CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Mwaka huu UEFA lazima iingie EtihadBado inter Milan anaweza kushinda pia ...msisahau...fainali Haina second leg...
Pep akijichanganya Tu anapigwa clean...inter wanaweka viungo watano na Wana lautaro Martinez mbele
sawa kochaMwaka huu UEFA lazima iingie Etihad
The citizens
[emoji170][emoji170]
Hallah
Poleeee weesawa kocha
Embu fikiria 100mil mtu anaenda kumnunua antony
Embu fikiria 100mil mtu anaenda kumnunua antony
Sasa ulaya Kuna club zisizo na hela?Pep bila hela hamfikii ubora hata Kocha Mgunda, hutembelea klabu ambazo tayari zilishafanya vizuri na Mabosi wake humwaga mahela tele kama Waarabu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwa kuongeza tu, Ibrahimovic alikataa yeye kulinganishwa na watoto ambao ama wako kwenye prime time yao au ndo wanaanza wakati yeye akiwa kwenye late 30s.Mkuu bado Sir alex bado atakuwa top may be Pep the second one
Km uefa hata zidane amechukua tatu ndani ya miaka mitano huwezi kusema zidane alivyo bahatisha uefa zile ndio awe bora kuliko Pep kwasababu ya uefa
Sir Alex amehudumia kwenye era zote mbili old na modern football and he concered it all
Remember old football ya ulaya ilijaa rushwa pia zile trophy za madrid nyingi watu wanazi question
Kwenye kitabu cha fagason anamnukuu muasisi wa toto football john cruiffy
Ferguson hutashinda taji la ulaya km hutoi rushwa
Ferguson alijibu km ilinishinde lazima kutoa rushwa basi sitatoa
To me Sir Alex f ni best coach ever kwasababu alidevelop young players na few big signing
Pep is second
Ni kweli au nguvu ya ukwasi ndo inatufumba macho?Guardiola hana mpinzani kwenye kufundisha mpira hapa ulimwenguni kwa sasa, ameshathibitisha ni mwalimu bora sana.
Unajidangaya Diaz ruben ulimjua kabla ya kuja city?Ila kikosi Cha mancity hata mi nikipewa ukocha timu nyingi tu ntakua najipigia,
Tell herKikosi hicho kakitengeneza pep ndicho kinamfanya awe bora zaidiii hawa kina stones , ake wangekuwa under coaches wengine wasingefika hii peak waliyonayo
Ruben dias mpaka anakuja man city tayari alikua cooked product, usije jidanganya kua alikuja akiwa mweupe, kwa dau la paundi miloni 65 kutoka benfica inamfanya kua beki wa kati namba 4 ghali zaidi Duniani...Unajidangaya Diaz ruben ulimjua kabla ya kuja city?
Mahaba yamekujaza upumbavu kichwani badala ya akili njema.Timu mpaka kumwagia pesa ina maana alisha onesha uwezo wake
Alipokuwa barca uwezo wake ulionekana na alikuwa na kikosi sio cha pesa mingi
Kuna mchezaji city wamenunua kwa kuvunja bank?Ruben dias mpaka anakuja man city tayari alikua cooked product, usije jidanganya kua alikuja akiwa mweupe, kwa dau la paundi miloni 65 kutoka benfica inamfanya kua beki wa kati namba 4 ghali zaidi Duniani...
Sio kwamba alitoka academy au championship huyo
Uongo mtupu hawq wachezaji wa city walishawahi takiwa naclub yeyote kablahawajaenda city?Mahaba yamekujaza upumbavu kichwani badala ya akili njema.
Kiparangoto aliikuta Barcelona FC ikiwa imetoka kubeba makombe ya UEFA CL, la Liga na Copa Del Rey chini ya Ronaldinho, E'too, Xavi, Iniester, Puyol na Wachezaji wengine mahiri kimpira.
Akatoka pale na kwenda Bayern Munich ikiwa imebeba UEFA CL, Bundles Liga n.k na ilikuwa ya moto kupita maelezo.
2016 akaja Man City kaikuta imetoka kubeba makombe ya EPL, na kutinga semi finals za UEFA CL ikiwa na akina Kuna Aguero na V Kampani tena ilikuwa bora sana.
Sasa timu ipi Kiparangoto alianza nayo kimafanikio ikiwa ina Wachezaji wa kawaida na kubeba nayo makombe kama ilivyokuwa kwa Mourinho akiwa na FC Porto, Klopp akiwa na Liverpool, Conte kaiwa na Intermilan?
Usisahau wapo akina Zizou walibeba UEFA CL mara 3 mfululizo, La liga ila bado huonekana ni Makocha wa kawaida tu.
Pep bila pesa na Wachezaji bora hata Zahera anamzidi ubora wa ukocha.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Man City bila pesa hana ubora wowote, lini Man Utd ilituhumiwa na FIFA au FA kutumia pesa nyingi kupitia sheria FFP?Hela zipi timu gani isiyotoa hela? Maguire, sancho anthony pogba wamenunuliwa kwa pesa ndefu lakini hatujaona walichofanya cha maana man utd
Chelsea katoa hela kibao chini ya Kocha yupi mwenye ubora au hata rekodi za kubeba ubingwa wowote? Kweli mahaba ni utumwa.Bado mtu anakwambia hela zinachangia!! Chelsea wametoa hela kibao na rundo la wachezaji lakini wapo wapi??. Kikosi cha city kimejengwa na pep mwenywe kuanzia gk mpaka st wote kawakusanya timu mbalimbali wakiwa na kiwango cha kawaida!! Stones, ake, rodri, bernado, cancelo , laporte na dias Gundogan alikuwa kama kaishaa alivyotoka Dortmund kutokana na majeruhi ya mara kwa mara!!
Watu wanaona kama kikosi cha city ni hela sana lakini hawaangaliii kimejengwa kwa utaalamu mkubwa sana na genius pep!!
Kwa kuongeza tu, Ibrahimovic alikataa yeye kulinganishwa na watoto ambao ama wako kwenye prime time yao au ndo wanaanza wakati yeye akiwa kwenye late 30s.
Ferguson na Pep? Huyu Pep asiyetembea bila nguvu ya pesa? Huyu anayetembelea kwenye timu iliyoundwa na wengine tayari?
Wapo makocha bora wengi sana, Pep ndio atafunga dimba ukiamua kuwajumuisha wote, ila sio kumshindanisha na wote!
Huna akili, Gundogan si alikuwa B Dortmund?Uongo mtupu hawq wachezaji wa city walishawahi takiwa naclub yeyote kablahawajaenda city?