Na kweli asee...sizani ka mtu mwenye akili timamu utasifia uchafu ule....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vitoto vya certificate zoom polytechnical...
wamama wa nyumbani....
visichana vyo hovyo hovyo!!
Yule na wemaNa hiyo naniliu yake itakuwa imeota hadi na Sigda kwa jinsi anavyoitendea haki yake ya msingi
Tabia ya mtu ni kama nywele
Na wengine anawalipa ili watukane pia...Na kweli asee...sizani ka mtu mwenye akili timamu utasifia uchafu ule....
Haaa haa lol..akipitia ...comments zako ataji Seki.....Na wengine anawalipa ili watukane pia...
Fekero kibao anazo za kwake mwenyewe za kutukania watu!
Hana lolote jini mauti!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] atajua mwenyeweHaaa haa lol..akipitia ...comments zako ataji Seki.....
Lulu ni wa kawaida tu,ila huwezi kumwita mbaya,mimi ukimuweka lulu na hamisa yaani bila hata kujiuliza narukia hamisa chapchap.Mzuri buana
nielezkeze mtu mzui kwako yukoje tafadhali?Lulu ni wa kawaida tu,ila huwezi kumwita mbaya,mimi ukimuweka lulu na hamisa yaani bila hata kujiuliza narukia hamisa chapchap.
Kama hamisa vilenielezkeze mtu mzui kwako yukoje tafadhali?
wote wa kawaida aisee ama unambie wote ni wazuri............. huyu hamisa na huyu lulu make up ndo zinawabebaKama hamisa vile
Inawezekana maana siku hizi humu mwenye mitandao kuna mengi mafoto shop na mafilter mtu hata kama alikua mweusi kama chungu lakini humu mtandaoni anaonekana kama malaika.wote wa kawaida aisee ama unambie wote ni wazuri............. huyu hamisa na huyu lulu make up ndo zinawabeba
wote walikuwa weusi ngoja nikutafutie picha ya mabetoInawezekana maana siku hizi humu mwenye mitandao kuna mengi mafoto shop na mafilter mtu hata kama alikua mweusi kama chungu lakini humu mtandaoni anaonekana kama malaika.
Najiulizaga, hivi hawa mabinti(bongo movie na wasanii hawana jamii inayo wazunguka, ama ndugu wa karibu wanaoweza wakanya!?, mtoto mdogo kacheza mechi nyingi kuliko RooneyHayo ndiyo madhara ya utumwa wa kimapenzi
Tehetehetehe,dah! kumbe watu tunashabikia mabadiliko ya ukubwani,kweli kukiwa na pesa hakuna mtu mbaya,hebu zimwage hizo picha tujionee hao warembo wa sasa walivyokuwa enzi zao.wote walikuwa weusi ngoja nikutafutie picha ya mabeto
kweli huku nyuma hakuwa hivi alikuwa na rangi ya brown...................Tehetehetehe,dah! kumbe watu tunashabikia mabadiliko ya ukubwani,kweli kukiwa na pesa hakuna mtu mbaya,hebu zimwage hizo picha tujionee hao warembo wa sasa walivyokuwa enzi zao.
Ukweli kati ya mademu maarufu ambao hawajajikoboa kwa hilo lulu nampongeza, nakajua toka kako form one pale perfect vision hadi sasa hivi, lulu keupe upe flani hivi amazing!...na hadi sasa hivi hajajikoboa sema kujiedit ka mdoli kwenye mitandao...kweli huku nyuma hakuwa hivi alikuwa na rangi ya brown...................
huyo mtoto ameanza kuchezea tango mapema sana na ndio madhara yake hayo sasaHabari zinazoenea kwa kasi chini ya kapeti kuhusu staa wa filamu nchini, Elizabeth michael aka Lulu hivi karibuni kushushiwa kipigo "heavy" na mpenzi wa sasa ambaye pia ni mmliki wa radio maarufu mjini, Efm aitwaye majizo. Inasemekana staa huyo amekua akichepuka kwa siri na watu tofuati tofauti ambapo ikafikia hatua mpaka sponsor wake huyo kugundua na kumshushia kipigo cha mwizi kwenye hotel maarufu mjini(jina kapuni) ambapo wawili hao walienda kula bata.
Hata hivyo inasemekana majizzo amekua akipokea shutuma mbali mbali kuhusu baby wake huyo kuwa anachepuka na watu tofauti tofauti bila yeye kujua, lakini kijana huyo mwenye pesa chafu amekua akifumbia macho tuhuma hizo na kudai kuwa ni njama tu za maadui zao za kutaka kuwachonganisha waachane. Inasemekana Lulu kwa sasa anachepuka na rafiki wa karibu wa majizo( jina kampuni) ambaye inasemekana anafanya kazi BOT ambaye inasemekana Ana pesa chafu kumzidi kijana hyo.
Yaa ni kweli hata mimi nakumbuka,alikuwa ni wa brown ila kwa sasa amengaa sana,hata kama ni kwenye picha huoni nata ka rash kwenye uso wake,ila kana bahati sana ya kupendwa na wanaume tokea kana umri mdogo kabisa.kweli huku nyuma hakuwa hivi alikuwa na rangi ya brown...................
Unataka akapumzike na kulala saa tisa nini?hivi kesi ya lulu imeishaje?