FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Nakubaliana na Wewe, watu walisema eti oooh huyo EPL hawezi. Ni Spain tu na ujerumani. Kwa taarifa tu ni kwamba, Kiu kubwa ya Gardiola ni kushinda UCL akiwa na timu nyingine ukiacha Barcelona. Na kwamba, kumbuka hajafanikiwa kuchukuwa UCL alipokuwa na Bayarn ya ujerumanu.Pep alifanya barcelona iwe tamu kuliko hata dem ulomuahid ndoa
Pep alifanya messi aonekane mungu wa mpira
Alitengeneza kiungo hatari zaid duniani yaani Andres...sergio...Hernandez
Hakuwai kua nafas ya tatu akiwa la liga...yey alikua moja au mbili
Akaenda zake mapumziko marekani
Unamsikia kaenda bayern
Aisee Bayern anatangaza ubingwa,na mechi 5 mkononi
Bayern anatandaza soka mpaka unaeza shiba huku una njaa ya siku 3
Haters wanaanza ongea
Pep anaogopa epl
Sio muongeaji sana
anasogea Epl
kwa mara ya kwanza kwenye soka lake anashika nafas ya 3 akiwa na man city
Msimu wa pili anachukua wachezaje anaoamin anawatengeneza ili wafate falsafa yake
Leo hii man city anaweka record kila iitwapo leo
leo hii Kervin De Bruyne kila kukicha anaacha lawama
Sane amekua kama ana mapepo akiwa na mpira
Sterling kawa invicible
David silva kawa incredible
Ana kikos kipana na kizur mno
PEP GUARDIOLA umefanya niipende barcelona mpaka leo hii
come back to BARCA bro nataman kuhama nije city ila najua ukiondoka city ntakua na maumivu kama uloniachia barca na kutaman kuhama tena.....ntakua kama mwanamke malaya
WEWE NI KOCHA BORA TOKA DUNIA IANZISHWE NA SIDHAN KA ATATOKEA MWINGINE