Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30.
Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City alifunga ndoa na mke wake nchini Hispania mwaka 2014, wakiwa wameshakaa pamoja kwa muda mrefu, lakini jana iliripotiwa kuwa wameachana rasmi.
Taarifa ya kuachana kwao ilianza kutolewa na gazeti la Hispania Spanish Sport, likieleza kuwa wawili hao hawapo pamoja kwa miaka mitano tangu Serra alipoamua kuondoka England na kutimkia nchini Hispania akiwa na mtoto wake mmoja Valentina, 17, huku akimuacha Pep Manchester England akiwa na City.
Wawili ambao walikutana rasmi mwaka 1994 wana watoto watatu, Maria, 24, Marius, 22 na Valentina.
Hata hivyo, inaelezwa kuwa awali hakukuripotiwa taarifa yoyote ya kutofautiana kwa wawili hao kwani pamoja na kuishi nchi mbili tofauti bado mara kwa mara walikuwa wanaonekana pamoja nchini Hispania na England kwa vipindi tofauti.
My Take
Ndoa ya Guardiola imetoa somo kwamba Mwanamke sio wa kumfadhili utakuja kuvuna manyoya huku ukiugulia bila Msaada.
Kama naelewa hivi, mwanamke bado wanaume wengi hatuwajui vema kabisa
Anaiona halafu hapewio...alooooh...Akikumbuka hasira za kunyimwa mbunye anazidisha dozi.
We ni noumer; umevaa na jersey ya Man City kabisa kabisa yaani.Miaka 30 wame enjoy vya kutosha.
Akaunti imenona hapo ni pasu kwa pasu,ingekuwa ni mmachame anakuua ila kwa wazungu divorce ndiosolution kukomba jasho la mwanaume tajiri ndani ya siku chacheAu Guardiola huwa yuko busy sana hana muda kwa familia? Au pengine kutokana na kazi yake anakuwa ni mtu mwenye msongo wa mawazo kiasi anashindwa kuwa mume/baba bora?
Miaka 30 inasikitisha sana kutengana.
Hao wameishajipanga vizuri tu nashangaa nyie mnawawaza 😅 halafu wazungu sio kama wabongo wanaachana huku wanaongea vizuri tu.We ni noumer; umevaa na jersey ya Man City kabisa kabisa yaani.
Swali la kizushi; hivi kwa umri huo, huyo mwanamke anaenda wapi? Kama walikua wakiishi wote England (hope na Ujerumani walikua pamoja ) means mwanamke hakua na kazi, now at that age si ni kama kwenda kulipatia taifa hasara tu ya kuanza kulea wazee?
Mapenzi ni yale yale tu my dear, hakuna cha mzungu wala mwafica, inategemea mmeachanaje, kama ni kwa ugomvi then mtachukiana tu; BTW hata bongo kuna watu waliwahi kuachana na still wanapigaga story kawaida tu. Majani/P funk na Kajala vipi? Hayati mzee mengi na hayati mkewe je? Si kuna habari kwamba wakati mzee anaumwa, aliyekua mkewe na mama wa watoto wake alikwenda kumchukua na kuanza kumuuguza mwenyewe though walikua wameachana? So hakuna tofauti kati ya blacks na white, tunatofautiana sheria tu but moyoni tupo sawaHao wameishajipanga vizuri tu nashangaa nyie mnawawaza 😅 halafu wazungu sio kama wabongo wanaachana huku wanaongea vizuri tu.
Wazidi kuzichukua point tatu na kujichimbia kileleni mwa msimamoKataa ndoa kama nawaona hivi
Hiyo kitu mkuu umeongea ukwel mtupu. Kioja sasa nkwamb hata kwenye nyumba za ibada wanafundsha rejea za beijing na sio maelekezo ya vitabu vitakatifu.Yaan hii vita inatisha saana ila ndo ivo sasa waoaanaji wanacheza beat la lucifer,coz kama ulvyosema its well planned confict.Most of the time,ukiachana na hawa kukengeuka kwa adam,na deliala kumkataa au kumgeuka samson,,,,,,,mpango mzima ulisukwa miaka ya karibuni na mashirika ya kijasusi kama NSA[AMERIKA], na M 16 [UK],,,,mpango wenyewe ulikuwa chini ya ILLUMINATI[MPINGA KRISTO]...na ukapangwa mpango wa haki sawa kati ya mume na mke na mkutano ulifanyika BEIJING[sisi tanzania tuliwakilishwa na GETRUDE MONGELA]so balaa lilianzia hapo,,,,,,so wanawake wakawa makaidi na hawataki kukaa chini ya wanaume],,,,,,,na ndo chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika kwa sasa,,,,,,unaambiwa wilaya ya ilala pekee mwaka 2023,ndoa zilivizovunjwa ni 600,,,acha hapo,,,wazungu hawakuishia hapo,,walipoona wamefanikiwa,,,,,wakaanzisha issue ya waname kulawitiana na wanawake kusagana!!![kwa sasa hali ni mbaya mno kuko mitaani],,,,,,unaambiwa huko kwa wazungu shoga ana haki kuliko raia mwingine yoyote yule,,,naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam!!! baada ya kuona wamefanikiwa,,,akaja huyu mpuuzi HELE MUSK[tajiri wa kimarekani]akazindua ROBOTI LA KIKE na la KIUME..........na tayari yameshaanza kuuzwa nasikia ni dola elf 6[sina uhakika],,,,so unanunua roboti unalicharge then unaingiliana nalo,,,juzi kati BEYONCE kafunga ndoa na ROBOTI [nadhani ulisikia] so sio kwamba tunalaumu wanawake no,ila shetani ili kuupiga ubinadamu anaanza na mwanamke kwani rahisi kushawishika,,,,,kwenye biblia MUNGU anasema,,,kati ya wanaume elf 1 nimeona binadam 1ila kati ya wanawake elf 1 sijaona binadam ata mmoja!!,,,,na kwenye q'ran MUNGU anasema pepo ya mwanamke ipo kwa mumewe,,,,na ujue mwanamke ndo chanzo cha kifo cha binadam
Unauliza jibu?Hivi kila ndoa inapovunjika mkosaji huwa ni mwanamke ama?
Mana comments za watu zimenishangaza.
Ha haaa kwa kweli anaenjoy maana demu kila siku ni kama yuko kwenye kampeni....akipata vile vipande vya makaratasi ndio unaona rangi yake halisiC.ronaldo anaishi Kwa utulivu na Georgina kwaSababu Kuna makaratasi flani hawajasaini Bado😔
Kama mama kanaenda kutafuta dogo dogo wa kumsugua sugu 😀We ni noumer; umevaa na jersey ya Man City kabisa kabisa yaani.
Swali la kizushi; hivi kwa umri huo, huyo mwanamke anaenda wapi? Kama walikua wakiishi wote England (hope na Ujerumani walikua pamoja ) means mwanamke hakua na kazi, now at that age si ni kama kwenda kulipatia taifa hasara tu ya kuanza kulea wazee?
Mkulima anaweza kuvumilia misukosuko yote hadi wakati wa mavuno utakapotimia. Hakuna mkulima anayevuna mazao machanga. Lazima kwanza yakomae.Hivi kwanini katika utengano watu mnaangalia mali pekee?
Kwanini hamfikirii maumivu wanayopitia? Mnafikiri kutengana na mtu mliyekuwa pamoja kwa miaka 30 ni rahisi namna hiyo?
Mke wake wako pamoja tokea mwaka 94 ina maana Guardiola ndio alikuwa anachipukia, wamekuwa pamoja kipindi chote cha mafanikio yake kama angetaka mali mnafikiri angedumu naye kwa miaka 30?