Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Hivi Kuna club wanavunja bank kama man city, hapo Kuna mchezaji chini ya pound milioni 35? Labda akanji tu, nitajie mchezaji hapo ambao hawajatoa zaidi ya pound milioni 40?Kuna mchezaji city wamenunua kwa kuvunja bank?
Si wa kawaida tu toka bornamouth Ake,
Goal keeper wa city ederson alitokea wapi?
John stone ametoka wapi?
Laporte je wapi
Akanji wapi?
Ushawaona hao wana takiwa ata na team kubwa?
Huyo ndiyo Coach sasa anaangalia talents zisizo na gharama