Pep Guardiola: Huwa nacheka sana wakisema Ronaldo anahama club kutafuta ili changamoto

Ronaldo kitu gani amekifanya ambacho Juve hawakuwahi kufanya kabla yake?
 
Ni kocha gani amechukua makombe bila kutumia hela kwenye usajili?
 
Katika mpira Mbape ana potential kuliko Ronaldo. Una uhakika kwamba akikufelisha leo kesho atakufanikishia. Ila kwakua wewe hujui hilo ndiyo maana unacheka mimi kumtaja Mbape.

Swali langu bado haujajibu. Mbona anacheza mechi zote hachezi CL tupu?
Siwezi zungumzia serie A ligi ambayo Juve ni dominant by far na wala haina ubora wowote.. Hao akina Dybala ni wachezaji wa kawaida sana, wakienda pale EPL hata goli 10 kwa msimu hawafikishi..

Wewe unampima Mbappe kwa mafanikio yapi?? He is just another overrated fellow, yuko na kikosi bora kabisa pale Paris lakini kaifanyia nini PSG kwenye CL?

Ronaldo on his 30's kaipa Madrid 3 CL consecutively, sasa mtu yeyote mwenye sane mind hawezi kumuignore CR7 eti achukue takataka Mbappe. Juve ilikuwa inamuhitaji mtu kama Ronaldo (match decider) huyu Mbappe hana hiyo kariba. Juve tayari alikuwa anaperform CL mpka kufika Semi-Finals na Finals walihitaji game decider kama Ronaldo awape kikombe..

Kama unataka kuijenga timu labda baada ya misimu minne mbele ndio uanze kukimbizana kutafuta kikombe sawa unaweza decide hao uliowataja, ila kiu kubwa ya Juve ni CL kwasababu kule Serie A hakuna jipya..
 
Wanazi wa Mh Ronaldo wamechachamaa; japo najua mh Ronaldo leo akiulizwa kwanini unaama ama kwenye timu atasema natafuta pesa. Ila hapa watu hawajamuuliza Mh Pep kua Ronaldo anatafuta nini na je ni bora?

Kwenye kauli ya Mh Pep amna sehemu amesema kua Mh Ronaldo siyo bora wala amna ata siku moja Mh Pep aliwahi kusema neno baya kuhusu the Boss C7R.

Watu wameanza kusema Mh Pep akafundishe Norwich kuonesha ubora wake ila amna siku ata moja mh Pep alisema yeye ni bora japo ubora tumempa yeye ila yeye anaamini Sir Alex ndo kocho bora pamoja na Mh Lippi. Leo Sir Alex ajitokeze aseme kua Messi ni bora kuliko Ronaldo then mashabiki wataanza tena kujiuliza kuhusu ubora wake japo yeye hakuwahi kusema yeye ni kocha bora bali amepewa na akina Mh Pep.
 
Ok so Madrid alienda kufuata changamoto? Madrid haikua inashinda CL kabla ya Ronaldo kwenda?

Hoja ya Juve kua dominant.

Madrid Hispania siyo dominant? So timu dominant hazipati changamoto? Unaiona Barcelona inachopitia? Mbape kua na potential kuliko Ronaldo hili pia unalianzishia ubishi? Ulimuona alivyokua Monaco? Mbape wa Monaco na wa PSG wanafanana viwango?
 
Sasa watu mnaponda nn apo maana ronaldo kwa taarifa nilizoxipata anataka kwenda bayern msimu ujao ili akatafute changamoto huko ujerumani
 
Ok so Madrid alienda kufuata changamoto?
Hili wala sio swali mkuu..

1. Mpinzani wake mkubwa alikuwa La Liga (Messi), na pia Barca ilikuwa dominant huko, lazima aliitaka hiyo changamoto aende akadhibitishe ubora wake mbele ya mchezaji bora Messi, na timu bora ya muongo ule Barca.

2. Madrid walikuwa wanaitafuta La Decima, walistruggle muda mrefu sana wakiwa pia wanaboronga tu kwenye CL. Hapo Ronaldo alitoka kushinda CL na Man United na akataka changamoto mpya, kwenda kuipa CL Madrid baada ya muda mrefu..
 
Kama nayeye alikuwa anataka changamoto angeenda ata arsenal Kumbe kuna wazungu wana wivu hiv mtu ana goals 30 unasemaje Hana changamoto
 
Hahahaha ebwana eeh kwahiyo Madrid siyo dominant Hispania?

Mi nakuacha hapa ndugu yangu.
 
Hahahaha ebwana eeh kwahiyo Madrid siyo dominant Hispania?

Mi nakuacha hapa ndugu yangu.
Sijui ubishi wako ni ubishi wa namna gani?

Hivi kuanzia 2004 mpaka 2010 pale Spain nani alikuwa mbabe kuanzia La Liga mpaka CL??

Au ulifikiri domination ni ile tu anayoifanya Juve Italy au Munchen kule Ujerumani?? Barca kuanzia 2004 mpaka 2010 ni misimu miwili tu ndio hawakuchukua La Liga. Hapohapo akichukua CL mara 3, duuh kuwa makini mkuu tet teh teh
 
Hapa sasa umehama unataka tuanze kufukua timu na historia zao.

Unavyotamka 2010 utafikiri juzi vile. Unajua kama sasa hivi ni 2020?. Nottingham Forest na Aston Villa na wenyewe waanze kusema ni dominant?

Hahaha sawa
 
Hapa sasa umehama unataka tuanze kufukua timu na historia zao.

Unavyotamka 2010 utafikiri juzi vile. Unajua kama sasa hivi ni 2020?. Nottingham Forest na Aston Villa na wenyewe waanze kusema ni dominant?

Hahaha sawa
Hivi unaelewa hata unachobishania hapa? Teh teh teh kazi kweli kweli..

Sawa bana mafanikio ya Ronaldo kule Juve ni comeback dhidi ya ATM hahahahahahaha
 
Akafundishe Aston Villa tuone kama nae ataonyesha ubora wake
Ni rahisi sana kwa pep kuibadili Aston villa na ionekane inacheza mpira bora kuliko ronaldo kuibadili Aston villa na kumfanya afunge magoli mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…