Ronaldo kitu gani amekifanya ambacho Juve hawakuwahi kufanya kabla yake?Binafsi bado sijaona logic ya kukataa kua hakutani na changamoto.
Nimekupa mfano wa CL msimu uliopita walipokutana na ATM.
Nimekuonyesha club records anazozivunja.
Nimekuonyesha aina ya wachezaji alionao Juve.
Wewe unazungumzia CL. Ambayo kaicheza akiwa na Juve mara ngapi?
Hii kusema Juve wamemleta Ronaldo kwaajili ya CL ni maoni yako zaidi kuliko uhalisia. Hakuna kocha mwenye lengo hilo halafu achukue mtu wa miaka 35, angemchukua Mbape, Haaland, Milik n.k. ila wewe unasema Ronaldo?
Unataka nione kama vile uwepo wake kwa timu ni CL tu. Sasa mbona anacheza mechi zote? Si angecheza mechi za CL tu au?
Anyway, kama uhai utakuepo tutaona twist labda na akakukamilishia hamu yako.