🤣🤣🤣 dah!bro,,,mimi nawaogopa balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 dah!bro,,,mimi nawaogopa balaa
Watoto hata bila kuoa unawapata mkuu.Watoto sio faida au sijakuelewa!!?
Uwakika wa kula mzigo hujauona
Kwa nini? Nyie watu dhaifu ndio mtajinyea kabisaDa unaweza kujinyongea UDENDA!!!
the art of war!!!"those who are weak will survive"..........and at the end of war,,,,most of survivors will face death"""""....Kwa nini? Nyie watu dhaifu ndio mtajinyea kabisa
Most of the time,ukiachana na hawa kukengeuka kwa adam,na deliala kumkataa au kumgeuka samson,,,,,,,mpango mzima ulisukwa miaka ya karibuni na mashirika ya kijasusi kama NSA[AMERIKA], na M 16 [UK],,,,mpango wenyewe ulikuwa chini ya ILLUMINATI[MPINGA KRISTO]...na ukapangwa mpango wa haki sawa kati ya mume na mke na mkutano ulifanyika BEIJING[sisi tanzania tuliwakilishwa na GETRUDE MONGELA]so balaa lilianzia hapo,,,,,,so wanawake wakawa makaidi na hawataki kukaa chini ya wanaume],,,,,,,na ndo chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika kwa sasa,,,,,,unaambiwa wilaya ya ilala pekee mwaka 2023,ndoa zilivizovunjwa ni 600,,,acha hapo,,,wazungu hawakuishia hapo,,walipoona wamefanikiwa,,,,,wakaanzisha issue ya waname kulawitiana na wanawake kusagana!!![kwa sasa hali ni mbaya mno kuko mitaani],,,,,,unaambiwa huko kwa wazungu shoga ana haki kuliko raia mwingine yoyote yule,,,naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam!!! baada ya kuona wamefanikiwa,,,akaja huyu mpuuzi HELE MUSK[tajiri wa kimarekani]akazindua ROBOTI LA KIKE na la KIUME..........na tayari yameshaanza kuuzwa nasikia ni dola elf 6[sina uhakika],,,,so unanunua roboti unalicharge then unaingiliana nalo,,,juzi kati BEYONCE kafunga ndoa na ROBOTI [nadhani ulisikia] so sio kwamba tunalaumu wanawake no,ila shetani ili kuupiga ubinadamu anaanza na mwanamke kwani rahisi kushawishika,,,,,kwenye biblia MUNGU anasema,,,kati ya wanaume elf 1 nimeona binadam 1ila kati ya wanawake elf 1 sijaona binadam ata mmoja!!,,,,na kwenye q'ran MUNGU anasema pepo ya mwanamke ipo kwa mumewe,,,,na ujue mwanamke ndo chanzo cha kifo cha binadamHivi kila ndoa inapovunjika mkosaji huwa ni mwanamke ama?
Mana comments za watu zimenishangaza.
Ila kitu kimoja, huyo mama anatoka katika familia tajiri sana. Wanamiliki fashion business kwa miaka mingi. Hata huyo mama Sasa hivi ana - run fashion business yake huko Barcelona. Hivyo pesa hakuzianzia kwa Pep.Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30.
Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City alifunga ndoa na mke wake nchini Hispania mwaka 2014, wakiwa wameshakaa pamoja kwa muda mrefu, lakini jana iliripotiwa kuwa wameachana rasmi.
Taarifa ya kuachana kwao ilianza kutolewa na gazeti la Hispania Spanish Sport, likieleza kuwa wawili hao hawapo pamoja kwa miaka mitano tangu Serra alipoamua kuondoka England na kutimkia nchini Hispania akiwa na mtoto wake mmoja Valentina, 17, huku akimuacha Pep Manchester England akiwa na City.
Wawili ambao walikutana rasmi mwaka 1994 wana watoto watatu, Maria, 24, Marius, 22 na Valentina.
Hata hivyo, inaelezwa kuwa awali hakukuripotiwa taarifa yoyote ya kutofautiana kwa wawili hao kwani pamoja na kuishi nchi mbili tofauti bado mara kwa mara walikuwa wanaonekana pamoja nchini Hispania na England kwa vipindi tofauti.
My Take
Ndoa ya Guardiola imetoa somo kwamba Mwanamke sio wa kumfadhili utakuja kuvuna manyoya huku ukiugulia bila Msaada.
Kuachana na mtu wakati ana shilingi milioni mbili na kuachana na mwanaume wakati ana bilioni mbili wapi katika mgao Kuna faida?Hivi kwanini katika utengano watu mnaangalia mali pekee?
Kwanini hamfikirii maumivu wanayopitia? Mnafikiri kutengana na mtu mliyekuwa pamoja kwa miaka 30 ni rahisi namna hiyo?
Mke wake wako pamoja tokea mwaka 94 ina maana Guardiola ndio alikuwa anachipukia, wamekuwa pamoja kipindi chote cha mafanikio yake kama angetaka mali mnafikiri angedumu naye kwa miaka 30?
Kwani Guardiola ameanza kuwa tajiri leo? Hiyo kazi ameianza leo? Ana miaka mingapi hapo City?Kuachana na mtu wakati ana shilingi milioni mbili na kuachana na mwanaume wakati ana bilioni mbili wapi katika mgao Kuna faida?
Sawa Sasa aliolewa na Guardiola Ili iwaje? Kama huko tayari kutawaliwa usiolewe.Ila kitu kimoja, huyo mama anatoka katika familia tajiri sana. Wanamiliki fashion business kwa miaka mingi. Hata huyo mama Sasa hivi ana - run fashion business yake huko Barcelona. Hivyo pesa hakuzianzia kwa Pep.
Ujinga wenu mnamsingizia Shetani?Most of the time,ukiachana na hawa kukengeuka kwa adam,na deliala kumkataa au kumgeuka samson,,,,,,,mpango mzima ulisukwa miaka ya karibuni na mashirika ya kijasusi kama NSA[AMERIKA], na M 16 [UK],,,,mpango wenyewe ulikuwa chini ya ILLUMINATI[MPINGA KRISTO]...na ukapangwa mpango wa haki sawa kati ya mume na mke na mkutano ulifanyika BEIJING[sisi tanzania tuliwakilishwa na GETRUDE MONGELA]so balaa lilianzia hapo,,,,,,so wanawake wakawa makaidi na hawataki kukaa chini ya wanaume],,,,,,,na ndo chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika kwa sasa,,,,,,unaambiwa wilaya ya ilala pekee mwaka 2023,ndoa zilivizovunjwa ni 600,,,acha hapo,,,wazungu hawakuishia hapo,,walipoona wamefanikiwa,,,,,wakaanzisha issue ya waname kulawitiana na wanawake kusagana!!![kwa sasa hali ni mbaya mno kuko mitaani],,,,,,unaambiwa huko kwa wazungu shoga ana haki kuliko raia mwingine yoyote yule,,,naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam!!! baada ya kuona wamefanikiwa,,,akaja huyu mpuuzi HELE MUSK[tajiri wa kimarekani]akazindua ROBOTI LA KIKE na la KIUME..........na tayari yameshaanza kuuzwa nasikia ni dola elf 6[sina uhakika],,,,so unanunua roboti unalicharge then unaingiliana nalo,,,juzi kati BEYONCE kafunga ndoa na ROBOTI [nadhani ulisikia] so sio kwamba tunalaumu wanawake no,ila shetani ili kuupiga ubinadamu anaanza na mwanamke kwani rahisi kushawishika,,,,,kwenye biblia MUNGU anasema,,,kati ya wanaume elf 1 nimeona binadam 1ila kati ya wanawake elf 1 sijaona binadam ata mmoja!!,,,,na kwenye q'ran MUNGU anasema pepo ya mwanamke ipo kwa mumewe,,,,na ujue mwanamke ndo chanzo cha kifo cha binadam
Mbona watu wanaachana tangu zamaniNdio mkuu kunawatu watatumia kama mfano
Hakunaga kuachana kwa amani, kama amani ingekuwepo wasingeachana wasikudanganye na maneno pamoja na tabasamu bandia kwenye midia pamoja na sababu zisizo na mashikoHawa walikubaliana kuachana desemba mwaka jana,baada ya kuishi kwa miaka 5 kila mmoja akiwa nchi tofauti,na kuachana kwao ni kwa amani,na mpaka leo wanaongea vizuri hawana ugomvi wowote,ila kilichowafanya watengane hawajakisema
Nukuu HAKUNA KUACHANA KWA AMAN. kwennye aman hakuna utenganoHakunaga kuachana kwa amani, kama amani ingekuwepo wasingeachana wasikudanganye na maneno pamoja na tabasamu bandia kwenye midia pamoja na sababu zisizo na mashiko
Hakika mkuuNukuu HAKUNA KUACHANA KWA AMAN. kwennye aman hakuna utengano
Nimekuelewa Kama walitengana.Kwani Guardiola ameanza kuwa tajiri leo? Hiyo kazi ameianza leo? Ana miaka mingapi hapo City?
Halafu kwanini huzingatii pia miaka mitano ambayo hawakuwa wakiishi pamoja? Mtu mwenye nia ya kuachana watengane miaka mitano?
Hawa walikuwa wanapendana, hata baada ya kutengana kwa miaka mitano walijaribu kuweka mambo sawa imeshindikana.
Kwa mke wa Guardiola napinga suala la mali.
Matatizo yanaanzaga hapoWamekaa toka 1994 hadi 2014 bila shida yeyote, ila baada ya kufunga ndoa, tayari mwanamke ameshalaghaiwa huko nje ili apate mgao wa pesa za Guadiola..