Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

Pep alifanya barcelona iwe tamu kuliko hata dem ulomuahid ndoa

Pep alifanya messi aonekane mungu wa mpira

Alitengeneza kiungo hatari zaid duniani yaani Andres...sergio...Hernandez

Hakuwai kua nafas ya tatu akiwa la liga...yey alikua moja au mbili

Akaenda zake mapumziko marekani

Unamsikia kaenda bayern

Aisee Bayern anatangaza ubingwa,na mechi 5 mkononi

Bayern anatandaza soka mpaka unaeza shiba huku una njaa ya siku 3

Haters wanaanza ongea

Pep anaogopa epl

Sio muongeaji sana

anasogea Epl

kwa mara ya kwanza kwenye soka lake anashika nafas ya 3 akiwa na man city

Msimu wa pili anachukua wachezaje anaoamin anawatengeneza ili wafate falsafa yake

Leo hii man city anaweka record kila iitwapo leo

leo hii Kervin De Bruyne kila kukicha anaacha lawama

Sane amekua kama ana mapepo akiwa na mpira

Sterling kawa invicible

David silva kawa incredible

Ana kikos kipana na kizur mno

PEP GUARDIOLA umefanya niipende barcelona mpaka leo hii

come back to BARCA bro nataman kuhama nije city ila najua ukiondoka city ntakua na maumivu kama uloniachia barca na kutaman kuhama tena.....ntakua kama mwanamke malaya

WEWE NI KOCHA BORA TOKA DUNIA IANZISHWE NA SIDHAN KA ATATOKEA MWINGINE
Nonsense
 
Mkuu ulioleta huu uzi nadhani umeanza kushabikia mpira 2009... Mkuu hivi unajua ile barca ndo ilimuweka juu Pep kuwa na nidhamu kwa mtu kama Sir.Alex ferguson miaka ile alikuwa tishio sana kuliko huyu Pep kikosi kinambeba Pep...ila jamaa ni average trainer
Team zote alizopitia katengeneza yeye

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Ranieri, Mourinho, Ancelotti na wengine.. Pep ni above average coach ila sio best kama ambavyo wengi mnadai.
Ranieri anaeza pewa barca akakosa kikombe hata kimoja msimu mzima

Ranier aliipa LEICESTER ubingwa ila refer kwa klop aliipa Dortmund ubingwa tena baada ya kupanda daraja huko bundesliga

Mourinho ni vibaya kumuweka kama kocha bora wakat anacheza kwa kupak bas hata akikutana na wenger

Ancelot ni ujinga kumfananisha na Pep

hao wengine ungewataja af ungefafanuliwa

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Sishangai mashabiki wa lukaku kumsifia mourinho. Maana ni juzi kati tu pia walikua wanamsifia MOYES
 
If you look at EPL table, you will notice that the gap between United and city is too big and the gap between United and Chelsea is very close so is the rest of the teams.
Which means Man city is in another league [emoji2]
ahhahahahaah in a space with aliens
 
Ranieri anaeza pewa barca akakosa kikombe hata kimoja msimu mzima

Ranier aliipa LEICESTER ubingwa ila refer kwa klop aliipa Dortmund ubingwa tena baada ya kupanda daraja huko bundesliga

Mourinho ni vibaya kumuweka kama kocha bora wakat anacheza kwa kupak bas hata akikutana na wenger

Ancelot ni ujinga kumfananisha na Pep

hao wengine ungewataja af ungefafanuliwa

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app

Kama Luis Enrique a failure in Italy alipofundisha Roma na Roma ilishindiwa kushiriki hata Europa League aliweza ipa Barca makombe ndo sembuse Ranieri aliyeipa kombe Leicester out of the blue! Hata Bashite akipewa Barca ya Messi atashinda kila kitu nae mtakuja hapa kusema hakujawahi tokea kocha kama Bashite

Nimeuliza je Luis Enrique nae ni kocha bora mithili ya Pep sababu nae kaipa Barca makombe yote ambayo Pep alibeba. Nijibu hili

Valverde nae anaenda kushinda vikombe sasa na Barca nae mtasema ni kocha bora duniani wakati he was a proven failure at Bilbao.
 
Klopp aliipa ubingwa Dortmund iliyotoka kupanda daraja ila hajaipa liver iliyoshindwa hata kukaa mstar wa kushuka daraja

af barca ya pep na ya Enrique ni tofaut mno ya pep ilikua bora mno
 
Klopp aliipa ubingwa Dortmund iliyotoka kupanda daraja ila hajaipa liver iliyoshindwa hata kukaa mstar wa kushuka daraja

af barca ya pep na ya Enrique ni tofaut mno ya pep ilikua bora mno

Tofauti yake nini Messi, iniesta si ni wale wale na sasa wanaenda kumfanya Valverde Kocha bora toka kuumbwa kwa Dunia kwa mujibu wenu. Nini ambacho Luis hajaipa Barca?

Klopp hakuikuta Liver kama ambavyo Pep aliikuta Barca au Bayern.
 
Kama Luis Enrique a failure in Italy alipofundisha Roma na Roma ilishindiwa kushiriki hata Europa League aliweza ipa Barca makombe ndo sembuse Ranieri aliyeipa kombe Leicester out of the blue! Hata Bashite akipewa Barca ya Messi atashinda kila kitu nae mtakuja hapa kusema hakujawahi tokea kocha kama Bashite

Nimeuliza je Luis Enrique nae ni kocha bora mithili ya Pep sababu nae kaipa Barca makombe yote ambayo Pep alibeba. Nijibu hili

Valverde nae anaenda kushinda vikombe sasa na Barca nae mtasema ni kocha bora duniani wakati he was a proven failure at Bilbao.
LE sio kocha bora mithili ya Pep maana barca yake haikuwa bora mithili ya barca ya Pep.

Je Man city yeyote iliyowahi kuwepo,ipi bora kulinganisha na hii ya Pep?.

Je timu gani bora EPL msimu huu kulinganisha na Man city?.

Au na hii Man city kaikuta ina nani inamfanya Pep aonekane bora?.

Je nikweli Pep haiwezi ligi ya EPL?.

Zingatia kocha kuchukua kikombe sio kumfanya kocha awe bora,timu inaweza chukua kikombe kwa bahati kama ambavyo Raniel alifanya,Chelsea ilifanya hivo kwenye UEFA na Matheo but Matheo hakuwa bora.

Nauliza tena Je Pep niligi gani ambayo haiwezi?.Maana hapo nyuma mlitwambia EPL hawezi nyanyasa kama Laliga.
 
Tofauti yake nini Messi, iniesta si ni wale wale na sasa wanaenda kumfanya Valverde Kocha bora toka kuumbwa kwa Dunia kwa mujibu wenu. Nini ambacho Luis hajaipa Barca?

Klopp hakuikuta Liver kama ambavyo Pep aliikuta Barca au Bayern.
Klop kaikuta Liver kama ambavyo aliikuta Dortmund?.Kitu gani kinamzuia klop kuonekana bora EPL kama ilivokuwa bundasiliga?.
 
Klop kaikuta Liver kama ambavyo aliikuta Dortmund?.Kitu gani kinamzuia klop kuonekana bora EPL kama ilivokuwa bundasiliga?.
Klopp ni kocha Bora zaidi ya Pep. Klopp kaichukua Dortmund 2008 ikiwa haina mbele wala nyuma wala pesa za kumwaga. kaipa Bundes liga 11 na 12, German cup na kufika fainali UEFA, sababu UEFA mtoto halali na hela nae akanyolewa ila he had a good run. Hata city ya Pep haitafurukuta UEFA kamwe.

Ni swala la muda tu Liver kuwa tishio EPL bado yupo in build up process, tayari kuna mwanga umeanza kuonekana. Huyu ni Kocha anayejenga mwenyewe sio Pep anajengewa yeye kutafuna tu afu mashabiki maandazi wanakuja kusema haijawahi tokea Kama Pep, wanamucha Ranieri au Porto ya Mou.
 
LE sio kocha bora mithili ya Pep maana barca yake haikuwa bora mithili ya barca ya Pep.

Je Man city yeyote iliyowahi kuwepo,ipi bora kulinganisha na hii ya Pep?.

Je timu gani bora EPL msimu huu kulinganisha na Man city?.

Au na hii Man city kaikuta ina nani inamfanya Pep aonekane bora?.

Je nikweli Pep haiwezi ligi ya EPL?.

Zingatia kocha kuchukua kikombe sio kumfanya kocha awe bora,timu inaweza chukua kikombe kwa bahati kama ambavyo Raniel alifanya,Chelsea ilifanya hivo kwenye UEFA na Matheo but Matheo hakuwa bora.

Nauliza tena Je Pep niligi gani ambayo haiwezi?.Maana hapo nyuma mlitwambia EPL hawezi nyanyasa kama Laliga.
City tayari ilikua "in the room" Pep hajaikuta city mkiani. Tayari ilikua in the build up process na ilikua inaenda sawia so far, kumbuka ni miaka kadhaa tu nyuma city ilibeba EPL, Pep kaja kuendeleza tu na kuongeza palipokuwep. Sio sawa na Ranieri au Klopp Dortmund

Tatizo Wengi wenu mnasahau volatility ya EPL, mnaishia kumpa Pep sifa. EPL timu kuwa tishio msimu mmoja na next season kuwa si lolote ni jambo la kawaida. Mwaka juzi ilikua Leicester Leo hii ipo wapi, mwaka jana Chelsea sasa nani anaeiogopa Chelsea, mwaka huu City, mwakani amini nawaambia city itakua uchochoro. Sijui what is the fuss all about kuhusu hii city ukiangalia na tabia ya EPL.

So, hata sasa sioni cha ajabu ambacho Pep kafanya ni kawaida ya EPL na city kama Barca au Bayern aliikuta in the process.

UEFA asahau. Ni aibu kuiweka City na UEFA kwenye sentence moja
 
Ilaa jamani mbona ligi ndio kwanza mbichi hii..! Kumpa pep 100% ya kuchukua Epl , Ni kushusha hadhi Epl kwakweli... [emoji23][emoji23]
Sitotegemea kumuona pep aking'aa kwa round ya 2 mbele ya Arsenal ,Liverpool en Chelsea lazima wamtoboe tu.
Karata yangu ya Epl ipo kwa WENGER 100% , Mornho 90% na Klop kwa 85 % [emoji23][emoji23]

Hata kama anaongoza Kwa gape ya 15 points. Pep kwa WENGER Ni mchumba tu. [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Mkuu una Mahaba mazito sanaa hivi kweli unaangalia mpira au wanakuadisia?
 
Wengine mnachekesha kiukweli Pep ana miaka tisa kwenye soka.Lakini SAF aliichukua Man u tangu 1987 kama sio 1988 mpaka 2011/2012 katumia miaka zaidi ya 25 ya ukocha wake unamlinganisha na Pep kwelii?.Pep anaweza kuwa kocha mzuri kuliko hata huyo SAF ngoja tumpe miaka 15 halafu utaelewa.
Hii ni comment bora kabisa kabisa kwa hii mada ya kipuuzi ivi wewe mleya uzi umeanza kushabikia soka lini nazani 2014 maana furgeson enzi izo anafanya yake watu kama guardola and the rest wakiwa hawjulikani na wala hakuna anaye wafikirie je unawezaje kupima mafanikio ya miaka 25 na miaka 9 je umetumia kigezo gani kutoa hii hoja yako
.
Tufahamisha ili tuweze kuelewa kigezo ulichotumia ili upewe data za kutosha

Kama kigezo ni idadi ya ligi tofauti alizofundisha basi wewe si mfatiliaji wa mpira reffer mournho ancellot na wengine Bt nazani mournho anaweza kuwa ndo kufundisha ligi nyingi tofauti zaidi ya wengine

Kama kigezo ni kuchaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi basi kabisa ndo unatakiwa kufuatilia vitu kwa undani na sio kukurupuka watu kama sir fargie, wenger, mournho, rijkaard, ancelott na wengine wengi ni vitu walishafanya sana

Kama kigezo ni kuchaguliwa kuwa kocha bora wa msimu hapo hujui ulichokiandika kuna watu wakishughulia izo misimu 2 frequently

Na kama ni kutengeneza kikosi bora na hatari katika ulimwengu wa soka hapo ndo husirudie kuandika upupu kama huu reffer kikosi cha Asernal 2002-2003 kikosi cha real madrid 2000-2005 kikosi cha man u 1998-2002 kikosi cha Ac milan 2003-2006 ivyo ni baadhi ya vikosi bora kabisa kuwahi kuwepo ulimwenguni chini ya makocha tofauti

Kama kigezo ni kucheza michezo ishirini katika msimu mmoja bila kufungwa basi ndo umeingia cha kike kuna watu washa approach mpaka gemu 49[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bila kufungwa

Kama kigezo ni idadi ya makombe aliyochukua basi umejidanganya maana kuna watu wamebeba makombe ambayo idadi yake ni sawa na umri wa pep mara 5[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji3]

Na kama kigezo ni uzoefu basi Ur ar looser maana kuna watu wana uzoefu knye iyo tasnia mara 5 ya uzoefu wa pep
.
Kama ni uwezo wa kikosi chake kufunga magori si kweli kuna vikosi vishawahi kupiga watu 7,8,9,10 na kuendelea

Yako mengi sana lakini kwa hayo machache Em nipe msingi wa hoja yako hii mfu ni upi?
 
Back
Top Bottom