Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Usituongezee mke lakini tena wanawake wenyeww hawa wa humu wanga km niniSawa,, wacha niongeze jitiada Mara nne zaidi !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usituongezee mke lakini tena wanawake wenyeww hawa wa humu wanga km niniSawa,, wacha niongeze jitiada Mara nne zaidi !!
Kabisa mueleze aelewe mkuuUsituongezee mke lakini tena wanawake wenyeww hawa wa humu wanga km nini
Hapana ,, nyinyi mnanitosha tu wake zangu !!!.Usituongezee mke lakini tena wanawake wenyeww hawa wa humu wanga km nini
Tunambatiza na Maji mengi dubwiii😀😀 Tena miuno mipya inayoenda na wakati
Aiseee nayasubiri😀😀 Tena miuno mipya inayoenda na wakati
Na iwe hivyo tuHapana ,, nyinyi mnanitosha tu wake zangu !!!.
Nakuja kula Senene !!.Na iwe hivyo tu
Nilikutunzia karibu sana nafanya kuzipasha tu kila asubuhi ili zisivundeNakuja kula Senene !!.
Asante mama ,, napenda unavyonielewa sanaa.. Unajua naitaji nn yan.Nilikutunzia karibu sana nafanya kuzipasha tu kila asubuhi ili zisivunde
Aiseeeee ,, unanichukulia nirahisi sana namna iyo ???............kama siyo multiple Id sijui!?nawaza tu saiz si ajabu PM ya huyo Vladmr itakuwa imejaa jumbe za wadada wa JF wakitaka nao waonyeshwe hayo mapenzi ya kweli.
Love you[emoji8] [emoji8]Asante mama ,, napenda unavyonielewa sanaa.. Unajua naitaji nn yan.
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Yes baby ..I will love you till eternity .Love you[emoji8] [emoji8]
Ukichelewa hulikuti Hilo guuYes baby ..I will love you till eternity .
Guu lako tuuu ,ndo [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hahaaaaa linaenda wapi sasa ?.Ukichelewa hulikuti Hilo guu
sawa ngoja nijiongeze mkuuu.![]()
Huyu nae umemwacha wapi??? Ulikutana nae september kabla hujajiunga JF, umejiunga jf november umepata mwingine tena unamsifia vilevile, jamani huyo putin ajiongeze tu maana unaonekana binti kicheche bado upo kwenye lika la kuwashwa.....
Ujue unatengeneza bwawa badae uwaite wenzako vibamiaaa!!!??
Muogopeni Mungu acheni umalayaaaa!
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Hahahaaaaaa ukikasoma kauzi kwa Umakini ni multiple Id zinatembea.Kuna watu mpo makini hahaha [emoji23][emoji23]