Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja

Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja

Au Guardiola huwa yuko busy sana hana muda kwa familia? Au pengine kutokana na kazi yake anakuwa ni mtu mwenye msongo wa mawazo kiasi anashindwa kuwa mume/baba bora?

Miaka 30 inasikitisha sana kutengana.
Wanawake wa huko(hata huku kwa mtindo wao) wapo kijasiriamali zaidi,hapo anataka fungu,akafanye biashara,apate mtaji baada ya kupanua papa kwa miaka 30,mbwa kabisa,kila siku nausia vijana wasiwe wema sana kwa wanawake zaidi ya mama na jamaa zao
 
Au Guardiola huwa yuko busy sana hana muda kwa familia? Au pengine kutokana na kazi yake anakuwa ni mtu mwenye msongo wa mawazo kiasi anashindwa kuwa mume/baba bora?

Miaka 30 inasikitisha sana kutengana.
Wakati mwingine expectations zenu (kama haupo busy) ni hatari sana, ikichanganywa na hizi tamthiliia za ki Filipino.
 
Wazungu linapokuja suala la uhusiano wa kijamii huwa wana matatizo ya ubongo bahati mbaya ndo role model wa jamii ya leo ya Africa..
Tena wana matatizo makubwa.
 
  • Masikitiko
Reactions: Tsh
Au Guardiola huwa yuko busy sana hana muda kwa familia? Au pengine kutokana na kazi yake anakuwa ni mtu mwenye msongo wa mawazo kiasi anashindwa kuwa mume/baba bora?

Miaka 30 inasikitisha sana kutengana.
Mafanikio yoyote yale…. Yana gharama zake
 
City ndio maana haipo vizuri, inawezekana hii nayo ikawa ndio sababu kubwa. Hapo Pep anawaza wanae maana atakuwa nao mbali,mali zake maana lazima zigawanywe na Allomony. Talaka ulaya inawachia sana stress wanaume ndio maana baada ya hapo wanakuwa hawana time na ndoa.
 
Week inayo namuuwa Man City
Uchambuzi ni uhakika mke katibua Guardiola, wekeni hela WanJF hata kama hujawahi kubeti 😅😅😅

Cheza Single tuuu by Wazee Kubeti kulee 😅😅
 
Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔View attachment 3201117
Hawa walikubaliana kuachana desemba mwaka jana,baada ya kuishi kwa miaka 5 kila mmoja akiwa nchi tofauti,na kuachana kwao ni kwa amani,na mpaka leo wanaongea vizuri hawana ugomvi wowote,ila kilichowafanya watengane hawajakisema
 
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30.

Sera.png
Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City alifunga ndoa na mke wake nchini Hispania mwaka 2014, wakiwa wameshakaa pamoja kwa muda mrefu, lakini jana iliripotiwa kuwa wameachana rasmi.

Taarifa ya kuachana kwao ilianza kutolewa na gazeti la Hispania Spanish Sport, likieleza kuwa wawili hao hawapo pamoja kwa miaka mitano tangu Serra alipoamua kuondoka England na kutimkia nchini Hispania akiwa na mtoto wake mmoja Valentina, 17, huku akimuacha Pep Manchester England akiwa na City.

Wawili ambao walikutana rasmi mwaka 1994 wana watoto watatu, Maria, 24, Marius, 22 na Valentina.

Hata hivyo, inaelezwa kuwa awali hakukuripotiwa taarifa yoyote ya kutofautiana kwa wawili hao kwani pamoja na kuishi nchi mbili tofauti bado mara kwa mara walikuwa wanaonekana pamoja nchini Hispania na England kwa vipindi tofauti.

My Take
Ndoa ya Guardiola imetoa somo kwamba Mwanamke sio wa kumfadhili utakuja kuvuna manyoya huku ukiugulia bila Msaada.
 
Back
Top Bottom