Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

Pep alifanya barcelona iwe tamu kuliko hata dem ulomuahid ndoa

Pep alifanya messi aonekane mungu wa mpira

Alitengeneza kiungo hatari zaid duniani yaani Andres...sergio...Hernandez

Hakuwai kua nafas ya tatu akiwa la liga...yey alikua moja au mbili

Akaenda zake mapumziko marekani

Unamsikia kaenda bayern

Aisee Bayern anatangaza ubingwa,na mechi 5 mkononi

Bayern anatandaza soka mpaka unaeza shiba huku una njaa ya siku 3

Haters wanaanza ongea

Pep anaogopa epl

Sio muongeaji sana

anasogea Epl

kwa mara ya kwanza kwenye soka lake anashika nafas ya 3 akiwa na man city

Msimu wa pili anachukua wachezaje anaoamin anawatengeneza ili wafate falsafa yake

Leo hii man city anaweka record kila iitwapo leo

leo hii Kervin De Bruyne kila kukicha anaacha lawama

Sane amekua kama ana mapepo akiwa na mpira

Sterling kawa invicible

David silva kawa incredible

Ana kikos kipana na kizur mno

PEP GUARDIOLA umefanya niipende barcelona mpaka leo hii

come back to BARCA bro nataman kuhama nije city ila najua ukiondoka city ntakua na maumivu kama uloniachia barca na kutaman kuhama tena.....ntakua kama mwanamke malaya

WEWE NI KOCHA BORA TOKA DUNIA IANZISHWE NA SIDHAN KA ATATOKEA MWINGINE
Nakubaliana na Wewe, watu walisema eti oooh huyo EPL hawezi. Ni Spain tu na ujerumani. Kwa taarifa tu ni kwamba, Kiu kubwa ya Gardiola ni kushinda UCL akiwa na timu nyingine ukiacha Barcelona. Na kwamba, kumbuka hajafanikiwa kuchukuwa UCL alipokuwa na Bayarn ya ujerumanu.
 
Pep alifanya barcelona iwe tamu kuliko hata dem ulomuahid ndoa

Pep alifanya messi aonekane mungu wa mpira

Alitengeneza kiungo hatari zaid duniani yaani Andres...sergio...Hernandez

Hakuwai kua nafas ya tatu akiwa la liga...yey alikua moja au mbili

Akaenda zake mapumziko marekani

Unamsikia kaenda bayern

Aisee Bayern anatangaza ubingwa,na mechi 5 mkononi

Bayern anatandaza soka mpaka unaeza shiba huku una njaa ya siku 3

Haters wanaanza ongea

Pep anaogopa epl

Sio muongeaji sana

anasogea Epl

kwa mara ya kwanza kwenye soka lake anashika nafas ya 3 akiwa na man city

Msimu wa pili anachukua wachezaje anaoamin anawatengeneza ili wafate falsafa yake

Leo hii man city anaweka record kila iitwapo leo

leo hii Kervin De Bruyne kila kukicha anaacha lawama

Sane amekua kama ana mapepo akiwa na mpira

Sterling kawa invicible

David silva kawa incredible

Ana kikos kipana na kizur mno

PEP GUARDIOLA umefanya niipende barcelona mpaka leo hii

come back to BARCA bro nataman kuhama nije city ila najua ukiondoka city ntakua na maumivu kama uloniachia barca na kutaman kuhama tena.....ntakua kama mwanamke malaya

WEWE NI KOCHA BORA TOKA DUNIA IANZISHWE NA SIDHAN KA ATATOKEA MWINGINE
Alisema hawezi badili mfumo wake hata kama man cty hawamwelewi bora aondoke kuliko kufanya wanachokitaka

Leo wameanza kumwelewa pont 11
 
Kwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.

Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca

Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa

Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule

Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
Eti ila UEFA ASAHU. Sawa mchambuzi wa soka. Ila kumbuka mashabiki kama wewe, wengi mliema EPL hawezi, sahizi mnaona ana chanja mbuga mmebaki na kauri ya kwamba hawezi chukua UEFA.
 
Nakubaliana na wewe ila hiyo yote haikuwa sababu ya Pep solely. Ni kweli Pep ana ushawishi wa kipekee kwa players ila pia aliwakuta wachezaji wengine wote wakiwa kwenye peaks zao, ndo maana hata Spain national team 2010 hadi 2012 ilikua Moto sio sababu ya Pep ila pia na players walikua at their prime

Kuhusu magoli ya Messi ni more of positions, Messi Sasa is more of a playmaker kuliko strikers. Zamani alikua na uwezo wa kukaa up top sababu alikua na viungo wazuri wakumlisha ila Sasa yeye ndo anashuka kuwalisha wengine.

Ni sawa na kusema mbona CR7 anafunga zaidi RM kuliko wakati akiwa Manu, ni swala la position na role tu.

Pep pamoja na ufundi wake na sifa zoote mnazompa hatoweza shinda Kama Barca na hawezi shinda Tena UEFA sababu Barca ilimfanya Pep aonekane Bora na sio otherwise.
Hawezi tena kushinda UEFA? Swali, Je! Emu taja makocha/timu ambazo zenyewe ni lazima zipo kushinda UEFA. Eti hawezi tena kushinda. Nakubaliana na Wewe kama UEFA huwa inashindaniwa kwa kubishana kwa
porojo kama hapa....
 
Wamemtimua Carlo Ancelotti baada ya kugongwa vibaya na PSG first leg. Lile ndo kombe wanahitaji, Unadhani angepoteza bundesliga vile wangevunja kandarasi? Hapana. Sababu wanajua bundesliga ni yao tu

Pep hakutimuliwa ila pia hamna Cha ajabu alichofanya Bayern that's the point. Mleta uzi na mashabiki maandazi wengi wanataka kusema Pep alifanya ya ajabu Bayern, Hapana alifanya kile kile cha siku zote.
Atakapoichukua timu kama everton na wachezaji wake walivo kisha akaichukulisha kombe na kuifanya ikatisha kabla ya kuanza kumwaga hela ndipo nitakapomkubali Pep. Venginevyo namuona ni sawa tu
 
Ukiwa na kundi la world class players na superstars inakuwa kazi rahisi vile! I value more alichokifanya Ranieri kuchukua ubingwa na bunch of scrubs! Or SAF winning with them class of 92!
 
mtu makini yeyote akieleza tatizo huwa anatoa na solution ya tatizo... umeeleza mengi kupinga pep sio kocha bora.. ila hujatutajia kocha bora duniani ni nani.. Zidane au??

binafsi xavi na iniesta nimemjua baada ya pep kuwapanga sana.. enzi za rijkaard hawakuvuma kabisa..

na lingine je messi kafundishwa mpira na nani?? unajua before barcelona ya wakubwa.. pep alikuwa anafanya kazi gani?
Kifupi huyo jamaa anaekupinga pasipo uthibitisho maalumu kaanza kufuatilia soka nadhani 2011 hapo hajui hata barcelona na messi walianzia wapi na pep kawakuta wapi achana na shabiki maandazi huyo
 
Wamemtimua Carlo Ancelotti baada ya kugongwa vibaya na PSG first leg. Lile ndo kombe wanahitaji, Unadhani angepoteza bundesliga vile wangevunja kandarasi? Hapana. Sababu wanajua bundesliga ni yao tu

Pep hakutimuliwa ila pia hamna Cha ajabu alichofanya Bayern that's the point. Mleta uzi na mashabiki maandazi wengi wanataka kusema Pep alifanya ya ajabu Bayern, Hapana alifanya kile kile cha siku zote.
Bufa kaka ntakukumbusha baada ya Gudiola kubeba uefa
 
Kifupi huyo jamaa anaekupinga pasipo uthibitisho maalumu kaanza kufuatilia soka nadhani 2011 hapo hajui hata barcelona na messi walianzia wapi na pep kawakuta wapi achana na shabiki maandazi huyo

Pep kaanza kufundisha Barca B 2007, Messi game ya kwanza kuchezea Barca ilikua October 2004. Ni lini Pep kamfundisha Messi Barca B? Niambie huo mwaka tafadhali usilete ngonjera

Tatizo mnabisha kumbe hamjui kitu
 
Angalia kwa mda mfupi nan ana mafanikio zaid

pep kaanza barca kaja bayern now city

Mourinho kafundisha team kibao tena kubwa kwenye ligi zao

KWA haraka

Chelsea porto madrid man u inter n kaabza kitambo
Hana lolote anatembelea kivuli cha ela,akitoka pale utaskia kaenda psg
 
Eti ila UEFA ASAHU. Sawa mchambuzi wa soka. Ila kumbuka mashabiki kama wewe, wengi mliema EPL hawezi, sahizi mnaona ana chanja mbuga mmebaki na kauri ya kwamba hawezi chukua UEFA.

Unashangaa city kushinda EPL kwa pesa zote ilizospend unaacha kuishangaa Leicester! Ingekua ajabu kama city angekua hashindi, watu wote wafuatiliaji waliipa city kubeba EPL

UEFA is a whole different ball game. Kule mtoto halali na pesa. Kule kunawaliospend zaidi ya city, kule kuna viunzi vya kuruka vya aina zote, huko Pep asahau. Nikumbushe siku Pep akibeba UEFA ila naogopa hiyo siku haitakuja tena
 
Atakapoichukua timu kama everton na wachezaji wake walivo kisha akaichukulisha kombe na kuifanya ikatisha kabla ya kuanza kumwaga hela ndipo nitakapomkubali Pep. Venginevyo namuona ni sawa tu
sema Everton ikimsajili sio akichukua

n kumbuka kila professional coach anapoitaka team lazima ufate mashart yake so Everton atafanya kile Pep anataka
 
Ukiwa na kundi la world class players na superstars inakuwa kazi rahisi vile! I value more alichokifanya Ranieri kuchukua ubingwa na bunch of scrubs! Or SAF winning with them class of 92!
Majina yote ya man city players yamekuwa makubwa kwa sababu ya Pep n kumbuka ile top six yote ya EPL ina world class players
 
Kifupi huyo jamaa anaekupinga pasipo uthibitisho maalumu kaanza kufuatilia soka nadhani 2011 hapo hajui hata barcelona na messi walianzia wapi na pep kawakuta wapi achana na shabiki maandazi huyo
haya shabiki kitumbua

ambae huoni hata tofaut ya messi yule alokua na Guardiola na kila mwaka akisubir kupokea balon d O na huyu wa mandevu
 
Af so kwamba pep hawez enda vittim hivyo vidogo ila haviwaze ku mmanage kwa sasa labda a drop

mlisema la liga nyanya

kaenda bundesliga

mkasema Nayo ni ya team moja

Kaja EPL ya team zote bado anatamba

Mnaanza sema pesa na UEFA

you guys are not serious
 
Back
Top Bottom