Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

Aisee! Kwa hiyo KDB, Silva na Kun majina yao yamekuzwa na Pep?
Hayajakuzwa nae lakini

kiwango cha Silva cha mwaka huu ni bora kuliko alipoanza kuitumikia city

Aguero curve yake ilishaanza kushuka n now the boy is incredible

KDB ka unamfaham vizur ana kiwango bora sana akiwa na Pep kumbuka alivoondoka kirahisi mno akiwa Chelsea au angalia game zake alipokua chelsea hakua huyu ambae kila team ina mchunga
 
Sikubaliani nawe, kwani wote hawa wamekuwa kwenye viwango vizuri kabla ya Pep. Sasa hivi kwa kuwa wapo kwenye good streak, ndiyo maana unasema hivyo. Silva has been City’s best player for many seasons, so as Kun.
 
Mh mkuu kama unaona wapo kwenye kiwango kile kile mpaka kufikia kuweka record katika kila mech sawa
 
What does this tell you?
 
Attachments

  • 8337CF87-C7F0-4325-8159-AAE923A4FC6F.jpeg
    8337CF87-C7F0-4325-8159-AAE923A4FC6F.jpeg
    66.8 KB · Views: 36
What does this tell you?
Anko Nzi

unaeza spend n ukaishia kuboronga

ni kama Tz shule za feza zina performance vizur kwa ajil ya kuwekeza ila zipo zilizowekeza n still zinafelisha
 
Anko Nzi

unaeza spend n ukaishia kuboronga

ni kama Tz shule za feza zina performance vizur kwa ajil ya kuwekeza ila zipo zilizowekeza n still zinafelisha

Ku-spend ukaishia kuboronga? Ebu onyesha kwa mifano. Timu zilizo-spend kama hiyo rekodi ya Pep na zikaishia kuboronga.

Pia nitajie shule zilizowekeza kama Feza zikaishia kuboronga. Sijui kama utaweza kuonyesha mlingano wa investments zilizofanywa na shule hizo na Feza.
 
sababu kubwa ya pep kuondoka bayern ni kutaka kuleta mpira wa pasi pale kitu ambacho wajerumani hawakitaki hao bayern toka pep ameondoka wamechukua UEFA? ...Mbona kocha hawamtimui?
Achana na watu waliojaa roho za fitina kaka
UEFA ni shindano lenye mengi sana sio tu kujua kucheza ndo unalibeba unaweza kushindwa kimkakati
 
Kitu pekee alichompita morinho ni upara wake na si kingine,individual trophies morinho 25 vs 21pepe
Mourinho kaingia game ya wakubwa kabla ya Pep, Mourinho tangu 2002 ni kocha wa timu A Pep kashika timu A miaka 5 baadae hivyo bado pep ni bora kuliko Mourinho

Tazama
Miaka 15 UEFA 2
Miaka 10 UEFA 2

Hapo ni Mourinho na Pep usizungumzie kufungwa sasa hahaha Mourinho kafungwa na Pep kuliko Pep kufungwa na Mourinho
 
Hili ndo tatizo wengi hawajui soka in details wanabisha huku hawana info zake kutosha.

Pep kaanza kufundisha Barca B 2007, Messi made his debut October 2004. Kwa vyovyote vile Pep hajamfanya Messi kuwa Bora bali alimkuta Messi pamoja na Xavi na Iniesta kwenye peak zao. Hawa walimfanya Pep kuonekana bora ila sio otherwise

Hapo hapo nikuulize, unataka kusema Luis Enrique ni kocha mzuri sana? Nani kamfanya mwenzie aonekane bora Enrique au Barca maana Enrique nae kashinda kila kitu alipoifundisha Barca, ila Enrique alifeli miserably akiwa Kocha Italy

Pep ni kocha mzuri na ana ushawishi wa kipekee kwa players ila Sasa sifa zisizidi.

Binafsi bado namuweka Mou rank ya juu kwa ubora kuliko Pep. Mou amethibitisha Hilo katika timu tofauti tofauti na kwa kutumia wachezaji amabo sometimes ni tofauti na falsafa zake
Kwani Pep hajathibitisha hilo katika timu tofautitofauti?
Mourinho kakaa Chelsea karibu miaka 6 ila UEFA kaishia kuisikia tu
 
Nakubaliana na wewe ila hiyo yote haikuwa sababu ya Pep solely. Ni kweli Pep ana ushawishi wa kipekee kwa players ila pia aliwakuta wachezaji wengine wote wakiwa kwenye peaks zao, ndo maana hata Spain national team 2010 hadi 2012 ilikua Moto sio sababu ya Pep ila pia na players walikua at their prime

Kuhusu magoli ya Messi ni more of positions, Messi Sasa is more of a playmaker kuliko strikers. Zamani alikua na uwezo wa kukaa up top sababu alikua na viungo wazuri wakumlisha ila Sasa yeye ndo anashuka kuwalisha wengine.

Ni sawa na kusema mbona CR7 anafunga zaidi RM kuliko wakati akiwa Manu, ni swala la position na role tu.

Pep pamoja na ufundi wake na sifa zoote mnazompa hatoweza shinda Kama Barca na hawezi shinda Tena UEFA sababu Barca ilimfanya Pep aonekane Bora na sio otherwise.
Kwani wewe unajua timu gani itachukua UEFA misimu yote na kocha atakuwa nani?

Uliwahi kutegemea DI MATTEO kuchukua UEFA na chelsea ile?
 
Anko Nzi

unaeza spend n ukaishia kuboronga

ni kama Tz shule za feza zina performance vizur kwa ajil ya kuwekeza ila zipo zilizowekeza n still zinafelisha
Angalia malaga siku wanakabidhiwa waarabu wa mafuta mpaka wameikatia tamaa....angalia Manchester united inavyospend hela na kukosa uefa anza kwa kuvunja record kupata sign ya pogba.... Kuhusu shule ichek haya shaaban Robert af uje na mrejesho
 
Ku-spend ukaishia kuboronga? Ebu onyesha kwa mifano. Timu zilizo-spend kama hiyo rekodi ya Pep na zikaishia kuboronga.

Pia nitajie shule zilizowekeza kama Feza zikaishia kuboronga. Sijui kama utaweza kuonyesha mlingano wa investments zilizofanywa na shule hizo na Feza.
Nashangaa mnapiga kelele washabiki wa Man utd.Pep nikocha bora kwa kila kitu pep msimu huu 2017/2018 kasajili wachezaji 5 tu amabao ni Mendi,Bernardo,Ederson,walker na Danilo.Pia licha yakusajili wachezaji hao wachezaji wanaoanza kwenye kikosi cha kwanza ni wawili tu ambao ni Edson na Walker.Wachezaji wengine wote mechi nyingi wameanzia nje.

Licha yakusajili wachezaji hao pia aliruhusu wachezaji wengi waondoke ambao hawaendani na mfumo wake ambao ni Clich,Sagna,Zabaleta,Nasri,Navas,Koralov,cabalero ukiangalia wachezaji waliondoka ndani yakikosi niwengi kuliko aliowasajili.

Kuhusu matumizi ya pesa nikuwa soko la wachezaji kwa sasa limebadilika.Lukaku hana thamani ya Paund 75Million,wala pogba hana thamani ya paundi 93Million lakini kutokana na soko la wachezaji ndio mana unaona kama vile Pep katumia pesa nyingi kuliko makocha wengine.

Pep kaja Man city kakuta wachezaji wengi ni waumri mkubwa tofauti Mo alivoikuta Man u.Kwahiyo ukatae ukubali pep kafanya uwekezaji mkubwa unaolipa.Ukiangalia wachezaji ambao Mo aliruhusu wauzwe alivyoingia Man u niwachache kuliko Pep.Kwahiyo ukaatae au ukubali pep kwa kipindi chake tangu aanze ukocha yupo mbaalii mno.
 
Back
Top Bottom