Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Njoo kwangu nikupe dawa ya kuresume feeling zako kwa mumeo ila lazima nami uniache mwepesi.
 
Hapo mke anaweza hata akashauriwa,amuwekee sumu mumewe,afe,abaki na huyo kijana.Kwanini kujiingiza kwenye kifungo kama hicho?Wadada oleweni na wanaume mnaowapenda,hatakama hawana kitu,tatizo mkifanya hivyo,mrachepuka kwa wenye hela.
Ndoa ni ngumu sana.
 
HUYO NDIYO M
HUYO NDIYO MWANAMKE NINAYEMJUA AKISHAONJA NJE UJUE HAJAANZA KWA BAHATI MBAYA NA UKITAKA KUMZUIA YUPO TAYARI KUFANYA LOLOTE HATA KUKUTOA UHAI ILI TU UMUACHE AU HATA KUKWAMBIA HAWA WATOTO SIYO WAKO ILI TU UGADHABIKE TU UMPE NAFASI.

POLE MWAMBA THAT IS LIFE
 
Wala usiwe na wasiwasi we uko vizuri kabisa, wanawake huwa hawawezi kukaa na wanaume wema, wenyewe wanasema "wanaume walipoa, hawana tantrums",

Wenzako tulio nao huku mtaani wanazaa kabisa na hao vijana na kuwabambikia waume wao waliopoa.

Na Hilo la kufanananisha usiwe na wasiwasi nalo kabisa, wanawake wote ambao wameolewa baada ya kuwa na wanaume wengine wanacompare game na vitu vingine kati ya waume zao na mate wao wa zamani vizuri tu, it is normal, Cha kufanya hiyo comparison mwanaume hatakiwi hata kuihisi. Huwa ni jambo ambalo linaondoa mapenzi ya mwanaume kwa mwanamke wake kwa asilimia zaidi ya 90.
 
Niseme tu kuwa wewe umeharibika,,

Nibora usiwe nahizo hisia na mumeo kabisa!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
""My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo""

Ila nyie wanawake.
Wanawake ndio wako hivyo, huwa hawawezi kukaa na wanaume wa namna hiyo kwa amani , it is their nature, na research zihakikisha Hilo. Wanawake wanapenda drama.

Mwanaume wa namna hiyo anakuwa mume, halafu anatafuta dude Moja la hovyo nje ndio analipa moyo wake wooote. Halafu yakiwatokea wanarudi kwenye ule msemo wao " wanaume wote ni mbwa".
 
Ampeleke gym wakamtwishe vyuma kg 20 atatoka huko na veins kila kona.
Kwa mwili huu, Mume ni Plus 40 Tena mid 40s, na mke yupo kati ya 35 na 45. huu ndio umri wa wanawake wengi kuachika kutokana na kuzamia katika mapenzi ya nje, na wanaume kucontrate na majukumu ya familia ambayo kipindi hiki yanakuwa katika peak.

Ni kipindi kigumu sana kwa wanawake, hapa Kuna washauri wa Kila aina, confidence zisizo na uhalisia katika maisha ya mahusiano na temptations za Kila aina.
 
usha logwa wewe jitathimini,kwa ushaur zaid njo inbox, kataa ndoa ndoa ni utapeli,ndomana nikifikiria kuoa nakuwa mgumu sana
 
Muombe Mungu msamaha kwa kitendo ulichofanya. Kusudia kutorudia tena. Acha mambo ya kumfukiria huyo kijana ushasema mmeo ni mtu mzuri embu endelea kuuona huo uzuri. Dah unahitaji toba ya kweli toka moyoni. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 


Pole sana dada, mapenzi hayana kufundishwa utakuwa una act tuu , kwa mistari hiyo michache, muache tuu jamaa yetu wewe endelea na kijana kwa uhuru usiweke kisingizio cha watoto maana ndoa ni agano la kiroho unless utakuea unamdanganya mungu,mom of 4 kids sio lazima wote wawe kwenye ndoa, ndoa ni kwa wachache.
Amani haipo hapo, kwa kuwa wewe mwenyewe kwanza hauna amani, finally,wewe ndio umekua MONSTER kwake sasa, msikariri wanaume ndio monsters,monster hana jinsia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…