Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Nilitaka kusema pesa za usajili zinamsaidia sana ola na makocha wengi wa kisasa.Wanapata wahitajicho sababu ya fedha.
Pesa ya usajili hata iwe nyingi kiasi gani, Kama huna mbinu nzuri hutaweza kufanya chochote.

Nakutolea mfano. Chelsea mwaka huu wametumia zaidi ya pauni mil 500 kununua wachezaji kwa gharama kubwa. Ndio timu iliyotumia pesa nyingi kuliko timu yoyote kwenye dirisha moja la usajili. Vipi Graham Potter alifanikiwa kuifanya Chelsea kuwa bora?

Man utd tokea 2016 wametumia pesa nyingi kuliko man city kwenye usajili, vipi wamefanikiwa kuliko city?si wameishia kufukuza makocha kila muda
 
Hiko ni kitu cha ajabu, why Alishindwa kutwaa na Madrid tena akiwa na wachezaji wote Bora, Ronaldo, kaka, Ramos, Marcelo, ozil, benzema, di Maria, higuain, khedira, xabi Alonso, carvalho, pepe,
Sababu iliyomfanya mourinho kushindwa kuchukua uefa kwa kikosi hiko, ndio sababu ilimfanya pep akashindwa kuchukua uefa na bayern
 
Una Ronaldinho , Messi , Etoo kwann usishinde ?
Pep hakumkuta ronaldinho pale Barca, ronaldinho akiondoka mwaka huo ambao pep ndio alianza na Barca. Uwe mfatiliaji

Etoo amekaa na pep msimu mmoja tu, akaachana nae. Wengi walibeza pep kumuacha etoo, lakini alikua anajua nini anafanya.

Barca kabla ya pep ilikua na utawala wa Ronaldinho, Etoo na Deco. Lakini pep alivyofika alitengeneza wake Xavi, iniesta na Messi.

Pep pale Barca alipenda kutumia zaidi youngsters wa la masia, ndio maana unaona hata kwenye beki wa Kati alimtumia pique na kuachana na Marquez, kwenye kiungo wa chini alimuinua busquets na kuchana na Yaya toure

Pembeni alimuinua pedro
 
Bosi wao yupo au kwako hilo ni dogo, timu iliharibiwa na vita.
 
Nashukuru umejiuliza mwenyewe na kujijibu mwenyewe, ila reference yangu kipindi cha Abrahamovich kilishanipatia points 3 kuwa Chelsea FC ilitumia pesa nyingi kiusajili na ilifanikiwa kubeba makombe mengi tu sababu ilikuwa inaajiri Makocha wazuri ila 2023 bodi ya Chelsea FC ndiyo iliyojiharibia yenyewe kuleta Makocha hovyo ambao hawakuwahi kuwa na mafanikio ya kombe lolote zaidi ya kuwa midtable teams tu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe lazima kocha awe mzuri? Ulikua unakataa nini kama pep ni kocha mzuri?
 
Kumbe lazima kocha awe mzuri? Ulikua unakataa nini kama pep ni kocha mzuri?
Miaka 7 yote alikuwa wapi kuwa na uzuri huo kuleta kombe jipya Etihad tofauti na EPL na FA ambayo hata Makocha Mancini na Pellegrin waliyabeba?

Kutumia pesa kiasi gani ilihali Mwa-City walishawahi kufika nusu fainali za UEFA CL 2016?

Kaleta kipi kipya haswa ambacho hakikuwahi kufanywa na Makocha waliopita Etihad?

Ukikaza fuvu kwa hayo maswali pia nakupuuza maana hunilipi kukupatia elimu bure.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kaleta kipi cha tofauti? Hivi hapa

1) kafika final champions league mara 2
2) kachukua epl Mara 3 mfululizo
3) kachukua carabao mara 4 mfululizo
4) kaweka record ya kuchukua ubingwa kwa points 100(Hakuna timu epl imefanya hivi)
5) kaweka record ya kufunga magoli mengi epl ndani ya season 1
6) kaweka record ya kushinda mechi 19 mfululizo kwenye epl
7) kwenye mechi 100 epl ndio kocha aliyeshinda mechi nyingi.
 
5 ni rekodi inayoshikiliwa na Chelsea FC EPL.

6. Tayari Arsepimbi walishakuwa nayo EPL kitambo sana.

Hakuna kipya zaidi ya kuendelea kutumia mapesa tu

Tusichoshane, mpende wewe Kiparangoto wako si lazima tumpende wote ila Klopp ni bora mara 10 zaidi kuliko Pep, nimemaliza.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 


 
Anaemtaja Ferguson ni shabiki wa Manchester United na ambao wengi wapinzani wa Barca, ukweli usemwe Guardiola is football, Johan Cryfu is top, Vicente Delbosque, Anceloti akiwa AC Milan, Arsene Wenger, Luciano Spallet wa AS Roma
Hawa ndio tunawaita walimu wa mpira. Anceloti ni mzuri saana kwa kumsoma mpinzani na kukabiliana nae.
 
Pep bila hela hamfikii ubora hata Kocha Mgunda, hutembelea klabu ambazo tayari zilishafanya vizuri na Mabosi wake humwaga mahela tele kama Waarabu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hata kwa Bayern ilikuwa hivyo, maboss wanamwaga ela, yeye anapata kila anachokitaka. Aliikimbia Barca baada ya kuona falfasa ya Tiki Taka ikienda ukingoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…