Penzi la kitapeli kati ya Mama Dangote na Mr Shamte

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba baba wa kambo wa Diamond Platnumz Mr Shamte anatarajia kupata mtoto kutoka kwa mchepuko wake mbali na bi Sandra.

Ila ndio hivyo Bi Sandra haoni wala hasikii kwa Shamte yaani anampenda kupitiliza na yupo tayari kufanya lolote ili amridhishe Shamte wakati Shamte hana mapenzi ya dhati na pesa anazohongwa na Bi Sandra huwa na yeye anahonga vimada wengine.

Miongoni mwa watu wanaokula pesa za Diamond Platnumz ni huyu Shamte jambo ambalo linaniuma sana,

Hivi ni kwa nini asimsaidie baba yake mzazi? Yani kweli anakubali kushikwa masikio na mama yake, anakubali kutomsaidia baba yake mzazi na badala yake hizo pesa zinaliwa na Shamte mtu ambaye hajui shida zozote walizopitia zaidi ya kuona tu mafanikio yao, daaah inasikitisha sana kwa kweli, kuna uwezekano na ndumba pia imetumika hapa maana si bure.

Mzee Abdul mwenyewe ukikaa naye anapenda kukusimulia jinsi walivyokuwa wanapendana na Bi Sandra ,jinsi walivyokuwa wanaimbiana nyimbo mbalimbali za mapenzi haswa ile ya "ASUUU" .

IMG_20190206_111819_741.jpeg
IMG_20190206_111745_285.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache wagegedane hivyohivyo ata kama kuna utapeli

Nanaa
 
Huyu bibi lazima adate mana akiachika hapo ndo basi tena. Usikute lijamaa linafakamia mzigo kuliko baba dangote mwenyewe origina.
 
Acha wivu,kwani we jinsia gani hadi hupendi wanaume kiasi hicho? Ushauri wako ungejikita kwenye mambo mengine na siyo haya. Unachijua Bi Sandra anachopewa?

Siku zote pesa inatakiwa iwe katika mzunguko,na mzunguko wenyewe ndo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nasema hivi......likuepukalo lina kheri na wewe!!!!
 
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba baba wa kambo wa Diamond Platnumz Mr Shamte anatarajia kupata mtoto kutoka kwa mchepuko wake mbali na bi Sandra.

Ila ndio hivyo Bi Sandra haoni wala hasikii kwa Shamte yaani anampenda kupitiliza na yupo tayari kufanya lolote ili amridhishe Shamte wakati Shamte hana mapenzi ya dhati na pesa anazohongwa na Bi Sandra huwa na yeye anahonga vimada wengine.

Miongoni mwa watu wanaokula pesa za Diamond Platnumz ni huyu Shamte jambo ambalo linaniuma sana,

Hivi ni kwa nini asimsaidie baba yake mzazi? Yani kweli anakubali kushikwa masikio na mama yake, anakubali kutomsaidia baba yake mzazi na badala yake hizo pesa zinaliwa na Shamte mtu ambaye hajui shida zozote walizopitia zaidi ya kuona tu mafanikio yao, daaah inasikitisha sana kwa kweli, kuna uwezekano na ndumba pia imetumika hapa maana si bure.

Mzee Abdul mwenyewe ukikaa naye anapenda kukusimulia jinsi walivyokuwa wanapendana na Bi Sandra ,jinsi walivyokuwa wanaimbiana nyimbo mbalimbali za mapenzi haswa ile ya "ASUUU" .

View attachment 1014833View attachment 1014834

Sent using Jamii Forums mobile app
Upuuzi sana huyu Mama anaufanya,Yaani DOMO anaona Jinsi mama yake ANAVYODAMSHIWA ONLINE.
 
Back
Top Bottom