Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

Hili ndo tatizo wengi hawajui soka in details wanabisha huku hawana info zake kutosha.

Pep kaanza kufundisha Barca B 2007, Messi made his debut October 2004. Kwa vyovyote vile Pep hajamfanya Messi kuwa Bora bali alimkuta Messi pamoja na Xavi na Iniesta kwenye peak zao. Hawa walimfanya Pep kuonekana bora ila sio otherwise

Hapo hapo nikuulize, unataka kusema Luis Enrique ni kocha mzuri sana? Nani kamfanya mwenzie aonekane bora Enrique au Barca maana Enrique nae kashinda kila kitu alipoifundisha Barca, ila Enrique alifeli miserably akiwa Kocha Italy

Pep ni kocha mzuri na ana ushawishi wa kipekee kwa players ila Sasa sifa zisizidi.

Binafsi bado namuweka Mou rank ya juu kwa ubora kuliko Pep. Mou amethibitisha Hilo katika timu tofauti tofauti na kwa kutumia wachezaji amabo sometimes ni tofauti na falsafa zake
 
Ni kweli bundes hajafany maajabu. Ukumbuke yule mzee aliestafu alikuw ametoka kuchukuw makombe ma 3. Pep hakuweza. Hata hapa man city tusubiri msimu ujao akifanya vizuri tena. Nitamkubali. Nakumbuka man city ya Mancini iliwahi kuitwa MAN SITA.
 
Ni kweli bundes hajafany maajabu. Ukumbuke yule mzee aliestafu alikuw ametoka kuchukuw makombe ma 3. Pep hakuweza. Hata hapa man city tusubiri msimu ujao akifanya vizuri tena. Nitamkubali. Nakumbuka man city ya Mancini iliwahi kuitwa MAN SITA.
Ni Kocha mzuri anajua kuwaendeleza players individually I think he's the best at that ila Sasa watu wanampa sifa zinazozidi kitu ambacho sio kweli.
 
Sibishan na wewe boss ila lazima ujue



messi huyu wa sasa so messi yule wa Guardiola


messi wa Guardiola hakuwah fika mechi 8 bila ku score



messi yule aliwema record ya goals zaid ya 90 kwa msimu mmoja




messi yule alizifunga team zote za La Liga magoli mawili kila mechi tena mfululizo



messi yule aliscore goal 50 kwa la liga tu




messi huyu wa leo kila siku analetewa stress na Ronaldo





Kuhusu bayern




lazima ujue bayern hawakumpenda Pep nae alilijua hilo



hawakuipenda falsafa yake



Walionesha chuki za waz ambazo hakuweza vumilia





Huyu wa man city subir mda utaongea




Man City anashinda na at the sama time ana posses




katika mechi moja sikumbuk dhid ya nan Pep alifanya city igonge pas zaid ya 900 hakuna team EPL ishawai fanya hivo




its about time



TUSUBIRI
 
Huu upuuzi wako huwa mnauongea sana mashabiki wa man united
 

Aliofanya Guardiola yamefanywa na Ancelloti, Mourinho na Zidane.
 
Mourinho hana tofauti na Lwandamina
 
Kitu pekee alichompita morinho ni upara wake na si kingine,individual trophies morinho 25 vs 21pepe
Angalia kwa mda mfupi nan ana mafanikio zaid


pep kaanza barca kaja bayern now city



Mourinho kafundisha team kibao tena kubwa kwenye ligi zao




KWA haraka


Chelsea porto madrid man u inter n kaabza kitambo
 
Nakubaliana na wewe ila hiyo yote haikuwa sababu ya Pep solely. Ni kweli Pep ana ushawishi wa kipekee kwa players ila pia aliwakuta wachezaji wengine wote wakiwa kwenye peaks zao, ndo maana hata Spain national team 2010 hadi 2012 ilikua Moto sio sababu ya Pep ila pia na players walikua at their prime

Kuhusu magoli ya Messi ni more of positions, Messi Sasa is more of a playmaker kuliko strikers. Zamani alikua na uwezo wa kukaa up top sababu alikua na viungo wazuri wakumlisha ila Sasa yeye ndo anashuka kuwalisha wengine.

Ni sawa na kusema mbona CR7 anafunga zaidi RM kuliko wakati akiwa Manu, ni swala la position na role tu.

Pep pamoja na ufundi wake na sifa zoote mnazompa hatoweza shinda Kama Barca na hawezi shinda Tena UEFA sababu Barca ilimfanya Pep aonekane Bora na sio otherwise.
 
RONALDO alipohojiwa kwann yupo tofaut na alivokua man



alisema at that time alipenda kuonesha uwezo wa kuchezea mpira as zidade,ronaldinho n delima do


ila anadai kua hiyo generation ilipita anahitaj ku score zaid thats y now ana score zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…