Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Hili ndo tatizo wengi hawajui soka in details wanabisha huku hawana info zake kutosha.mtu makini yeyote akieleza tatizo huwa anatoa na solution ya tatizo... umeeleza mengi kupinga pep sio kocha bora.. ila hujatutajia kocha bora duniani ni nani.. Zidane au??
binafsi xavi na iniesta nimemjua baada ya pep kuwapanga sana.. enzi za rijkaard hawakuvuma kabisa..
na lingine je messi kafundishwa mpira na nani?? unajua before barcelona ya wakubwa.. pep alikuwa anafanya kazi gani?
Pep kaanza kufundisha Barca B 2007, Messi made his debut October 2004. Kwa vyovyote vile Pep hajamfanya Messi kuwa Bora bali alimkuta Messi pamoja na Xavi na Iniesta kwenye peak zao. Hawa walimfanya Pep kuonekana bora ila sio otherwise
Hapo hapo nikuulize, unataka kusema Luis Enrique ni kocha mzuri sana? Nani kamfanya mwenzie aonekane bora Enrique au Barca maana Enrique nae kashinda kila kitu alipoifundisha Barca, ila Enrique alifeli miserably akiwa Kocha Italy
Pep ni kocha mzuri na ana ushawishi wa kipekee kwa players ila Sasa sifa zisizidi.
Binafsi bado namuweka Mou rank ya juu kwa ubora kuliko Pep. Mou amethibitisha Hilo katika timu tofauti tofauti na kwa kutumia wachezaji amabo sometimes ni tofauti na falsafa zake