Ha
Wezi kosa pakwenda. Wanaowafundsha kuwa wanaweza na waskubali kuwa chini ya mwanaume watamuwa walimfundsha kuishi single. Hiyo huruma yakwamba wataishije baada ya kuachana sio kaz ya Guadiola.We ni noumer; umevaa na jersey ya Man City kabisa kabisa yaani.
Swali la kizushi; hivi kwa umri huo, huyo mwanamke anaenda wapi? Kama walikua wakiishi wote England (hope na Ujerumani walikua pamoja ) means mwanamke hakua na kazi, now at that age si ni kama kwenda kulipatia taifa hasara tu ya kuanza kulea wazee?