Ila haya mambo yanatia sana huruma na hasira ila huwa nabaki kucheka tu.
Natoka nje ya mada kidogo, mwanamme inakuwaje unaoa mwanamke mliopishana sana umri like 9 and above. Eti kisa una pesa unaweza kuoa mwanamke yeyote umtakaye, mtakuja kufa nyiee siku si zenu.
Nasema hivi kuna colleagues wangu wamenishangaza sana, kuna huyu dada kaolewa mwaka jana na jamaa nahisi yuko kwenye hii taasisi ya TRA kama sijakosea huko Kwa kina Ngonyani, Komba na Katembo. Jamaa anapesa though both families ziko guud sana, mkewe kupanda ndege ni jambo la kawaida sana japo jamaa umri umeenda na nahisi hapostiki.
Kamuoa colleague wangu kwa ndoa na taratibu za kiarabu(mshanisoma) the same year wakapata mtoto ,jinsia me.
Anyway ni mengi ya kuandika lakini jamaa anachapiwa mke wake saivi na kajamaa kadogo ambaye naye ni colleague ilihali huyu jamaa naye anajuaa kuwa yule demu kaolewa na ana mtoto mdogo hata mwaka haujatimia. Huyu dogo kwao pesa mingi na ni bwashee, wanapostiana sana kwa status daaah huwa naona huruma sama kwa mme wake mara wameshikana, wamelaliana , captions za mapenzi.
Wadada msiolewe na watu mnaoona hamtokuwa comfortable naye au utamcheat
Wakuuu najuaa tunapenda vitamu ila hawa wanawake watawaueni kwa stress na kuwapelekeni jeraaa.
Ngoja niishiee hapa