Penzi limekolea hadi najiuliza wanaochepuka wanatafuta nini?

Enjoy mkuu...n wakati wako
 
Nakumbuka nilikuwa ninaDem mmoja tulianza mapenz tangu primary, yaan tulipendana ata romeo na Juliet wakasome, penz lilidumu kwa miaka nane lakin mwishowe mwanamke akampata sponsor akamfungulia biashara saiz ametusua na penz lilishaisha ata kumsahau tu tumesahauliana.

mapenz yanaingiaga dosari sehem flan flan ivi na ukiona penz linanoga sana ujue linakaribia kuharibika
 
Kujiamin lazima yakikukuta una lia huku unamove on kama ambulance [emoji1787][emoji1787]
Tena wee unaonekana unaliaga zaidi ya ambulance πŸš‘πŸš‘πŸš‘πŸš‘πŸš‘ ... Au bado hayo ujapitia πŸ€£πŸ€£πŸ€’πŸ€’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…