Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
Hapo sasa si ndio unadhihirisha kuwa pesa haifanyi timu kuwa nzuri? Chelsea ya 2021 haikutumia pesa kuliko Chelsea ya 2023, Ila ya 2021 ilipata mafanikio.Makocha walioletwa Chelsea FC waliwahi kubeba kombe gani?
Chelsea FC ya 2021 iliyobeba UEFA CL na Man City ipi ilikuwa imetumia pesa nyingi sana kwenye usajili?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Point yangu ilikua hapo kuwa hata uwekewe pesa kiasi gani kama huna mbinu huwezi pata chochote