Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
830
Reaction score
1,449
Mimi ni mwanaume nina allergy na vitu vyenye harufu kali, mimoshi ya sigara na vumbi napenda sana kujipulizia perfume lakini zinanishinda naishia kupata mafua makali

Je, perfume ipi ambayo imepoa itafaa kwa matumizi yangu bila kuniletea shida ya mafua makali bajeti yangu isizidi 30,000
 
Inauzwaje mkuu
Ukiikuta duka la jumla bei ni hio ila duka la reja ni zaidi ya elfu hamsini.
IMG_20240222_073611_284.jpg
 
Mimi natumia mousuf ambayo bei yake ni 25,000 mpaka 30,000 kulingana na duka.

Mousuf zipo rangi tofauti......mi natumia hii ya brown.
 

Attachments

  • Screenshot_20230821-204206_Chrome.jpg
    Screenshot_20230821-204206_Chrome.jpg
    513.8 KB · Views: 58
Back
Top Bottom