Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Hivi Kuna club wanavunja bank kama man city, hapo Kuna mchezaji chini ya pound milioni 35? Labda akanji tu, nitajie mchezaji hapo ambao hawajatoa zaidi ya pound milioni 40?
 
Mmmh Gundogan kashawahi kucheza bayern[emoji23][emoji23][emoji23] wewe mpira unafuatilia kweli ? Nitajie hao makocha makubwa kwa ushindani pep kashawahi mfanya fergie atetemeke !!!
 
Historia fupi.
Mwaka 2010 Guardiola akiwa Barca, alikutana fainali ya UEFA na inter. Ambapo kipara alitolewa kwa aggregate ya 3-2.
Japokua alisingizia kua hyo imesababishwa na barca kuchoka kutokana na volcano iliokua imemwagika Iceland hivo kupelekea ndege nyingi ulaya kusimama kufabya kazi na hapo ikabidi barcelona wasafiri zaidi ya kilomita 1000 kwa basi kwenda kwenye fainali hio.
Kama angeshinda, then angekua amechukua kombe mara mbili mfululizo na pia msimu uliofata alichukua kombe kwa kumpiga bayern. Hivyo angekua amechukua mara tatu mfululizo na kuweka rekodi muhimu.
Kwaio this time anaenda kwa lengo la kulipa kisasi yeye binafsi na pia kujitahd kuwapatia man city kombe lao la kwanza.

My take, possibility n kubwa Guardiola atapigwa kwenye hii mechi, na Inter wanasifika kwa mchezo wa kupaki basi.
Kwaio wakimfunga hata dakika za mwanzo watapaki ukuta wa babeli.
 
Hivi Kuna club wanavunja bank kama man city, hapo Kuna mchezaji chini ya pound milioni 35? Labda akanji tu, nitajie mchezaji hapo ambao hawajatoa zaidi ya pound milioni 40?

Nitajie mchezaji pia wa man utd ambae ni chini ya pound milion 40 ? Ipo man utd , chelsea na hata arsenal recent!! Maguire kanunuliwa bei gani? Laporte stones bei gani ? Pogba bei gani na Gundogan bei gani? Pepe bei gani na bernado silva bei gani? Anthony bei gani na sancho bei gani?
 
Uliposema GUNDOGAN alikuwa buyern nmeacha kusoma embu leta picha ya Gundo aikiwa buyern nikupe buku 10 la chai
 
Mmmh Gundogan kashawahi kucheza bayern[emoji23][emoji23][emoji23] wewe mpira unafuatilia kweli ? Nitajie hao makocha makubwa kwa ushindani pep kashawahi mfanya fergie atetemeke !!!
Huna akili, Gundogan si alikuwa B Dortmund?

Unajua alikuwa analipwa mshahara kiasi gani?

Je Mahrez alikuwa anakichafua vipi akiwa Leicester City kabla hajaja Mwa-City?

Pep bila pesa ni Kopo tupu, kwanza kashatumia pesa tele miaka 7 Etihad ndiyo anatarajia kubeba UEFA CL mwaka huu na ni sababu tu klabu zingine hazijawa na Makocha wakubwa kiushindani zaidi ya Liverpool tu ambayo inaminywa kiuwezeshwaji wa pesa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wote hao watumiaji wa pesa vizuri tu usilete porojo kua pep hatumii pesa nyingi
 
Uliposema GUNDOGAN alikuwa buyern nmeacha kusoma embu leta picha ya Gundo aikiwa buyern nikupe buku 10 la chai
Alitokea B Dortmund ila si tayari alikuwa kwenye pick ndiyomaana alisajiliwa, weka hapa rekodi za Gundogan akiwa B Dortmund kabla hajasaini Mwa-City 2016 ili ujione jinsi ulivyo Kilaza [emoji847]

Mistake of fact isikupumbaze akili kujiona umeshinda hoja [emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwangu Pep n bora zaidi ya makocha wengine kwa ujumla ila kila kocha analadha yake mfano Fergie,Wenger,Don Carlo,Mourinho,Klopp,Hykes,Ranieri,Unai,N.k.
Zidane ni kocha makini zile yuefa 3 nitachelewa kuamini ni bahati😂😂😂
 
Kwangu Pep n bora zaidi ya makocha wengine kwa ujumla ila kila kocha analadha yake mfano Fergie,Wenger,Don Carlo,Mourinho,Klopp,Hykes,Ranieri,Unai,N.k.
Zidane ni kocha makini zile yuefa 3 nitachelewa kuamini ni bahati[emoji23][emoji23][emoji23]
Chuki binafsi tu Kwa Zizou Mzee Baba, UEFA CL 3 straight winning si bahati kabisa [emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Team gani kubwa iliyomtaka akiwa uko boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…