Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

Kuna watu wana mipesa na hawajali, nilibaki nakodoa macho maana nina ubahili kidogo ingawa najipenda balaa.

Lotion ninayo paka pale SH Amon ni elfu 70, 000 naichanganya na oil mbili kila chupa ya oil ni 30, 000 so oil mbili 60, 000 sabuni ninayoogea ni 15,000.
Kila baada ya miezi miwili nachukuwa hiyo set jumla 145,000/=

Juzi nimekuta bei imeongezeka kidogo nikaanza kulalamika, wakati nalalamika akaingia mkaka hivi kaulizia perfumu fulani ipo? Wakasema ndio, akauliza sh ngapi eti 520,000/= nyie yule kaka alilipia hiyo perfume na hakubisha kama mimi nilivyo kuwa nalalama lotion yangu kuongezeka bei.

Nikajisemea haya matoto ndo yamezaliwa kwenye familiya za kitajili hayajuagi hata kodi ya nyumba. Alafu lilikuwa lidogo tu halina hata miaka 40

Siwezi toa hiyo pesa sababu ya perfume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaa, watu wana pesa balaa.
 
perfume nyingi za NIVEA zina harufu iliyopoa sana na ni cheap pia...
 
Wale mnaopemda kunukia vizuri mzigo wa perfume kutoka South Africa upo dar. Hizi ni copy za genuine brands (first class)kama Dior, Paco Rabbane, DKNY, Gucci nk. Kuna za kike na za kiume bei ni sh 25000 tu,ukijipulizia hii unanukia mpaka kesho . Kama unahitaji karibu inbox kwa mawasiliano zaidi,mali ipo Dar.
 

Attachments

  • IMG-20240303-WA0018.jpg
    IMG-20240303-WA0018.jpg
    31.4 KB · Views: 19
  • IMG-20240303-WA0017.jpg
    IMG-20240303-WA0017.jpg
    69.5 KB · Views: 23
  • IMG-20240303-WA0015.jpg
    IMG-20240303-WA0015.jpg
    41.6 KB · Views: 20
  • IMG-20240303-WA0011.jpg
    IMG-20240303-WA0011.jpg
    50.7 KB · Views: 22
  • IMG-20240303-WA0009.jpg
    IMG-20240303-WA0009.jpg
    27.9 KB · Views: 16
  • IMG-20240303-WA0012.jpg
    IMG-20240303-WA0012.jpg
    56.3 KB · Views: 21
Oga vizuru, kulq asilimia kubwa ya vyakula vya ardhini (mbogamboga na nafaka), kunywa maji mengi, paka mafuta ya kawaida tu ya mgando ili kulinda ngozi. Hasa yale ya asili.

Huitaji perfume, utatoa harufu safi na nzuri tu ya asili.
[emoji16][emoji16] Tafuta hela mkuu
 
Oga vizuru, kulq asilimia kubwa ya vyakula vya ardhini (mbogamboga na nafaka), kunywa maji mengi, paka mafuta ya kawaida tu ya mgando ili kulinda ngozi. Hasa yale ya asili.

Huitaji perfume, utatoa harufu safi na nzuri tu ya asili.
Hakuna harufu nzuri ya asili bwana. Marashi ni muhimu bila kusahau usafi wa mwili na nguo vinginevyo ni hatari kuna watu wana majasho kama beberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joop
Isemiyake
Korous
Pacco black
Black opium
One Milion
Xs Pacco rabana
Arams
Invictus

Vyombo hivyo,,$ 80 to $100
 
If you smell rich you smell Pev Pev but if you smell poor you smell Bush Bush😂😂😂
 
Perfume, viwanja vikali, kuvaa vizuri vinahitaji pesa mkuu so usiwachukulie poa wanatafuta pesa ili kuvipata hivyo. Halafu kuna maana gani kuwa na pesa nyingi halafu uwe mchafu mchafu unanuka nuka, sasa pesa unatafuta ya nini. Ni sawa na kuwa na pesa nyingi lakini huli vizuri unalala kwa tabu lakini akaunti imevimba then ukifa wenzako wanazitafuna hovyo kuliko wewe uliyehangaika.
Maisha ni mara moja, tafuta pesa sana, na enjoy jasho lako.
NAKAZIA
 
Back
Top Bottom