Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
Pesa ya usajili hata iwe nyingi kiasi gani, Kama huna mbinu nzuri hutaweza kufanya chochote.Nilitaka kusema pesa za usajili zinamsaidia sana ola na makocha wengi wa kisasa.Wanapata wahitajicho sababu ya fedha.
Nakutolea mfano. Chelsea mwaka huu wametumia zaidi ya pauni mil 500 kununua wachezaji kwa gharama kubwa. Ndio timu iliyotumia pesa nyingi kuliko timu yoyote kwenye dirisha moja la usajili. Vipi Graham Potter alifanikiwa kuifanya Chelsea kuwa bora?
Man utd tokea 2016 wametumia pesa nyingi kuliko man city kwenye usajili, vipi wamefanikiwa kuliko city?si wameishia kufukuza makocha kila muda