa gawiwo!!

Kweli sasa nimeamini wasiosoma ni chakula ya wasomi, nyinyi mlikuwa mnaponda wasomi ona sasa Zitto msomi mmoja tu alivyowatumia vilaza wakata viuno 13 kupiga pesa. endeleeni kukimbia umande tu sasa ni zamu ya kwenda kumkatikia mauno Lowasa.

Wanabodi,

Nimemsikiliza, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe akihojiwa kwenye kipindi cha Mikasi!, kiukweli, tukubali, tukatae, ZZK ni Mzalendo wa kweli wa nchi hii, katika suala la Muundo wa Muungano, ZZK ni kama Nyerere, anaamini katika muungano wa serikali Moja!, yenye rais mmoja na mawaziri wakuu wawili!. Huu ndio ulikuwa msimamo wa Baba wa Taifa katika muungano wa serikali mbili kuelekea moja!.

Kwenye hii interview ya ZZK nimempa baadhi ya alama zifuataza kwenye pros and cons.

Tukianza na pros

1. Uwezo wa kujieleza ( expressing himself) nampa 100%
2. Uwezo wa ushawishi ( convincing power) nampa 100%
3. Ni kiongozi Mtendaji na sio tuu msemaji (action oriented) 100%
4. Kuaminika (trustworthness) 75%
5. Uaminifu (Honesty) 75%
6. Kujijengea heshima (Integrity) 100%
7. Uwajibikaji (responsibility) 75%
8. Kujiamini (confidence) 150%
9. Kuthamini kazi yake (enthusiasm) 100%
10. Kijitoa kutumikia watu (dedication) 100%
11. Kuipenda kazi yake (passion) 100%
12. Kuingwa mfano (Inspiration) 100%
13. Muonyesha njia (trend setter) 150%
14. Kupigiwa mfano (role model) 100%
15. Muhamasishaji (motivator) 100%
16. Mpanga mikakati (organiser) 100%
17. Ushirikiano (team player) 50%
18. Ustahimilivu (endurance) 50%
19. Uvumilivu (tolerance) 50%
20. Uchambuzi (analytical) 100%
21. Kusimamia malengo (keeping focus) 75%.
22. Kujitoa (commitment) 100%
23. Uono (visionary leader) 100%
24. Kazaliwa kuongoza (born leader) 100%
25. Kajengwa Kuongoza (made leader) 100%

Cons
1. Kuaminika kwa mashaka
2. Not a good team player
3. Not settled emotionally
4. No stable in love
5. Umimi egotism.
6. Kujiamini kupitiliza (over confidence)
7. Kujikweza (superiority complex)
8. Kujifagilia kwa sana (boastfulness)
9. Kuambilika haambiliki
10. Fault finder hivyo ni parfectionist!.

Maeneo yote hayo nimeya observe kwenye mahojiano yake!.

Chama chake kina viongozi wengi wenye uwezo, ila kwa calibre yake, he is the one and only ndani ya chama chake akifuatiwa na JJ Mnyika kwa karibu, wengine karibo wote wako mbali sana!.

Amethibitisha kizingiti za umri kikiondolewa, na sifa za rais tunayemtaka zikikosekana, ataingia kwenye kinyang'anyiro hicho, hivyo na mimi namuweka ZZK kuwa ni number 2 baada ya "yule jamaa yetu!" .
 
Diamond atawagongengea Dada zenu mpaka mkome.wewe unadhani unaweza kumtongoza wema kwa kumuonyesha certificate zako.

mkuu, umenichekesha na kunisikitisha sana, Kumbe wasomi.tunadharaulika hivi, dah
 
mtvbase

Umejaza lundo la maandish hapa kana kwamba hicho kipindi uliangalia peke yako, Zitto ni mpumbavu tu period yeye kazi yake sasa hivi ni kuzunguka kwenye media tu, ni dead snake na nakushukuru kwa kuleta habari za Zitto jukwaa hili la celeb maana yeye sasa hivi ni kama Chege tu jukwaa la siasa hana mvuto.
 
Last edited by a moderator:

matola imebidi nicheke tu!
 
Back
Top Bottom