Penzi limekolea hadi najiuliza wanaochepuka wanatafuta nini?

Oa kwanza broo kisha uje baada ya miaka mitatu na ripoti ya penzi😂 itapendeza ukiwa umefukuzwa kazi.
 
Oa kwanza broo kisha uje baada ya miaka mitatu na ripoti ya penzi[emoji23] itapendeza ukiwa umefukuzwa kazi.



Atakapofukuzwa kazi ndipo hapo atazitambua rangi halisi za bidada wake [emoji14][emoji14]

Kwenye cheers [emoji1635] Cheers [emoji482] na raha huwezi mjua mtu halisi [emoji14]

Kwenye mitihani na misukosuko ndipo uhalisia wa moyo na akili ya mtu hudhihirika.
 
Hahahahah ni ngumu mtu mwenye wadhifa kukosa penzi tamu toka kwa mwanamke ambaye kila anachotaka anapewa kwa wakati
 
It is almost 5 years now, at first ilikua kawaida, but the more the time we are together the more we love deeply
Mkuu, em kanawe uso na maji ya baridi kwanza kisha urudi hapa urudie post uliyoiandika
 
Ukiacha uchawi ulioandika paragraph ya kwanza, mengine yote uko sahihi,
 
Mnapaswa kujua tu kwamba wakati mnaoneshana mahaba shetani anawa zoom tu. Yuko kazini md wote [emoji23]
[/QUOTE]Uzuri kauli mbiu ni ile ile kata mti panda mti. Hatukomoi shetani anatutikisa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Uzuri kauli mbiu ni ile ile kata mti panda mti. Hatukomoi shetani anatutikisa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
[/QUOTE]
Shetani anafeli maana mutu ziko mob 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…