Pep Guardiola anaenda kuleta swali tena kwa mashabiki wa mpira

Kaangalie pesa aliyonunuliwa wan bissaka na Maguire.
Man utd wametumia pesa nyingi kwenye usajili kuliko pep, vipi mbona makocha wa utd hawajaipa mafanikio utd?

kwanini unakwepa hoja? Rudi kwenye hoja mchezaji aliesajiliwa kwa 70 m anakuwaje kuwa hajulikanwi? au ulikuwa humjui wewe tu?
 

acha uzushi, Pep hakuwatengeneza Iniesta, Messi na Xavi . aliwakuta tayari wakiwa kwenye ubora.
 
Ake yuko vizuri toka yupo Chelsea, kukosa muda wa kucheza ndio akaomba auzwa akauzwa Bournemouth
Sijakataa kwamba sio kocha bora
 
5) unasema Chelsea nfio anashikilia hiyo record? Msimu wa 2017-18 man city waliweka record kwa kufunga goals 106, Chelsea alikua na 103

6) arsenal lini kashinda mechi 19 mfululizo?msimu upi?

 
Barca haikuwa na hela?

Zlatan, David Villa, Alves, Sanchez, Hleb, Maxwell, Mascherano, Fabregas wote walitinga Barca kipindi cha Pep, hawa vipi walikuja bure?
Kocha atakaa kwenye timu misimu minne bila kusajili kabisa? Hapa tunaongelea volume ya usajili haikua kubwa.

Alipendelea zaidi kutumia vijana wa la masia ndio maana unaona wanasema alikua na upendeleo kwa wakatalunya wenzake
 
acha uzushi, Pep hakuwatengeneza Iniesta, Messi na Xavi . aliwakuta tayari wakiwa kwenye ubora.
Alafu ronalidho, deco etoo, Henry, Yaya toure, giuly, edmilson, van bommel walikua wanacheza vipi?

Au walikuwa wanacheza 15 uwanjani?

Kaangalie Barcelona vs arsenal 2006. Alafu angalia first eleven kama utamuona xavi au iniesta wakiwemo, xavi hata sub kuingia hakuingia. Achilia mbali Messi ambae hata bench tu hakuwepo

Kiungo ya Barca ilikuwa na Van bommel, edmilson na deco
Ronaldinho anatokea pembeni, winga nyingine Giuly. Hiyo ndio ilikua Barca.
 

unaongea kama mtu uliechanganyikiwa, Messi alikosa finali sababu ya Injury, na kwa kukusaidia tu Pep alikuja miaka mitatu mbele baada hiyo final, Kuanzia msimu aliofuta tu hao wote walikuwa ni staters. Na acha kutaja wapuuzi kama Yaya toure tunapowazungumzia World Class Players.
 

Na ni lini Henry alicheza Pale Barca iniesta akiwa Bench?
 
2006 alafu pep akaenda misimu mitatu mbele? 2008 ni misimu mitatu mbele?

Messi 2006 alikua anacheza anamuweka bench ronaldinho au giuly?

Mbona Xavi humzungumzii kukaa bench?
 
Kocha atakaa kwenye timu misimu minne bila kusajili kabisa? Hapa tunaongelea volume ya usajili haikua kubwa.

Alipendelea zaidi kutumia vijana wa la masia ndio maana unaona wanasema alikua na upendeleo kwa wakatalunya wenzake

Volume ya usajili haikiwa kubwa? Kusajili wachezaji kama Zlatan, Villa, Alves, Fabregas, Sanchez hao watu unawachukulia powa ama? Barca ndio walikuwa washindani wa Real Madrid kwa sajili kubwa kipindi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…