Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

...........kama siyo multiple Id sijui!?nawaza tu saiz si ajabu PM ya huyo Vladmr itakuwa imejaa jumbe za wadada wa JF wakitaka nao waonyeshwe hayo mapenzi ya kweli.
Aiseeeee ,, unanichukulia nirahisi sana namna iyo ???.

Kwanza ,,acha unakua km unawafanyia Devaluation wadada wahumu ..

Ungekua unaaminika ,,ningekupa Access ya PM yangu ,lkn sababu binadam hawaaminiki siwezi.

Weee jua tuuu. Pm hamna cha wadada Wa JF wala nn ...tena ningekua najua namna ya kufunga ,ningeifunga , ila utengue maneno kauli yako.
 
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii

hahahaha watu na id 2!mamy!
 
5afc9d99767e72a28ec70d58de8036e9.jpg

Huyu nae umemwacha wapi??? Ulikutana nae september kabla hujajiunga JF, umejiunga jf november umepata mwingine tena unamsifia vilevile, jamani huyo putin ajiongeze tu maana unaonekana binti kicheche bado yupo kwenye lika la kuwashwa.....

Ujue unatengeneza bwawa badae uwaite wenzako vibamiaaa!!!??

Muogopeni Mungu acheni umalayaaaa!
 
5afc9d99767e72a28ec70d58de8036e9.jpg

Huyu nae umemwacha wapi??? Ulikutana nae september kabla hujajiunga JF, umejiunga jf november umepata mwingine tena unamsifia vilevile, jamani huyo putin ajiongeze tu maana unaonekana binti kicheche bado upo kwenye lika la kuwashwa.....

Ujue unatengeneza bwawa badae uwaite wenzako vibamiaaa!!!??

Muogopeni Mungu acheni umalayaaaa!
sawa ngoja nijiongeze mkuuu.

Sema yupo sahihi.
 
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii

Kuna watu mpo makini hahaha [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom