Mbona wamemtimua mbadala wa Guardiola, yupo mwingine....sababu kubwa ya pep kuondoka bayern ni kutaka kuleta mpira wa pasi pale kitu ambacho wajerumani hawakitaki hao bayern toka pep ameondoka wamechukua UEFA? ...Mbona kocha hawamtimui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wamemtimua mbadala wa Guardiola, yupo mwingine....sababu kubwa ya pep kuondoka bayern ni kutaka kuleta mpira wa pasi pale kitu ambacho wajerumani hawakitaki hao bayern toka pep ameondoka wamechukua UEFA? ...Mbona kocha hawamtimui?
Zidane alimsajili naniPEP KIBOKO, HASAJILI WACHEZAJ WAKUBWA KAMA MAURINHO NA ZIDANE AMBAO KILA STAR WANATAKA KUMNUNUA.
Aisee! Kwa hiyo KDB, Silva na Kun majina yao yamekuzwa na Pep?Majina yote ya man city players yamekuwa makubwa kwa sababu ya Pep n kumbuka ile top six yote ya EPL ina world class players
Nani kafundisha kwa muda mrefu kuliko mwenzake?Kitu pekee alichompita morinho ni upara wake na si kingine,individual trophies morinho 25 vs 21pepe
Hayajakuzwa nae lakiniAisee! Kwa hiyo KDB, Silva na Kun majina yao yamekuzwa na Pep?
Sikubaliani nawe, kwani wote hawa wamekuwa kwenye viwango vizuri kabla ya Pep. Sasa hivi kwa kuwa wapo kwenye good streak, ndiyo maana unasema hivyo. Silva has been City’s best player for many seasons, so as Kun.Hayajakuzwa nae lakini
kiwango cha Silva cha mwaka huu ni bora kuliko alipoanza kuitumikia city
Aguero curve yake ilishaanza kushuka n now the boy is incredible
KDB ka unamfaham vizur ana kiwango bora sana akiwa na Pep kumbuka alivoondoka kirahisi mno akiwa Chelsea au angalia game zake alipokua chelsea hakua huyu ambae kila team ina mchunga
Mh mkuu kama unaona wapo kwenye kiwango kile kile mpaka kufikia kuweka record katika kila mech sawaSikubaliani nawe, kwani wote hawa wamekuwa kwenye viwango vizuri kabla ya Pep. Sasa hivi kwa kuwa wapo kwenye good streak, ndiyo maana unasema hivyo. Silva has been City’s best player for many seasons, so as Kun.
Pepe yule anaekipiga beki besiktas?Pepe kama julio tu
Madridiotshaya shabiki kitumbua
ambae huoni hata tofaut ya messi yule alokua na Guardiola na kila mwaka akisubir kupokea balon d O na huyu wa mandevu
Kama ukitumia kigezo bas bado sio bora labda bora kwa makocha walio wai kuifundisha man cityNani kafundisha kwa muda mrefu kuliko mwenzake?
Anko NziWhat does this tell you?
Anko Nzi
unaeza spend n ukaishia kuboronga
ni kama Tz shule za feza zina performance vizur kwa ajil ya kuwekeza ila zipo zilizowekeza n still zinafelisha
Achana na watu waliojaa roho za fitina kakasababu kubwa ya pep kuondoka bayern ni kutaka kuleta mpira wa pasi pale kitu ambacho wajerumani hawakitaki hao bayern toka pep ameondoka wamechukua UEFA? ...Mbona kocha hawamtimui?
Mourinho kaingia game ya wakubwa kabla ya Pep, Mourinho tangu 2002 ni kocha wa timu A Pep kashika timu A miaka 5 baadae hivyo bado pep ni bora kuliko MourinhoKitu pekee alichompita morinho ni upara wake na si kingine,individual trophies morinho 25 vs 21pepe
Kwani Pep hajathibitisha hilo katika timu tofautitofauti?Hili ndo tatizo wengi hawajui soka in details wanabisha huku hawana info zake kutosha.
Pep kaanza kufundisha Barca B 2007, Messi made his debut October 2004. Kwa vyovyote vile Pep hajamfanya Messi kuwa Bora bali alimkuta Messi pamoja na Xavi na Iniesta kwenye peak zao. Hawa walimfanya Pep kuonekana bora ila sio otherwise
Hapo hapo nikuulize, unataka kusema Luis Enrique ni kocha mzuri sana? Nani kamfanya mwenzie aonekane bora Enrique au Barca maana Enrique nae kashinda kila kitu alipoifundisha Barca, ila Enrique alifeli miserably akiwa Kocha Italy
Pep ni kocha mzuri na ana ushawishi wa kipekee kwa players ila Sasa sifa zisizidi.
Binafsi bado namuweka Mou rank ya juu kwa ubora kuliko Pep. Mou amethibitisha Hilo katika timu tofauti tofauti na kwa kutumia wachezaji amabo sometimes ni tofauti na falsafa zake
Kwani wewe unajua timu gani itachukua UEFA misimu yote na kocha atakuwa nani?Nakubaliana na wewe ila hiyo yote haikuwa sababu ya Pep solely. Ni kweli Pep ana ushawishi wa kipekee kwa players ila pia aliwakuta wachezaji wengine wote wakiwa kwenye peaks zao, ndo maana hata Spain national team 2010 hadi 2012 ilikua Moto sio sababu ya Pep ila pia na players walikua at their prime
Kuhusu magoli ya Messi ni more of positions, Messi Sasa is more of a playmaker kuliko strikers. Zamani alikua na uwezo wa kukaa up top sababu alikua na viungo wazuri wakumlisha ila Sasa yeye ndo anashuka kuwalisha wengine.
Ni sawa na kusema mbona CR7 anafunga zaidi RM kuliko wakati akiwa Manu, ni swala la position na role tu.
Pep pamoja na ufundi wake na sifa zoote mnazompa hatoweza shinda Kama Barca na hawezi shinda Tena UEFA sababu Barca ilimfanya Pep aonekane Bora na sio otherwise.
Angalia malaga siku wanakabidhiwa waarabu wa mafuta mpaka wameikatia tamaa....angalia Manchester united inavyospend hela na kukosa uefa anza kwa kuvunja record kupata sign ya pogba.... Kuhusu shule ichek haya shaaban Robert af uje na mrejeshoAnko Nzi
unaeza spend n ukaishia kuboronga
ni kama Tz shule za feza zina performance vizur kwa ajil ya kuwekeza ila zipo zilizowekeza n still zinafelisha
Nashangaa mnapiga kelele washabiki wa Man utd.Pep nikocha bora kwa kila kitu pep msimu huu 2017/2018 kasajili wachezaji 5 tu amabao ni Mendi,Bernardo,Ederson,walker na Danilo.Pia licha yakusajili wachezaji hao wachezaji wanaoanza kwenye kikosi cha kwanza ni wawili tu ambao ni Edson na Walker.Wachezaji wengine wote mechi nyingi wameanzia nje.Ku-spend ukaishia kuboronga? Ebu onyesha kwa mifano. Timu zilizo-spend kama hiyo rekodi ya Pep na zikaishia kuboronga.
Pia nitajie shule zilizowekeza kama Feza zikaishia kuboronga. Sijui kama utaweza kuonyesha mlingano wa investments zilizofanywa na shule hizo na Feza.