Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba baba wa kambo wa Diamond Platnumz Mr Shamte anatarajia kupata mtoto kutoka kwa mchepuko wake mbali na bi Sandra.
Ila ndio hivyo Bi Sandra haoni wala hasikii kwa Shamte yaani anampenda kupitiliza na yupo tayari kufanya lolote ili amridhishe Shamte wakati Shamte hana mapenzi ya dhati na pesa anazohongwa na Bi Sandra huwa na yeye anahonga vimada wengine.
Miongoni mwa watu wanaokula pesa za Diamond Platnumz ni huyu Shamte jambo ambalo linaniuma sana,
Hivi ni kwa nini asimsaidie baba yake mzazi? Yani kweli anakubali kushikwa masikio na mama yake, anakubali kutomsaidia baba yake mzazi na badala yake hizo pesa zinaliwa na Shamte mtu ambaye hajui shida zozote walizopitia zaidi ya kuona tu mafanikio yao, daaah inasikitisha sana kwa kweli, kuna uwezekano na ndumba pia imetumika hapa maana si bure.
Mzee Abdul mwenyewe ukikaa naye anapenda kukusimulia jinsi walivyokuwa wanapendana na Bi Sandra ,jinsi walivyokuwa wanaimbiana nyimbo mbalimbali za mapenzi haswa ile ya "ASUUU" .
Sent using Jamii Forums mobile app