Penzi la Zari na Diamond lipo ICU

Too much fame wajfunze kuweka maisha yao out of social media...
 
Nahisi hii ni kiki

Inawezekana ikawa wanatengeneza tangazo la kile kinywaji au kitu kama hicho

All in all inaonekana kabisa hii kitu ni ya kupangwa
 
Zari mvumilivu bana,,,ila inawezekana naye anachit
 
Y'all tell Diamond if he's fucking foreigner he must do it well b'cause he represent the nation.
 
Omotola dahhhh

nadhani africa nzima hakuna kama Omotola

akiliomotola omotola

lile lanyumbulika kwelkwel

[emoji23] [emoji23]
Mkuu bila shaka nawe ni miongoni mwa wanaolikubali lile Toto,wanaomlaumu Idris kwa kumaliza mpunga kwa totoz wanatakiwa wajitafakari uanaume wao!
 
Mkuu bila shaka nawe ni miongoni mwa wanaolikubali lile Toto,wanaomlaumu Idris kwa kumaliza mpunga kwa totoz wanatakiwa wajitafakari uanaume wao!
haswaaaaaaaaa

kuna smaku pale, hasa sie miili ya wembe lazima uvutwe[emoji16]
 
Davido nadn ya miaka miwili kazalisha wanawake wawili tofauti huw siyo umalaya au kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
That is a lack of respect

unati.a beki tatu alafu yupo nyumbani kwako

na mkeo???
 
Iv Diamond hawezi tafuta kitu sealed?! Au basi ata chenye km 3 au 6 ivi!!
 
Hata mi ningekuwa mondi nisingemuacha dillish bana ,,,zari nae ule weupe wake mpaka anakifu
 
Mdogo wetu anawatafuna warembo kama hana akili nzuri. Baada ya Zari wa Uganda sasa amgeukia Dillish wa Namibia, anacheza international games kwa kwenda mbele. Sasa cha ajabu anafanya mambo hadharani kabisa hapa hapa Dar, wakati dunia nzima inajua yupo na Zari na juzi tu katoka mvisha pete pale madale.

Wakati huo huo ana issue ya kuzaa na Hamisa...crazzy crazy

Tazama mtoto alivo mzuri hapa:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…