Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Mastaa wa bongo hawaishi vituko. Hivi yale mashauzi ya Dida Shaibu na Mwenyekiti yaliishiaga wapi maana ilikuwa too much.
 
Mwenzangu...tena nimeona leo IG kwenye page yake, mbona hampost tena?....mandumba safari hii yamefeli si alikuwa Mme wa mtu yule??!
 
[emoji101] [emoji101] [emoji101] mwenyekiti yupi???[emoji13] [emoji13]
Mastaa wa bongo hawaishi vituko. Hivi yale mashauzi ya Dida Shaibu na Mwenyekiti yaliishiaga wapi maana ilikuwa too much.
 
Mmmh mbona wanawake mnamshambulia sana huyu binti?
Kuna nini nyuma ya pazia?
Ni wivu au roho mbaya?
 
Ungejua alichofanya hamisa usingeongea huu uchafu
 
Halafu mkewe mzuri very Classic ladyy!!
Mpambanaji walikua wanajenga hotel Dom Maeneo ya Kisasa!

Mshahar wa dhambi mauti!
Seki baada ya kumpata Lulu alikuwa hashkiki nyumbani haonekani na ndani halali! Mmama wa watu akaenda jiunga na kikundi cha kimafia cha wanawake wenye waume matajiri mwanza wanaokomesha nyaku's nyaku's mjini[emoji15] [emoji15] ....kishukuru seki akafa kabla mpango haujatimizwa, manake kilikuwa kinaleta nyodo kwa yule mama ( na ni mlokole)
 
Wivu wa watanzania mbona hajakamatwa basi au kufatiliwa?
 
Yule nyani mzee haogopi mishale

Kashaopigwa nyembe kkoo enzi hizo na mke wa mtu mmoja hivii

Lulu hana maana hata kidogo!
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] ...kumbee ndo maana namuonaga na alama ya nyembe kwenye komwe lake...basi huwa sielewii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyembe hizooo!!
best naona tumevamiwa na team lulu ngoja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mwenyewe nakula hii[emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji574]
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
disco limeingia mmasai!!

akichambwa wema au wolper watu wamashangilia balaaaa!!

Leo tumegusa jini mauti!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…