Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Makocha walioletwa Chelsea FC waliwahi kubeba kombe gani?

Chelsea FC ya 2021 iliyobeba UEFA CL na Man City ipi ilikuwa imetumia pesa nyingi sana kwenye usajili?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hapo sasa si ndio unadhihirisha kuwa pesa haifanyi timu kuwa nzuri? Chelsea ya 2021 haikutumia pesa kuliko Chelsea ya 2023, Ila ya 2021 ilipata mafanikio.
Point yangu ilikua hapo kuwa hata uwekewe pesa kiasi gani kama huna mbinu huwezi pata chochote
 
Hyo ni class yake aliyoitengeneza ndiyo maana hawezi takiwa na team za kipumbavu sanabu ana misimamo mno
Ndio hapo sasa. Uwe CEO voda, tigo, airtel. Alafu kesho uende kuajiriwa kibanda cha mpesa mburahati? Inawezekana vipi?

Yaani kabisa wanataka pep atoke kwa mafanikio Barca alafu aende kufundisha West Ham?
 
Hapo sasa si ndio unadhihirisha kuwa pesa haifanyi timu kuwa nzuri? Chelsea ya 2021 haikutumia pesa kuliko Chelsea ya 2023, Ila ya 2021 ilipata mafanikio.
Point yangu ilikua hapo kuwa hata uwekewe pesa kiasi gani kama huna mbinu huwezi pata chochote
Pesa inafanya kazi vizuri sana tu, mbona kipindi Tajiri Abrahamovich alipokuwa Chelsea FC ilipata mafanikio mengi zaidi kuliko klabu zingine UK?

Bodi ya Chelsea FC chini ya TB ndiyo iliyopuyanga kuweka Makocha hovyo HP na FL ambao hawakuwahi kuwa na uzoefu wa kubeba kombe lolote kiubora zaidi ya kuwa midtable teams tu.



Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Umeelezea vizuri mno. Nimeona hata aibu kuchangia. Nitachangia nini sasa...hakuna.

U said it all.

Ubarikiwe.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Mwambie aitazame new castlle ya leo.
 
Kushinda EPL 13 Sio ushuzi acha kumlinganisha Fergie na Vitu vya ajabu.

Etoo aliwahi ulizwa kati ya Pep na Jose nani Kocha Mkubwa kwake akajibu kwa swali zuri tu
Mmoja alishindwa kutwaa UEFA na Bayern Mwingine akatwaa na Porto we utaenda na Nani hapo?
 
Kazi ya zidane haijaonekana Uefa cups wanasema he was lucky kikosi kilikuwa kwenye pick na timu nyingi ulaya hazikuwa kwenye pick
Kamba hii , Liverpool ya Jurgen ile ndo haikuwa kwenye ubora ? au ile Bayern ya kuchukua ligi nusu mzunguko wa pili au PSG ile ilikuwa inatawala Ligue 1 , uzuri ktk UEFA zote zatu Zidane alikutana na miamba ya ligue kuu 5 yaan Juventus , Bayern , PSG , Atletico , Liverpool /Man City wote hawa walikula gongo za maana
 
Unajua hadi sasa bado hujaeleweka unabisha kitu gani, hapo sasa si ndio uelewe pesa bila kocha bora hakuna mafanikio? Chelsea pamoja na kusajili sana lakini walihitaji kocha bora kama Mourinho. Ndio maana unaona walipofanya vibaya makocha walikua sacked
 
Jose Mourinho ndio baba lao, huyu mwamba Hakuna taji ambalo hajashinda
Hebu twende taratibu hapa, ili pep achukue Europa league ni lazima ashiriki hilo kombe. Kwa uwezo wake anaweza vipi kucheza eurola league? Maana inabidi umalize nje ya top four kwenye league, au uishe hatua ya makundi kwenye champions league
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…